Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #221
Unataka mambo yaendaje? Mambo ni kwamba NVIDIA hawana fabrication factorymzee mm naona unafanya siasa tu na sio kuelewa uhalisia mambo yanaenda vp
Unataka mambo yaendaje? Mambo ni kwamba NVIDIA hawana fabrication factorymzee mm naona unafanya siasa tu na sio kuelewa uhalisia mambo yanaenda vp
nmekupa mfano wa iphone ni ya marekani ila lazima ifanye imports, likewise nchi zingine zote ndo tunaishi ivo kwa kutegemeana, shida ya china ni siasa, badala ucorparate industry yako isogee unataka KU RE-INVENT THE WHEEL
inahusiana vp na huawei vs nvidiaUnataka mambo yaendaje? Mambo ni kwamba NVIDIA hawana fabrication factory
inahusiana vp na huawei vs nvidia
Usa akiona kitu cha kipekee atakinunua ili kupitia mabilioni ili aweza kuimillik dunia mfano tiktokeUshindani una faida,.taifa moja likiwa na technology muhimu peke yake atatumia hiyo technology Kama silaha kusumbua wenzie,.
Swali: kwanini Technology nyingi kwa kiasi kikubwa zinagundulika West na marekani then wengine ndio wanafata??tatizo Nini?
unarudia makosa yale yale, IT DOESNT MATTER ata kama apple wangekua wanafanya manufacturing tanzania, haimaaishi kwamba tanzania itakuja kutengeneza simu mbelen, na pia role YA TSMC ni semi conductors unaongea vitu 2 tafautiKwa sasa mada tunayozungumzia je, NVIDIA wanafanya fabrication ya chips au wanaitegemea TSMC?
Unaweza kudisign ila ukija kwenye uhalisia ukashindwa kufanya kama design ilivyo .. ndo kimbembe kinaanzia hapo ukipata engeneer anaye zakisha product kama desgn ilivyo mshukuru sana na kumkumbatiaKwa kuwa NVIDIA hawawezi kufanya fabrication ya chips basi TSMC imeizidi NVIDIA kwenye hilo eneo ukubali ukatae ukweli ndio hio
unarudia makosa yale yale, IT DOESNT MATTER ata kama apple wangekua wanafanya manufacturing tanzania, haimaaishi kwamba tanzania itakuja kutengeneza simu mbelen, na pia role YA TSMC ni semi conductors unaongea vitu 2 tafauti
Unaweza kudisign ila ukija kwenye uhalisia ukashindwa kufanya kama design ilivyo .. ndo kimbembe kinaanzia hapo ukipata mzalishaji anaye product kama desgn ilivyo mshukuru sana
i have come to a conclusion huna uelewa wa unachokiongea, yawezekana huelewi kabisa izi GPU zkoje na znafanya vp kazi, since your name ni xi jinping basi mada iishie apaUnafikiri kufanya fabrication ni tech ya kawaida sana? Sio jambo dogo.
TSMC wamewekeza billions of dollars na cutting edge tech ndio maana NVIDIA, Qualcomm, AMD na Broadcom mkombozi wao Mtaiwan
Kampuni zote kubwa za chips za Marekani ni fabless
sasa kama maisha ndo ivo basi mwambie atengeneza za kwake maaaana hamuelewi tafauti ya GPU na semi conductorsUnaweza kudisign ila ukija kwenye uhalisia ukashindwa kufanya kama design ilivyo .. ndo kimbembe kinaanzia hapo ukipata mzalishaji anaye product kama desgn ilivyo mshukuru sana
Marekani haina engineers wengi kama china, china engineers wamejaa, we angalia gharama ya kuassemble Iphone 15 ni kama $10 ambayo apple anawalipa wachina lakini anauza usd 2000 huko,Na kumekuwa na ongezeko kubwa la wanasanyansi wengi wenye asili ya China kwenye technology na science waliokuwa Marekani wameanza kurudi China hii sio habari njema kwa Marekani
i have come to a conclusion huna uelewa wa unachokiongea, yawezekana huelewi kabisa izi GPU zkoje na znafanya vp kazi, since your name ni xi jinping basi mada iishie apa
Umesema vyemaMarekani haina engineers wengi kama china, china engineers wamejaa, we angalia gharama ya kuassemble Iphone 15 ni kama $10 ambayo apple anawalipa wachina lakini anauza usd 2000 huko,
Sasa mmarekani unaweza mwambia atengeneze iphone 16 na umlipe $10 hawezi kubali,
plan ya trump ni nzuri kurudisha viwanda vingi marekani lakini kwa gharama watazotumia haya makampuni mwishowe watauza bei kubwa final product kwahiyo export itakuwa ndogo.
Sahihi mkuuMarekani haina engineers wengi kama china, china engineers wamejaa, we angalia gharama ya kuassemble Iphone 15 ni kama $10 ambayo apple anawalipa wachina lakini anauza usd 2000 huko,
Sasa mmarekani unaweza mwambia atengeneze iphone 16 na umlipe $10 hawezi kubali,
plan ya trump ni nzuri kurudisha viwanda vingi marekani lakini kwa gharama watazotumia haya makampuni mwishowe watauza bei kubwa final product kwahiyo export itakuwa ndogo.
Wabongo watakuambia cocacola facebook whatspp na instergramNa wameshapoteza sioni teknolojia yoyote aliyo nayo Marekani kwa sasa ambayo anaweza kutamba nayo ambayo China hana
Kama hizo social media China ndio hawana habari nazo kabisaWabongo watakuambia cocacola facebook whatspp na instergram
Hiyo Harmony ni copy ya android.Google (Android OS) vs HUAWEI (Harmony OS)