HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Nasikia wakati Trump anaweka tarrifs na hiki kilikuwa kinatokea everything is and will be made in China, ni suala la muda😃
1000031022.jpg
 
na kibaya zaidi nilichogundua hata wanaoshabikia na kucomment kuhusu hii vita baridi

Lakin kwa kuwa tuna kizazi cha watu wasiopenda kusoma bali kudandia mambo kwa juujuu basi wachache sana watakuelewa.
Kuna mijinga humu kwanza haijawahi hata kuishi na kuwaelewa wazungu wanaowashabikia kimahaba bila kutumia akili..
Na sio vichwa vya habari au kuangalia ujinga wa youtube za kusifia ushabiki maandazi wa US ...
Ukiishi na Wazungu ndio utajua jinsi wana hofu kubwa na Mchina kwenye kila nyanja leo hii, kila habari mpya kwao lazima Mchina anahusika...
Halafu mjinga mmoja wa kijiweni anabwabwaja humu stori za miaka ya zilipendwa za wazungu.....
Wakati kila kilicho kipya kwa mzungu kwa sasa kinahusika na manpower ya Mchina...
Ni mpaka huyu mwamba alivyomtolea uvivu elon musk, ndio ikajulikana kwanini elon musk anapinga vita ya tarrif na China....

iOS sio kwamba inamilikiwa na Apple kweli šŸ¤”
Typing error ilitakiwa iandikwe Google (Android OS) na sio iOS

By the way bado Huawei inacompete na wote wawili Apple na Google kwenye OS

Harmony OS (Huawei) vs iOS (Apple) +Android OS (Google)
​
 
Can't imagine China ikiwa super power dunia itakuwaje. Tech war, economic war ndio vita kubwa kuliko vita ya silaha. Let's see who's gonna come out victorious.
 
You said it all.

Lakin kwa kuwa tuna kizazi cha watu wasiopenda kusoma bali kudandia mambo kwa juujuu basi wachache sana watakuelewa.
Yeah, propaganda za mataifa ya Magharibi kwenye media, internet na vitabu vimewaficha wengi ukweli kuhusu China ​
 
Kuna mijinga humu kwanza haijawahi hata kuishi na kuwaelewa wazungu wanaowashabikia kimahaba bila kutumia akili..
Na sio vichwa vya habari au kuangalia ujinga wa youtube za kusifia ushabiki maandazi wa US ...
Ukiishi na Wazungu ndio utajua jinsi wana hofu kubwa na Mchina kwenye kila nyanja leo hii, kila habari mpya kwao lazima Mchina anahusika...
Halafu mjinga mmoja wa kijiweni anabwabwaja humu stori za miaka ya zilipendwa za wazungu.....
Wakati kila kilicho kipya kwa mzungu kwa sasa kinahusika na manpower ya Mchina...
Ni mpaka huyu mwamba alivyomtolea uvivu elon musk, ndio ikajulikana kwanini elon musk anapinga vita ya tarrif na China....

Manufacturers na defense contractors wa Marekani wanategemea sana Chinese suppliers ili wapate dual use goods, critical components, chemicals, crititical minerals kama rare earths, drug APIs n.k

Na bado raia wa Marekani wanapoenda kununua mahitaji yao ya kawaida kwenye stores kama Walmart, 70% ya bidhaa ni Made in China

Imports kubwa ya China kutoka Marekani ilikuwa agricultural products kama soybeans
​
 
Can't imagine China ikiwa super power dunia itakuwaje. Tech war, economic war ndio vita kubwa kuliko vita ya silaha. Let's see who's gonna come out victorious.
So far China mainly exports high tech goods to the US, while the US mainly exports low tech goods to China

Kwenye economic na trade war China ni industrial powerhouse output ya viwanda vya China ni sawa na U.S + Germany+ India

About 70% economies worldwide now trade more with China than U.S

Sehemu ya deni inayodaiwa Marekani kimataifa kwenye U.S treasuries, China ni ya pili kwa kuidai Marekani kibunda kirefu baada ya Japan

China holds the cards, the US is betting all in on a losing hand. The game is the game

Still, US has the upper hand as many of its manufacturing industries/companies are in China. China boasts a large number of consumers but the US tech is still the best if not one of the best.
 
