Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Dah kaka hizo post zako as HUAWEI Wameishaifunika wakati ndio kwaaanza, NVIDIA IKO pale pale, ungesema wapewe muda kuifikia NVIDIA sio kusema imewafunika which is not correct
Dah kaka hizo post zako as HUAWEI Wameishaifunika wakati ndio kwaaanza, NVIDIA IKO pale pale, ungesema wapewe muda kuifikia NVIDIA sio kusema imewafunika which is not correct
And that right there is the problem 😂😂
Never seen a side in jf that’s got a brain dead than pro WestAnd that right there is the problem 😂😂
You will be suprisedNever seen a side in jf that’s got a brain dead than pro West
Tuanze na wewe unatumia android au iOS?Mimi ninachojua tuko dunia ya innovations kusema Western techs huo ni mtazamo wako
Na ndio maana China inayazidi hata mataifa ya West katika sehemu nyingi baadhi ya fields za tech
I'm always surprisedYou will be suprised
Natumia iOSTuanze na wewe unatumia android au iOS?
Mpaka itokee utakuwa uko mbinguni na jiweCan't imagine China ikiwa super power dunia itakuwaje. Tech war, economic war ndio vita kubwa kuliko vita ya silaha. Let's see who's pgonna come out victorious.
M
Mpaka itokee utakuwa uko mbinguni na jiwe
badly hii vita CHINA hawezi kushinda, uanchotakiwa kuelewa ni kinachofanya AI ifanye kazi sio kua na izo kadi tu bali kuna software inaitwa CUDA (Compute Unified Device Architecture) bila hii graphics card haziwezi kufanya kazi ya AI bali zitafanya kazi za kawaida kama graphics na gaming, CUDA ni special kwa ajili ya kuzitumia zile core za GPU zifanye kazi zote kwa pamoja, unfortunately CUDA is created by NVIDIA and works with NVIDIA only and even deep seek uses NVIDIA ila sio zile powerful kihivo but ni NVIDIA badoHUAWEI imekuwa ikiitwa jeshi la mtu mmoja.
Kwa sababu ina compete na kampuni kubwa za Marekani na Ulaya kwenye nyanja mbalimbali za teknolojia. Na sehemu nyingi imewa-outcompete
Kampuni za Marekani zinazo-compete na HUAWEI na aina ya tech kwenye mabano:
🔹Apple (smartphones)
🔹Google (OS)
🔹Nvidia (AI chips, GPU)
🔹Cisco (telecom infrastructure)
🔹OpenAI (AI)
🔹Amazon AWS (cloud computing)
Kampuni za Ulaya:
🔹Ericsson na Nokia (4G and 5G infrastructure)
Kwa sasa HUAWEI inafanya vizuri sana kwenye teknolojia ya magari ya kisasa ya EV upande wa software na hardware.
Kampuni ya Ujerumani BMW imefanya joint venture na HUAWEI ili ku-access software na hardware tech kwa ajili ya magari yao ya EVs.
Huawei hana Capacity ku rival Nvidia, hio yenyewe kutengeneza chip ya AI inabidi simu zake za mate ziwe postponed sababu hakuna Capacity.
Kifupi Duniani leading edge node ni moja tu kwa sasa inapatikana Tsmc, bila wao ni either utumie node za kizamani ama ule hasara kutumia node za SMIC ama Samsung ambazo zina yields ndogo sana as of now.
badly hii vita CHINA hawezi kushinda, uanchotakiwa kuelewa ni kinachofanya AI ifanye kazi sio kua na izo kadi tu bali kuna software inaitwa CUDA (Compute Unified Device Architecture) bila hii graphics card haziwezi kufanya kazi ya AI bali zitafanya kazi za kawaida kama graphics na gaming, CUDA ni special kwa ajili ya kuzitumia zile core za GPU zifanye kazi zote kwa pamoja, unfortunately CUDA is created by NVIDIA and works with NVIDIA only and even deep seek uses NVIDIA ila sio zile powerful kihivo but ni NVIDIA bado
Lakini hapo hapo, Wanafunzi wengi wa China hupelekwa kusoma vyuo vya Marekani.China kwa mwaka inazalisha more than 1 million graduates wa Science, Technology, Engineering, Maths (STEM)
Marekani kwa mwaka inazalisha graduates wa STEM 400k na foreign students ni 100k
Imagine karibu 50% ya wanfunzi vyuoni China wako kwenye STEM fields
Lakini hapo hapo, Wanafunzi wengi wa China hupelekwa kusoma vyuo vya Marekani.
Na Chinese wengi hutumia hata njia haramu kukimbilia US, kuliko wa Marekani kwenda China
Soko la HAUWEI liko wapi? Maana naona kama zimepotea kabisa mtaani?
Tuone mara ngapi mkuu?Ngoja tuone...