HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Huawei hana Capacity ku rival Nvidia, hio yenyewe kutengeneza chip ya AI inabidi simu zake za mate ziwe postponed sababu hakuna Capacity.

Kifupi Duniani leading edge node ni moja tu kwa sasa inapatikana Tsmc, bila wao ni either utumie node za kizamani ama ule hasara kutumia node za SMIC ama Samsung ambazo zina yields ndogo sana as of now.
Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
 
Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
Mimi hata Sio mdau wa Usa, ila huo ndio ukweli, mwaka 2019 Nvidia value yake ni $89B tu, from 89B mpaka 3 trillion Dollar ndani ya miaka 5 sio mchezo,

Kifupi mkuu wote Makampuni ya Usa na ya China Yalikua yamelala wakati Nvidia anaanza AI baada ya Nvidia kutoboa wengine ndio wanaanza kuamka nao ila ndio too late.

AI hardware ni kubwa mno zinataka Manufacturing process zenye yield za kutosha, ambapo kwa sasa ni Tsmc pekee ndio ana leading Edge node edge kufanikisha hilo,

Pia unahitaji High bandwidth memory ambazo Samsung wenyewe zinawapeleka mbio hadi sasa hivi hawaja toa bidhaa bora, inabidi Nvidia amtumie Sky hnyx,

Then unahitaji Ip na technology ya maana kutengeneza Parrallel computing nayo Nvidia ni kiongozi.

Ukikosa kimoja katika hivyo vitatu huwezi Tengeneza a competitive hardware.
 
AI au akili mnemba ili iweze kufanya kazi inahitaji chip, na sio tu kila chip inaweza kufanya hivyo.

Kuna chips maalumu na za hali ya juu kwa ajili ya AI. Na kampuni ya NVIDIA imekuwa supplier mkubwa wa hizo chips zinazoitwa H20 na H100. Na moja ya soko lake kubwa lilikuwa ni China.

Wiki iliyopita uongozi wa Trump uliizuia NVIDIA kuuza chip aina ya H20 nchini China. Wakati H100 zilizuiwa kuuzwa China tangu 2022 kipindi cha utawala wa Biden.

Hatimaye HUAWEI wamekuja na chip inayoitwa Huawei's Ascend 910C.

Ukija kwenye perfomance-wise, Ascend 910C ni more powerfull kuliko H20 na ni powerful kuliko chip bora na latest zaidi ya NVIDIA H100.

Wakati kampuni kama DeepSeek ikifanya vizuri kwenye AI software, HUAWEI imekuja kumaliza game la AI kwenye AI hardware. Hizi sio habari njema kwa Marekani na California Silicon Valley achia mbali NVIDIA.

Next month HUAWEI itaanza mass shipment kwa wateja wake wa China na tayari kampuni kama Baidu na ByteDance wamiliki wa TikTok wameanza kuzitest na kuzikubali.

Matokeo ni kwamba hisa za NVIDIA zimeshuka kwa 3% kwenye soko la hisa nchini Marekani. Na inakadiriwa NVIDIA itapoteza mapato ya USD 17 billion kutoka China.

Wakati Trump alipokuwa raisi wa Marekani awamu yake ya kwanza mwaka 2018 serikali yake iliifanyia figisu kampuni ya HUAWEI ili ipotee kwenye soko la dunia. Haya ndiyo aliyosema CEO wa Huawei:
​

“If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”
– Ren Zhengfei (Huawei CEO)​
Trump ni kiazi mbatata
 
Kuwa leading company haimaanishi kuwa wengine hawana uwezo wa kutengeneza chips.

Na NVIDIA ni leader kwenye kudesign ila mtengenezaji wake ni TSMC

Kwenye uzi kuna mahali popote pamezungumziwa soko la dunia?

Kitu ambacho China inafanya ni kuwa self dependent kwenye tech na wameweza

By the way China ndiyo inaongoza kwenye AI patents kuliko hata Marekani.
​
So umekubali after all, the badilisha kichwa cha habari cha mada yako. Una make it look like china wame wipe NVDIA out of existence. Come on man
 
na kibaya zaidi nilichogundua hata wanaoshabikia na kucomment kuhusu hii vita baridi hawajui historia ya china.

China was once an ancient super power. Fuatilia enzi za Ming dynasty, Tang dynasty, etc maajabu yalokua yanafanyika enzi hizo. Lakini hayo huwezi kuyasikia kwenye historia sbb vitabu vinavyotumika africa vimeandikwa na wazungu.

Ni swala la muda tu kombe kurudi China sababu hizi superpowers zinaenda kwa Cycles Kama ambavyo ilikua Ottoman ikafa, Dutch Empire ikafa, UK ikafa, US nayo itakufa na historia itaendelea
Africa itakuwa mhanga mkubwa zaidi China akiwa super power, sababu kubwa ni kwamba China inahitaji rasilimali, masoko na sehemu ya kudampu mamilioni ya watu wake wasio ajira. Tumeanza kuziona cheche Wachina wakiuza hadi hadi kandamili na vyombo vya ndani Kariakoo na kuchezesha madubwi ya kamari vijijini.
 
Nilisoma namna hiyo pia, sema kwa vile wengine sio tech gurus ni ngumu kujenga hoja. NVIDIA hajapata mshindani bado, ascend ana safari ndefu sana.
Umerudi? Ascend is far better and more powerful than H20
 
So umekubali after all, the badilisha kichwa cha habari cha mada yako. Una make it look like china wame wipe NVDIA out of existence. Come on man
Sawa, ni kama coincedence Trump anapiga marufuku na Huawei wanatoa kitu tena sio kipolepole​
 
Africa itakuwa mhanga mkubwa zaidi China akiwa super power, sababu kubwa ni kwamba China inahitaji rasilimali, masoko na sehemu ya kudampu mamilioni ya watu wake wasio ajira. Tumeanza kuziona cheche Wachina wakiuza hadi hadi kandamili na vyombo vya ndani Kariakoo na kuchezesha madubwi ya kamari vijijini.
Nani aliwaambia China inataka kuwa superpower?​
 
Samsumg wanatengeneza DRAM chips na NAND memory chips

Hata China wana semiconductor foundries zinazotengeneza DRAM chips mfano CXMT

Na upande wa NAND memory chips kampuni ya YMTC inazitengeneza
​
Samsung wameshapoteza market share kwenye soko la China nashangaa sana hao jamaa wanaobisha
 
Nikkei ni most reliable, ni jarida la kulipia level za financial times, bloomberg etc kuwapinga unahitaji ushahidi usio na shaka ulete hapa.
Acha kuandika ufara

Financial Times na Bloomberg ndizo zinadanganya dunia kuwa Trump ameongea na Xi

Wanadanganya kuwa China imepunguza tariffs kwa baadhi ya bidhaa za Marekani

Na China imekanusha habari zao zote
 
Wachina wakifanikiwa miaka ijayo kumiliki roboti itakuwa kama kumiliki simu
 
Back
Top Bottom