Hakuna kitu ambacho Marekani anafanya kwenye silaha na vyombo vya angani ambacho China hawezi na vingine kamzidi
Hivi hiyo technology ya mchina onawafunikaje hawa jamaa?

Major Tech Companies​

  1. Apple Inc. – iPhones, Macs, iOS, iCloud
  2. Microsoft – Windows, Office, Azure, Xbox
  3. Google (Alphabet Inc.) – Search engine, Android, Google Cloud, YouTube
  4. Amazon – AWS (cloud), Alexa, Echo devices
  5. Meta Platforms (formerly Facebook) – Facebook, Instagram, WhatsApp, Oculus VR
  6. Tesla – Electric vehicles, Autopilot, AI chips
  7. NVIDIA – GPUs, AI chips, CUDA platform
  8. Intel – CPUs, semiconductors, integrated graphics
  9. AMD – Processors, GPUs (Radeon), chipsets
  10. IBM – Cloud, Watson AI, quantum computing
  11. Cisco Systems – Networking hardware and software
  12. Oracle – Databases, cloud services, enterprise software
  13. Qualcomm – Mobile chipsets (Snapdragon), 5G tech
  14. Netflix – Streaming platform, content delivery tech
  15. SpaceX – Rockets, Starlink internet
  16. Palantir – Big data analytics software
  17. HP (Hewlett-Packard) – PCs, printers, enterprise solutions
  18. Dell Technologies – Computers, servers, cloud solutions
  19. Adobe Systems – Photoshop, Premiere, Creative Cloud
  20. Uber Technologies – Ride-hailing, autonomous vehicle research

Emerging Technologies​

  • AI and Machine Learning – OpenAI (ChatGPT), DeepMind (owned by Alphabet)
  • Quantum Computing – IBM, Google, Rigetti Computing
  • Augmented & Virtual Reality – Meta (Oculus), Apple (Vision Pro)
  • 5G & Edge Computing – Qualcomm, Intel, AT&T, Verizon
  • Cybersecurity – CrowdStrike, Palo Alto Networks, Fortinet
  • FinTech – Stripe, Square (Block), Robinhood, Coinbase
  • Clean Energy Tech – Tesla, Enphase Energy, SunPower

Unataka nikupe orodha ya kampuni za kiteknolojia ndogo au zile zinazochipukia pia?
 
Still, US has the upper hand as many of its manufacturing industries are in China. China boasts a large number of consumers but the US tech is still the best if not one of the best.
Those were the days decades ago when U.S hegemony controlled tech, trade and military power, those days are over

Now China has high tech internationally well known name brands of China's own.

These China based MNCs are even now topped sales in global market, for instance BYD outcompete Tesla in both sales and revenues in EVs

Talking of home appliances, telecommunication equipments, automobile industry, chemicals, drug APIs, construction equipments, heavy duty machines, ship building, electronics etc now China topped sales worldwide with it's brands of China's own

Chinese MNCs invest billions of dollars in overseas FDI, you can find China based factories and corporations operate in Europe, U.S, Latin America, Asia and Africa these days. This to prove how stong they are to compete with their Western counterparts

Lets back to your point. Why U.S is outsourcing it's manufacturing in China? They are in China to minimize production cost since China has strong supply chain, abundance of skilled personnel and Chinese suppliers for critical components

But nowdays as Chinese firms become competitive, foreign companies get hit with a one two punch. Some have suspended production in China, they’re squeezed out of the China market, losing a major source of revenue
​
 
Hivi hiyo technology ya mchina onawafunikaje hawa jamaa?

Major Tech Companies​

  1. Apple Inc. – iPhones, Macs, iOS, iCloud
  2. Microsoft – Windows, Office, Azure, Xbox
  3. Google (Alphabet Inc.) – Search engine, Android, Google Cloud, YouTube
  4. Amazon – AWS (cloud), Alexa, Echo devices
  5. Meta Platforms (formerly Facebook) – Facebook, Instagram, WhatsApp, Oculus VR
  6. Tesla – Electric vehicles, Autopilot, AI chips
  7. NVIDIA – GPUs, AI chips, CUDA platform
  8. Intel – CPUs, semiconductors, integrated graphics
  9. AMD – Processors, GPUs (Radeon), chipsets
  10. IBM – Cloud, Watson AI, quantum computing
  11. Cisco Systems – Networking hardware and software
  12. Oracle – Databases, cloud services, enterprise software
  13. Qualcomm – Mobile chipsets (Snapdragon), 5G tech
  14. Netflix – Streaming platform, content delivery tech
  15. SpaceX – Rockets, Starlink internet
  16. Palantir – Big data analytics software
  17. HP (Hewlett-Packard) – PCs, printers, enterprise solutions
  18. Dell Technologies – Computers, servers, cloud solutions
  19. Adobe Systems – Photoshop, Premiere, Creative Cloud
  20. Uber Technologies – Ride-hailing, autonomous vehicle research

