Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo.
Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China.
Wiki iliyopita uongozi wa Trump uliizuia NVIDIA kuuza chip aina ya H20 nchini China. Wakati H100 zilizuiwa kuuzwa China tangu 2022 kipindi cha utawala wa Biden.
Hatimaye HUAWEI wamekuja na chip inayoitwa Huawei's Ascend 910C.
Ukija kwenye perfomance-wise, Ascend 910C ni more powerfull kuliko H20 na ni powerful kuliko chip bora na latest zaidi ya NVIDIA H100.
Wakati kampuni kama DeepSeek ikifanya vizuri kwenye AI software, HUAWEI imekuja kumaliza game la AI kwenye AI hardware. Hizi sio habari njema kwa Marekani na California Silicon Valley achia mbali NVIDIA.
Next month HUAWEI itaanza mass shipment kwa wateja wake wa China na tayari kampuni kama Baidu na ByteDance wamiliki wa TikTok wameanza kuzitest na kuzikubali.
Matokeo ni kwamba hisa za NVIDIA zimeshuka kwa 3% kwenye soko la hisa nchini Marekani. Na inakadiriwa NVIDIA itapoteza mapato ya USD 17 billion kutoka China.
Wakati Trump alipokuwa raisi wa Marekani awamu yake ya kwanza mwaka 2018 serikali yake iliifanyia figisu kampuni ya HUAWEI ili ipotee kwenye soko la dunia. Haya ndiyo aliyosema CEO wa Huawei:

“If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”
– Ren Zhengfei (Huawei CEO)
– Ren Zhengfei (Huawei CEO)