Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #181
hakuna kampuni inaweza jitegemea sheikh xi jinping, hio itakua nchi sio kiwanda tena
Tatizo huwa mna double standard that's why nikataka kuwaonyesha kuwa hata hao mnaosema vinara wa tech NVIDIA nao bado wanahitaji wengine. Hope hapo tumekubaliana
Ingekuwa NVIDIA ni kampuni ya China na inaitegemea TSMC kwa ajili ya fabrication mngesema China haina tech ya kufanya fabrication sio?
Kwa hiyo tumekubaliana kuwa hakuna American based factory inayoweza kufanya fabrication ya chips
Wote NVIDIA, AMD na Qualcomm kwenye fab wanaitegemea TSMC ya Taiwan