Emerging Technologies​

  • AI and Machine Learning – OpenAI (ChatGPT), DeepMind (owned by Alphabet)
  • Quantum Computing – IBM, Google, Rigetti Computing
  • Augmented & Virtual Reality – Meta (Oculus), Apple (Vision Pro)
  • 5G & Edge Computing – Qualcomm, Intel, AT&T, Verizon
  • Cybersecurity – CrowdStrike, Palo Alto Networks, Fortinet
  • FinTech – Stripe, Square (Block), Robinhood, Coinbase
  • Clean Energy Tech – Tesla, Enphase Energy, SunPower

Unataka nikupe orodha ya kampuni za kiteknolojia ndogo au zile zinazochipukia pia?
Hivyo vyote Mchina anavyo nothing new hapo na tena maeneo mengine kampiga gap Marekani kwa mbali. Don't underestimate China when it comes to sci-tech innovations

​
 
Hivyo vyote Mchina anavyo nothing new hapo na tena maeneo mengine kampiga gap Marekani kwa mbali. Don't underesyimate China when it comes to sci-tech innovations

​
startergear pitia hizo nyuzi
 
Hayo mnayoongea mbona bado mpo influenced na western techs mfano hapo utakuta umecoment Kwa kutumia android au ios
Mimi ninachojua tuko dunia ya innovations kusema Western techs huo ni mtazamo wako

Na ndio maana China inayazidi hata mataifa ya West katika sehemu nyingi baadhi ya fields za tech
 
AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo.

Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China.

Wiki iliyopita uongozi wa Trump uliizuia NVIDIA kuuza chip aina ya H20 nchini China. Wakati H100 zilizuiwa kuuzwa China tangu 2022 kipindi cha utawala wa Biden.

Hatimaye HUAWEI wamekuja na chip inayoitwa Huawei's Ascend 910C.

Ukija kwenye perfomance-wise, Ascend 910C ni more powerfull kuliko H20 na ni powerful kuliko chip bora na latest zaidi ya NVIDIA H100.

Wakati kampuni kama DeepSeek ikifanya vizuri kwenye AI software, HUAWEI imekuja kumaliza game la AI kwenye AI hardware. Hizi sio habari njema kwa Marekani na California Silicon Valley achia mbali NVIDIA.

Next month HUAWEI itaanza mass shipment kwa wateja wake wa China na tayari kampuni kama Baidu na ByteDance wamiliki wa TikTok wameanza kuzitest na kuzikubali.

Matokeo ni kwamba hisa za NVIDIA zimeshuka kwa 3% kwenye soko la hisa nchini Marekani. Na inakadiriwa NVIDIA itapoteza mapato ya USD 17 billion kutoka China.

Wakati Trump alipokuwa raisi wa Marekani awamu yake ya kwanza mwaka 2018 serikali yake iliifanyia figisu kampuni ya HUAWEI ili ipotee kwenye soko la dunia. Haya ndiyo aliyosema CEO wa Huawei:
​

ā€œIf you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.ā€
– Ren Zhengfei (Huawei CEO)​
Dah kaka hizo post zako as HUAWEI Wameishaifunika wakati ndio kwaaanza, NVIDIA IKO pale pale, ungesema wapewe muda kuifikia NVIDIA sio kusema imewafunika which is not correct
 
Dah kaka hizo post zako as HUAWEI Wameishaifunika wakati ndio kwaaanza, NVIDIA IKO pale pale, ungesema wapewe muda kuifikia NVIDIA sio kusema imewafunika which is not correct
Huawei's ascend kwenye performance wise ni more powerful kuliko Nvidia H20. NVIDIA iko palepale Marekani ila sio China​
 
Back
Top Bottom