We jamaa mchina hajui kuunda OS ?
Halafu OS ni kama gari au nyumba unapoiunda midingi ni ile ile.
Ukiunda leo gari uanadhani hutatumia piston, shaft, gear nk. Kwa hio Mchina kuunda OS kutumia misingi ya Wamarekani sio ishu bsli kuweza kuunda.
Hata hao wamarekani kuna vitu vingi hawakujengea misingi wao mfano space technology, nuclear tech. Mfano monster wa screen technology hata hio unayo scrow hapo ni wajapan.
Wazungu wametumia teknolojia kama fimbo ya kunyonya mataifa mengine kwa miaka mingi leo unatokeza mbadala mnaponda na kubeza. Kwa hoo mnataka muendelee kuburuzwa na kupangiwa maisha na wazungu?
Hivi sisi waaafrika tuna akili kweli ?
Ilitakiwa tuipongeze China nasi tujipe moyo kuwa mbona mwenzetu kaweza hata sisi tunaweza kuanza na kufaulu. AFRICAN MAN AMKA!!!
Achaneni na kuabudu wazungu, sio mu gu hao ni watu kama nyie.