chipanga
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 711
- 438
Ukiona mtu kabla hajaongea analotaka kuongea akajikuna kichwa, ujuwe hizo ni porojo.
Wewe unachuki kali sn kwa Nyerere, na chuki yako ni ya kurithi, haitakuja kwisha. Jaribu/jifunze kusamehe na kusahau, yeye kesha kufa hata ukimchukia haitasaidia wala haitabadirisha yaliyoshatokea zaidi unajipa maumivu ya moyo, achana nayo hayo.