HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

1. Nioneshe capacity ya Huawei Kutengeneza Ascend 910C wanaweza kutengeneza unit ngap na demand ni unit ngap unalikwepa swali langu toka juu hulijibu.
Huawei wamesema watafanya mass shipment ya hizo chips, wewe unaewaje hiyo sentensi?​
 
2. Ascend 910C hakuna data zozote zile zaidi ya Vague estimation,
Unaweza nipa majibu haya
-inakula umeme kiasi gani per pod? Vs H100?
-bandwidth yake ipoje per pod
-perfomance yake per pod?
-Umeme: 310 watts
-Bandwidth 3.2 TB/s
-800TFLOP of FP16 na 64 of INT8
 
Watu hawatumii Dram kwenye AI wanatumia HBM.

For comparison dram Bandwidth ya dram ya kisasa kama Ddr5 ni around 30GBps wakati HBM inaenda hadi 400GB/s zaidi ya Mara 10, same kwenye bus width HBM bus width inafika hadi 1024bit wakati width ya Ddr5 kawaida ni 64 ama 128bit na Gpu kali kama Rtx 5090 bus lake ni 512Bit tu.
Nilikuwa nakuonyesha capabalities ya CXMT na YMTC ukicompare na hao Samsung wako

Turudi kwenye hoja yako sasa CXMT, YMTC na JHICC wamedevolop next-gen memory tech HBM3 class memory

Sasa ni mwendo wa Ascend 910C+HBM3 hapo ni full AI compute independence
​
 
Na sehemu nyingi imewa-outcompete
Samahani unalipwa na China?? Coz naona mabandiko yako mengi yanaipa sifa sana China na kuishusha Marekani plus Wamagharibi! Kila kitu cha Mchina ni kizuri ila cha Mmarekani plus Wamagharibi ni kibaya!

mahaba

hali ya kuingiwa moyoni na mtu au kitu na kukithamini zaidi ya vingine


propaganda

habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani

 
Nilikuwa nakuonyesha capabalities ya CXMT na YMTC ukicompare na hao Samsung wako

Turudi kwenye hoja yako sasa CXMT, YMTC na JHICC wamedevolop next-gen memory tech HBM3 class memory

Sasa ni mwendo wa Ascend 910C+HBM3 hapo ni full AI compute independence
​
Boss mimi siongei propaganda kama wewe na kuongea uongo uongo tu.
Cxmt road map yao inaonesha watatetengeneza Hbm3 mwaka 2026 na Hbm3E mwaka 2027, sio maneno yangu bali ni Roadmap yao wenyewe ikiwa reported na Analyst kibao


View: https://x.com/rwang07/status/1903465600560804012

Pia Huawei Ascend 910C haitumii HBM za China Bali za Korea toka Tsmc ambazo walinunua kabla ya ban source

So naomba ni jibu hivi kwa ushahidi
1. Nioneshe Cxmt wanatengeneza HBM3/3E sasa hivi

2. Nipe Ushahidi Ascend 910C inatumia HBM za china
 
mzee hakuna alternative ya CUDA, deepseek wangekua washaanza kuitumia mda mrefu na wala wasingekua wanahangaika kupokea izo NVIDIA kutoka marekan, ni sawa sawa useme tanzania tunalima maindi mengi yenye ubora na kutosheleza mahitaji alafu bado uagize nje, ivo vitu havipo

Boss mimi siongei propaganda kama wewe na kuongea uongo uongo tu.
Cxmt road map yao inaonesha watatetengeneza Hbm3 mwaka 2026 na Hbm3E mwaka 2027, sio maneno yangu bali ni Roadmap yao wenyewe ikiwa reported na Analyst kibao


View: https://x.com/rwang07/status/1903465600560804012

Pia Huawei Ascend 910C haitumii HBM za China Bali za Korea toka Tsmc ambazo walinunua kabla ya ban source

So naomba ni jibu hivi kwa ushahidi
1. Nioneshe Cxmt wanatengeneza HBM3/3E sasa hivi

2. Nipe Ushahidi Ascend 910C inatumia HBM za china

Unatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.

Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
​
 
User name yako ndio hiyo. Tayari umekuwa mtumwa wa hao unaowasifia. Kampuni yangu pendwa SAMSUNG tu. Ingekuwepo simu inaitwa TOYOTA pia bila shaka ningeichagua hiyo
 
Unatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.

Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
​
yawezekana huelewi izi AI znafanya vp kazi, unatumia siasa sana, ushawahi kujiuliza kwann NVIDIA peke yake ndo imekuja kufanikiwa katika AI na kuna chips nyingi duniani nzuri kuanzia AMD, na ushawahi kujiuliza kwann wachina wanaingiza NVIDIA kwenda china kwa magendo? ukiongelea uhalisia na kama kwel unataka uhalisia china hawezi kushinda battle ya NVIDIA hawa jamaa they are popular and successful sio kwa siasa
 
Hakuna taifa linaloifikia China inapokuja kwenye mass production ya product yoyote kwa sababu ya strong supply chain​
SMIC inatumia Duv za Asml zikiharibika hawana mbadala, Tsmc anatumia EUV ambazo China hawana kabisa, si kila kitu ni maembe kwamba unachuma, kupack na kuuza. Tech kama Duv na EUV zitachukua China si chini ya miaka 10 kuweza kutengeneza.
 
Wewe mpaka nimepost unadhani sijui ninachoandika. You are too shallow in this field ​
Hujui kwa kiswahili rahisi Nimekuuliza "huo mchele una uzito kiasi gani?" na wewe ukanijibu "una gram na lita"

Umenitajia Si unit na sio value

FP ni kifupi cha Floating point
Int ni kifupi cha integer

Hizo ni Unit za kupima perfomance za Cpu FP most of time ikimaanisha perfomance ya server na workstation related issue na integer ikimaanisha perfomance ya consumer related tasks kama kucheza games, browsing etc.

Kwenye GPU FP hutumika kupima floating points na FP16 ni half precision, kuna Fp32 na Fp64.

Zote hizo zenyewe kama zenyewe hazina maana ni si unit tu ili zileleweke ulitakiwa uweke value kwa mbele.

Kwenye Gpu hupimwa kwa Flop, mfano mtu anaweza kwambia perfomance ya GPU ni FP32 4TF akimaanisha nguvu ya hio gpu kwenye FP32 ni teraflop 4.

Sasa wewe hujaweka value yoyote inamaana umecopy tu sehemu na hata hujui vina maanisha nini.
 
Tsmc anatumia EUV ambazo China hawana kabisa, si kila kitu ni maembe kwamba unachuma, kupack na kuuza. Tech kama Duv na EUV zitachukua China si chini ya miaka 10 kuweza kutengeneza.
China limekuwa taifa la kwanza kuunda mashine ya kwanza ya EUV kutengenezwa nje ya Uholanzi

China inatumia teknolojia ya LDP badala ya LPP ya ASML, imefanyiwa majaribio katika kituo cha Huawei cha Dongguan

​
 
Unatoa tuvihabari vyako kutoka kwenye vyanzo visivyo realiable hili ndio tatizo lako.

Huwezi kupata chanzo kutoka nje ya China esp West ambacho kitaonyesha progress ambazo Chinese semiconductor companies zimefanya
​
Hao ni semi analysis ambao ni katika reliable site za Semiconductor,

Wewe source yako ipo wapi zaidi ya kupiga porojo, unataka tu kuamini unawasingizia hadi Cxmt vitu ambavyo hata hawajawahi kusema?
 
China limekuwa taifa la kwanza kuunda mashine ya kwanza ya EUV kutengenezwa nje ya Uholanzi

China inatumia teknolojia ya LDP badala ya LPP ya ASML, imefanyiwa majaribio katika kituo cha Huawei cha Dongguan

​
kwaheri. We jamaa noma kwa huu uongo unaosema wazi wazi hata uambiwe nini huwezi a mini.
 
Back
Top Bottom