HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

unaweza kutumia mashine nzuri ya kusaga na ukatoka unga mbaya, nkimaanisha kila mbegu ya mahindi znatafautiana na ndo znaamua ugali utoke vp

- TSMS kwenye GPU hawapo sana zaidi wanadeal na semi conductors ambazo zko pia kwenye GPU but hazina uhusiano na kuamua NVIDIA ama AMD awe bora, kuna kitu unachanganya apa, kwanza unatakiwa kuelewa ili AI iweze kufanya kazi inatakiwa kua na nini ndo tutafika conclusion, labda nkuulize ili AI iweze kurun inahitaji hardware gan na gan
Point yetu iko kwenye fabrication tusitoke kwenye hii mada

Swali ni kwa nini NVIDIA, AMD na Qualcomm hawawezi kufanya fabrication?

Ndio maana nasema U.S semiconductors companies ni fabless
​
 
it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hio
 
chagua GPU card yoyote ya huawei unaotaka alafu njoo na idadi ya cores zake then mjadala utakua umeeleweka vizuri
Unaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana​
 
it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hio
Swali ni fupo sana ila maelezo marefu mno hatuhitaji maelezo marefu

Kwa hiyo kwa hapo Huawei iko mbele ya Nvidia na the likes of inapokuja kwenye kudesign na fabrication?

huawei ni over rated company, kila kukiwaga na battle yupogo mbele kwenye headlings, remember when android was banned in china and they came up with harmony OS wakisema is better than android, wakawalipa youtubers kuanza kufanya review? its 10 years now
 
Unaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana​
Huawei Ascend 920 amna sehem wameweka cores zao public however H200 has almost 18,500 cores, however these cores are CUDA cores meaning you have 18,500 employees to do a single work, thats insane fast, so what i did i used grok to make a comparison since huawei hajaweka public data zao

1745735428530.png

1745735462394.png

1745735479151.png

1745735507678.png

1745735540046.png

no wonder unajiita xijin ping unawapenda wachina sana, hao wazee wa propaganda, ukiwaskiliza unaweza hisi dunia kesho ndo mwisho ama kesho wachina wanachukua dunia, they are advanced kwenye level za nchi zingine ila in terms of US VS CHINA, bado sana mzee wangu yaani ata usihangaike kucompare tech za china na US
 
Unaonaje ukija kuna na hizo cores, halafu tuje kwenye mjadala mbona simple sana​
the only chip that will race against NVIDIA is the one with CUDA alternative otherwise the GPU is merely a gaming box, cha kwanza ni CUDA alafu znafuata sasa mbwembwe zingine
 
huawei ni over rated company, kila kukiwaga na battle yupogo mbele kwenye headlings, remember when android was banned in china and they came up with harmony OS wakisema is better than android, wakawalipa youtubers kuanza kufanya review? its 10 years now
Kwa hiyo Huawei iko mbele ya Nvidia inapokuja kwenye designing na fabrication?​
 
it doesnt matter, hata simu hazipo manufactured 100% na kampuni husika, we all know iphone anategemea camera kutoka sony, touch screen na battery kutoka samsung! its very common huezi kudesign best screen, battery na camera at same time itakua sio kiwanda tena bali nchi hio
Sahihi kabisa, hata Boeing anatengeneza parts nchi na viwanda tofauti vingi sana, Canada, UK, India nk wote wana supply components kwa Boeing. Hakuna kampuni iko inajitegemea kwa kila kitu kwenye manufacturing industry.
 
mada ina ushabiki mwingi ila competition ni kitu kizuri labda bei za gpu zitashuka kama matarajio ya huawei yatakuwa halisi
 
Huawei Ascend 920 amna sehem wameweka cores zao public however H200 has almost 18,500 cores, however these cores are CUDA cores meaning you have 18,500 employees to do a single work, thats insane fast, so what i did i used grok to make a comparison since huawei hajaweka public data zao

View attachment 3317229

View attachment 3317230

View attachment 3317231

View attachment 3317232

View attachment 3317233

no wonder unajiita xijin ping unawapenda wachina sana, hao wazee wa propaganda, ukiwaskiliza unaweza hisi dunia kesho ndo mwisho ama kesho wachina wanachukua dunia, they are advanced kwenye level za nchi zingine ila in terms of US VS CHINA, bado sana mzee wangu yaani ata usihangaike kucompare tech za china na US
Kwa hiyo ulikuwa unabishana kitu ambacho hauna details zake sio?

Na mjadala kwenye uzi unalenga H100 na Ascend 910C. Sio Ascend 920C na H200

Lete sasa cores za Ascend 910C na H100
 
Sahihi kabisa, hata Boeing anatengeneza parts nchi na viwanda tofauti vingi sana, Canada, UK, India nk wote wana supply components kwa Boeing. Hakuna kampuni iko inajitegemea kwa kila kitu kwenye manufacturing industry.
Kuna mambo unachanganya hao Boeing sio kwamba wanatengeneza huko components under Boeing

Ila katika visa vingine wananunua components kutoka kwa suppliers.

Ina maana kuna critical components ambazo Boeing kama Boeing hawatengenezi wanategemea suppliers
​

Screenshot_20250427-102613_Chrome.jpg
 
Huawei wanadesign na kufanya fabrication​
Nilidhani huawei wanatumia SMIC hata hizi Ascend 910C zinaenda kutengenezwa na SMIC kutumia 7nm node basi ni vizuri maana ni muundo wa biashara uliowashinda AMD na kuiuza GlobalFoundry(walikuwa wanasema real men have fab) na kubaki kudesign, unaweza ukanipa linki nipitie fabrication plant ya Huawei? na namna huawei ilivyo bora kuliko nvidia?
 
Kwa hiyo ulikuwa unabishana kitu ambacho hauna details zake sio?

Na mjadala kwenye uzi unalenga H100 na Ascend 910C. Sio Ascend 920C na H200

Lete sasa cores za Ascend 910C na H100
izo ndo latest powerful chips zilizo sokon saaahv, huezi zungumzia ukubwa wa samsung kwa kutumia samsung ya zaman

2) hawajaweka public details zao but pia kinachofanya AI ifanye kazi kwenye GPU ni CUDA ndo nmequote apo 18K CUDA cores, otherwise hio chip its merely AMD slagon!

3) kwakua wewe ni fan wa huawei tuambie ina cores ngap
 
Back
Top Bottom