Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

Mbona unaiga maneno yetu ? Maana nyie ndio kila siku propaganda
Wataka tuiamin CNN ambayo hata huyo Trump anaita fake news
Hatuezi tegemea vyombo vya adui akupe habar zilizo sawa hata cku moja
 
Hahahahahahaha aisee mkuu umeshtuka hutak vitu toka kwa mwamposa
 
Ndio Bikira 72 ni wachache sana, tuliona hapa Dunian mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700, na aliishi nao , sasa iweje 72 iwe uongo? ebu acha wivu wewe muimba kwaya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi kumbe ni kweli kuna watu wanaamini story za mudi za mabikra 72 na mito ya pombe? Binafsi nilikuwa najua ni utani tu, jamaa umetisha, eti mbona ni wachache, ama kweli mudi bingwa
 
shetani ndiye mnywa damu za watu. Vita zote duniani kote huratibiwa na Ibilisi. Majeshi yote duniani yako chini ya shetani katika kutimiza azma yake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi kumbe ni kweli kuna watu wanaamini story za mudi za mabikra 72 na mito ya pombe? Binafsi nilikuwa najua ni utani tu, jamaa umetisha, eti mbona ni wachache, ama kweli mudi bingwa
Sasa kwanini tusiamini bikra 72 wakati kuna mtu alikuwa na wanawake 700 hapa hapa Duniani!!!kama mtu anaamin Mungu anaweza kushuka duniani kuja kutundikwa kama KORODANI na binadamu alio waumba mwenyewe, sasa bikra 72 zina shida gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa mkuu, so huko mbinguni mnaenda na miili yenu kwa ajili ya kuwashughulikia hao mabikra au mnaendaje endaje? Pia vp kuhusu undugu wenu na majini?
 
Sawa mkuu, so huko mbinguni mnaenda na miili yenu kwa ajili ya kuwashughulikia hao mabikra au mnaendaje endaje? Pia vp kuhusu undugu wenu na majini?
Hapana itaboreshwa zaidi kwasababu kule ni jambo la milele, ni kula rahaaa kufa hakuna wala uchovu wala maradhi, kuhusu majini ni viumbe tu kama viumbe wengine wala hakuna undugu wowote, kwani mkuu na wewe una amini Mungu wako alikuja duniani kutundikwa na binadamu alio waumba mwenyewe?
 
Hilo ni jambo la kiimani mkuu, sasa kama duniani mnaambiwa msinywe pombe inakuwaje mnaambiwa mkifa mtapewa pombe
 

View: https://twitter.com/AvichayAdraee/status/1851322470361383055?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1851322470361383055%7Ctwgr%5E0b31deb0dc190e89d9458fbe0f2f366f098e9ddd%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.lbcgroup.tv%2Fnews%2Flebanon-news%2F810854%2Fisraels-army-claims-capture-of-hezbollah-commander-in-aita-al-shaab-ha%2Fen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…