basi itoshe kusema hujaelewa hii trade war inaendaje, hakuna mtu duniani mpaka sasa anaweza kureplace NVIDIA, bila NVIDIA hata crypto hazifanyi kazi leave alone AI, NVIDIA is too way ahead on the CHIP game, anaefuatia anaitwa AMD ni mmarekani pia lakini yupo miaka buku nyuma!
hilo la kwanza
2) NVIDIA zote zilizopo china zmeingiziwa kimagendo na unaweza kuingia hatiani ukikutwa na NVIDIA chips za uwezo flan, last few months iligundulika underground tunnel inaotumika kuingiza NVIDIA nchini
View attachment 3316808
sasa wewe endelea kukaa apo ukahisi china anajiweza