Ukiona mtu kabla hajaongea analotaka kuongea akajikuna kichwa, ujuwe hizo ni porojo.
Nyerere ni mtu aliyeiuwa Tanganyika kwa porojo zake.
Vizuri Sana...
Kikwete anasubiri nini kuirudisha??
Wewe unachuki kali sn kwa Nyerere, na chuki yako ni ya kurithi, haitakuja kwisha. Jaribu/jifunze kusamehe na kusahau, yeye kesha kufa hata ukimchukia haitasaidia wala haitabadirisha yaliyoshatokea zaidi unajipa maumivu ya moyo, achana nayo hayo.
Naona kama unazaidi ya uongozi wake huyu mzee, sababu hao waliopigwa detention hata wewe huna uhakika nao. Kuhusu kucheka katika hotuba zake ni kwamba hadi leo hii watu wakisikiliza hizi hotuba utakuta wanacheka, inamaana bado wanamuogopa?
Kikwete si dikteta kawaachia muamue Watanzania million 45.
Kwanza wewe jifunze kuienzi lugha yako ya Taifa, anzia kwa kuandika Kiswahili ipasavyo.
Ametuachia vp tuamue na amekataa Maoni ya tume aliyoiteua kwa kigezo cha Takwimu Zina Makengeza??
Hapa ndipo nashindwa kukuelewa Msimamo wako...
Ccm hawaitaki Tanganyika kama ambavyo Nyerere unavyoidai aliiiua..
Sasa si useme UPO UPANDE WA UKAWA TU..?
Hata hivyo najua umenielewa tu.
kuongea na utekelezaji ni vitu viwili tofauti kabisa.Kwa nini mkuu? Mbona anayoongelea ni ya msingi sana au hamaanishi anayoyasema?
Mkuu Nape na wenzie wanaijua vizuri sana ila maksudi tu! Naona mwl hakuwa mgumu wa kusoma nyakati kwani aliwatahadharisha kuwa pamoja na kuwa CCm ndiyo chama chake, wananchi wanachotaka ni mabadiliko na yasipopatikana CCM yatapatikana nje (Kumbuka ndo vyama vingi vilikuwa vimeanzishwa punde). Kero kubwa za wananchi aliacha ziko adressed kabisa. Pia sijawahi kuona hotuba ya huyu mzee akihutubia bila kucheka ila hii mwanzo hadi mwisho, nafikiri ni kwa kuwa alikuwa anaongelea mambo sensitive na sura inaonesha anamaanisha. R.I.P Mwl.
Ni kweli mkuu, lakini kila roho itaonja mauti, ni suala la muda. R.I.P IlungaDaaaaah kuna watu sumu ya r.i.p ilunga imewaingia mpaka kwenye ukucha ukizngatia sana hoja zao zina dhana ya udini ndani yake
Mkuu Abunuas huyo kiongozi naona alikuwa mtekelezaji, na subordinate walikuwa wanawajibika hasa. Kinyume na siku hizi.kuongea na utekelezaji ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mkuu unaonaje tukiamua kuwa huyu dada ni mwl wa kiswahili hasa katika taasisi/shule ya dini?Mnakazi ngumu sana ya kujibizana na Feiza juu ya Nyerere, hatamngeongea mazuri kiasi gani dada yangu huyu ni kama ameshaamua kumdharau Nyerere sidhani kama ni udikteta tu anaosema Nyerere alikuwa nao ni zaidi ya huo wengi huusisha na dini yake hasa kwa dhehebu lake Catholic. Na mara nyingi akishindwa hoja dada yangu huyu hukimbilia kurekebisha maneno kadhaa ya kiswahili uliyoyatumia kwenye hoja husika na kupotea kwa mtindo huo na huwezi kumkosa kwenye uzi wowote unao mzungumzia mwalimu iwe kwa mazuri au mabayo ana CHUKI ya asili.
BACK TANGANYIKA
Mkuu unaonaje
tukiamua kuwa huyu dada ni mwl wa kiswahili hasa katika taasisi/shule ya
dini?
Hizo ni hypothesis, "ange...". Yeye ndio aliyeiuwa na kila aiyeongelea hilo amma alipotezwa amma alisulubiwa, Jikumbushe, Kassim Hanga, Aoud Jumbe n wengineo.
Huyo Mzee alikuwa ni ndumila kuwili na porojo nyingi, alipoongea alijichekesha na watu walijichekesha hata pasipochekesha, kwa uoga tu wa udikteta wake.
To me he is nothing but porojo.
Huna lolote wewe udini tu ndio unakusumbua.
Vipi Lissu, aliyesema huyo ni muongo, nae ni mdini?
Leo Lisu unamuona wa maana kisa kamkosoa Nyerere; kwa taarifa yako mtazamo wako haufanani na wa Lisu kuhusu Nyerere kwani anamkubali na anamheshimu ila yuko tayari kukosoa pale aonapo mapungufu tofauti na wewe unayeonesha dharau. Punguza ubaguzi. Mkuu benteke huyu mama asubiri siku wakristu wakioa mwanae (kama Mungu kamjalia wa kike), atakoma kuringa.Vipi Lissu, aliyesema huyo ni muongo, nae ni mdini?