Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #121
kiingeleza 😅Inaonekana kiingeleza kgumu sana
kiingeleza 😅Inaonekana kiingeleza kgumu sana
kwaheri. We jamaa noma kwa huu uongo unaosema wazi wazi hata uambiwe nini huwezi a mini.
800TFLOP of FP16 na 64 of INT8Hujui kwa kiswahili rahisi Nimekuuliza "huo mchele una uzito kiasi gani?" na wewe ukanijibu "una gram na lita"
Umenitajia Si unit na sio value
FP ni kifupi cha Floating point
Int ni kifupi cha integer
Hizo ni Unit za kupima perfomance za Cpu FP most of time ikimaanisha perfomance ya server na workstation related issue na integer ikimaanisha perfomance ya consumer related tasks kama kucheza games, browsing etc.
Kwenye GPU FP hutumika kupima floating points na FP16 ni half precision, kuna Fp32 na Fp64.
Zote hizo zenyewe kama zenyewe hazina maana ni si unit tu ili zileleweke ulitakiwa uweke value kwa mbele.
Kwenye Gpu hupimwa kwa Flop, mfano mtu anaweza kwambia perfomance ya GPU ni FP32 4TF akimaanisha nguvu ya hio gpu kwenye FP32 ni teraflop 4.
Sasa wewe hujaweka value yoyote inamaana umecopy tu sehemu na hata hujui vina maanisha nini.
yawezekana huelewi izi AI znafanya vp kazi, unatumia siasa sana, ushawahi kujiuliza kwann NVIDIA peke yake ndo imekuja kufanikiwa katika AI na kuna chips nyingi duniani nzuri kuanzia AMD, na ushawahi kujiuliza kwann wachina wanaingiza NVIDIA kwenda china kwa magendo? ukiongelea uhalisia na kama kwel unataka uhalisia china hawezi kushinda battle ya NVIDIA hawa jamaa they are popular and successful sio kwa siasa
Wewe Chief ni nguli wa tech hapa JF utapoteza muda wako bure kujibizana na huyo mpumbavu ambaye ana mahaba niue kwa China..Unajua hata maana ya FP na int? Tunapotezeana muda tu hapa, source ya claim yako ni ipi?
Marekani kazi yake kutoa green card, s holarship nk. Wachina wanakomaa wenyewe, siku wakuanza kuyoa scholarship kwa wingi USA atakosa talents na ndio kifo chake. Sasa hivi wanawatum8a sana wahindi, wahindi wakishtuka USA itakufa kiteknolojia.China kwa mwaka inazalisha more than 1 million graduates wa Science, Technology, Engineering, Maths (STEM)
Marekani kwa mwaka inazalisha graduates wa STEM 400k na foreign students ni 100k
Imagine karibu 50% ya wanfunzi vyuoni China wako kwenye STEM fields
Hakuna uhanga hapa kwa vyote ulivyo andika unless uniambie kuwa waafrika akili hazipo kugeuza yote haya fursa.Africa itakuwa mhanga mkubwa zaidi China akiwa super power, sababu kubwa ni kwamba China inahitaji rasilimali, masoko na sehemu ya kudampu mamilioni ya watu wake wasio ajira. Tumeanza kuziona cheche Wachina wakiuza hadi hadi kandamili na vyombo vya ndani Kariakoo na kuchezesha madubwi ya kamari vijijini.
Huyu mchina feki wa JF ni muongo kupindukia huyo ni China yawa ya kwanza kwenye....Wewe Chief ni nguli wa tech hapa JF utapoteza muda wako bure kujibizana na huyo mpumbavu ambaye ana mahaba niue kwa China..
basi itoshe kusema hujaelewa hii trade war inaendaje, hakuna mtu duniani mpaka sasa anaweza kureplace NVIDIA, bila NVIDIA hata crypto hazifanyi kazi leave alone AI, NVIDIA is too way ahead on the CHIP game, anaefuatia anaitwa AMD ni mmarekani pia lakini yupo miaka buku nyuma!Ni wapi China imesema inaingizia kimagendo chips za NVIDIA?
Trump ameshapiga ban chips za H20 na H100 zisiingie China.
So far imeathirije AI industry ya China?
Ni wapi China imesema inaingizia kimagendo chips za NVIDIA?
Trump ameshapiga ban chips za H20 na H100 zisiingie China.
So far imeathirije AI industry ya China?
we jamaa unawapenda wachina sana,Kila la heri, ukijisikia tena karibu kuja kwenye hii arguments.
Kwa sasa China wameshaanza kutumia domestic DUV machines
Na kwenye Q3 ya mwaka huu na 2026 Huawei wataanza trial production na mass productuon ya EUV machines
Zinaingia kubasi itoshe kusema hujaelewa hii trade war inaendaje, hakuna mtu duniani mpaka sasa anaweza kureplace NVIDIA, bila NVIDIA hata crypto hazifanyi kazi leave alone AI, NVIDIA is too way ahead on the CHIP game, anaefuatia anaitwa AMD ni mmarekani pia lakini yupo miaka buku nyuma!
hilo la kwanza
2) NVIDIA zote zilizopo china zmeingiziwa kimagendo na unaweza kuingia hatiani ukikutwa na NVIDIA chips za uwezo flan, last few months iligundulika underground tunnel inaotumika kuingiza NVIDIA nchini
View attachment 3316808
sasa wewe endelea kukaa apo ukahisi china anajiweza
we jamaa unawapenda wachina sana,
basi itoshe kusema hujaelewa hii trade war inaendaje, hakuna mtu duniani mpaka sasa anaweza kureplace NVIDIA, bila NVIDIA hata crypto hazifanyi kazi leave alone AI, NVIDIA is too way ahead on the CHIP game, anaefuatia anaitwa AMD ni mmarekani pia lakini yupo miaka buku nyuma!
hilo la kwanza
kwan si Xi alishasema mara za kutosha hakuna kuingiza NVIDIA nchini, shida umeweka siasa mbele ukwel ni kwamba china inahitaji sana NVIDIA na haina budi na ata deepseek inatumia NVIDIAZinaingia ku
Achana na hizo habari za anti China media kama Reuters na WSJ
Habari kama hizo za anti China media utazipata Bloomberg, NYT, Reuters na WSJ tu
Ni wapi serikali ya Marekani au NVIDIA wenyewe wamekiri kuwa chips za NVIDIA zinaingia China kimagendo?
Hebu soma hiyo article kutoka Reuters moja ya anti China media. Tatizo lenu hamtaki ukweli kuwa Huawei imeachieve kwenye kutengeneza AI chip bora kuliko hata ya NVIDIA H20
Au hapa hamkubaliani na Reuters?
View: https://x.com/Reuters/status/1914325861043409319?t=tf1-t9PnRYCE14wmM8fvLw&s=19
kwan si Xi alishasema mara za kutosha hakuna kuingiza NVIDIA nchini, shida umeweka siasa mbele ukwel ni kwamba china inahitaji sana NVIDIA na haina budi na ata deepseek inatumia NVIDIA
Mkuu wewe ni mjamaa mwenzetu kabisa, mbona hutuungi mkono juu ya habari za China?.Samahani unalipwa na China?? Coz naona mabandiko yako mengi yanaipa sifa sana China na kuishusha Marekani plus Wamagharibi! Kila kitu cha Mchina ni kizuri ila cha Mmarekani plus Wamagharibi ni kibaya!
mahaba
hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine
propaganda
habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani
Hapa unataka kumaanisha nini?mbna news inaelewweka kabisa inasema wanataka kutumia kama alternative, haimaanishi kwamba wamepata alternative