HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

China hawana haja na CUDA, wana MUSA SDK ecosystem ​
hio ilitumika kaama response but its not powerful, deepseek wanatumia NVIDIA na wana shida na NVIDIA kupita maelezo, kwenye CUDA hakuna alternative so kwenye upande huu ni pigo kwao
 
hio ilitumika kaama response but its not powerful, deepseek wanatumia NVIDIA na wana shida na NVIDIA kupita maelezo, kwenye CUDA hakuna alternative so kwenye upande huu ni pigo kwao
Alternative ya CUDA ni MUSA SDK na ya H20 na H100 ni Ascend 910C

Sasa hivi China hawana habari tena na NVIDIA
​
 
Wewe ndio una-underestimate Huawei, kafanye utafiti wako uone ubora wa Huawei's Ascend 910C kwa nini tuandikie mate na wino upo?

Kwanza ukae ukijua NVIDIA ni manufacturer wa GPUs ila inapohusu chips wao ni designer tu linapokuja suala la manufacturing wana outsource kwa TSMC

TSMC ni leading semiconductors foundry company hatukatai, lakini haimaanishi kuwa wao ndio wana monopoly tech ya kutengeneza chip.

China wana kampuni kama SMIC na inafanya vizuri sana ya tatu baada ya TSMC na Samsung

Tunaishi kwenye dunia ya innovations Huawei kama wameweza kutengeneza EUV machine ambayo ilikuwa inatengenezwa na ASML tu peke yake unawachukuliaje?
​
Umeandika comment refu bila kujibu nilicho kuambiwa, nimeongelea capacity. Show me hio capacity ya kutengeneza hizo chip.
 
Alternative ya CUDA ni MUSA SDK na ya H20 na H100 ni Ascend 910C

Sasa hivi China hawana habari tena na NVIDIA
​
China hawana habari na NVIDIA, nvidia ndio leading company kwenye kuwezesha AI revolution, almost all companies zina run on nvidia hardware, unasema nn kaka?

Good gor china kuja na mfumo wao, but kuwatoa nvidia soko la dunia bado sana.
 
Alternative ya CUDA ni MUSA SDK na ya H20 na H100 ni Ascend 910C

Sasa hivi China hawana habari tena na NVIDIA
​
Hizi kamba unawadanganya tu wenzio humu

Hakuna Alternative ya Nvidia kwenye AI, hakuna Alternative ya Samsung, Sky Hynx na Micron kwenye HBM etc China anajitahidi ila hardware yake ni way inferior.

Ndio maana kampuni kama Alibaba, Bytedance na Tencent zimeeka stock kubwa ya Nvidia Gpu kujiandaa na trade war. UNAFKIRI wao hawajui existence ya Huawei?

 
Umeandika comment refu bila kujibu nilicho kuambiwa, nimeongelea capacity. Show me hio capacity ya kutengeneza hizo chip.
Nilitegemea mtu ambaye anafuatilia mambo yanayohusiana na tech ungefanya utafiti mbona mambo yako wazi. Kwa hiyo kumbe tunadiscuss kitu ambacho haukijui WTF!​
 
China hawana habari na NVIDIA, nvidia ndio leading company kwenye kuwezesha AI revolution, almost all companies zina run on nvidia hardware, unasema nn kaka?

Good gor china kuja na mfumo wao, but kuwatoa nvidia soko la dunia bado sana.
Kuwa leading company haimaanishi kuwa wengine hawana uwezo wa kutengeneza chips.

Na NVIDIA ni leader kwenye kudesign ila mtengenezaji wake ni TSMC

Kwenye uzi kuna mahali popote pamezungumziwa soko la dunia?

Kitu ambacho China inafanya ni kuwa self dependent kwenye tech na wameweza

By the way China ndiyo inaongoza kwenye AI patents kuliko hata Marekani.
​
 
Hizi kamba unawadanganya tu wenzio humu

Hakuna Alternative ya Nvidia kwenye AI, hakuna Alternative ya Samsung, Sky Hynx na Micron kwenye HBM etc China anajitahidi ila hardware yake ni way inferior.

Ndio maana kampuni kama Alibaba, Bytedance na Tencent zimeeka stock kubwa ya Nvidia Gpu kujiandaa na trade war. UNAFKIRI wao hawajui existence ya Huawei?

Asia Nikkei jarida la Japan ni mara ngapi limekuwa likiripoti habari zenye mlengo negative kuhusu China kwa sababu ya tofauti za geo-political na geo-economics kati ya China na Japan?​
 
Hakuna Alternative ya Nvidia kwenye AI, hakuna Alternative ya Samsung, Sky Hynx na Micron kwenye HBM etc China anajitahidi ila hardware yake ni way inferior
Nani alikudanganya kuwa hardware ya China ni inferior? Mbona Huawei Ascend 910C ni more powerful kuliko H20 ya Nvidia na iko sawa au imeizidi H100 ya Nvidia​
 
Asia Nikkei jarida la Japan ni mara ngapi limekuwa likiripoti habari zenye mlengo negative kuhusu China kwa sababu ya tofauti za geo-political na geo-economics kati ya China na Japan?​
Nikkei ni most reliable, ni jarida la kulipia level za financial times, bloomberg etc kuwapinga unahitaji ushahidi usio na shaka ulete hapa.
 
Nikkei ni most reliable, ni jarida la kulipia level za financial times, bloomberg etc kuwapinga unahitaji ushahidi usio na shaka ulete hapa.
🤣🤣 Financial Times na Bloomberg!!? Kweli wewe bado kwenye masuala ya kufahamu reliable sources.​
 
Nani alikudanganya kuwa hardware ya China ni inferior? Mbona Huawei Ascend 910C ni more powerful kuliko H20 ya Nvidia na iko sawa au imeizidi H100 ya Nvidia​
1. Nioneshe capacity ya Huawei Kutengeneza Ascend 910C wanaweza kutengeneza unit ngap na demand ni unit ngap unalikwepa swali langu toka juu hulijibu.

2. Ascend 910C hakuna data zozote zile zaidi ya Vague estimation,
Unaweza nipa majibu haya
-inakula umeme kiasi gani per pod? Vs H100?
-bandwidth yake ipoje per pod
-perfomance yake per pod?
 
Samsumg wanatengeneza DRAM chips na NAND memory chips

Hata China wana semiconductor foundries zinazotengeneza DRAM chips mfano CXMT

Na upande wa NAND memory chips kampuni ya YMTC inazitengeneza
​
Watu hawatumii Dram kwenye AI wanatumia HBM.

For comparison dram Bandwidth ya dram ya kisasa kama Ddr5 ni around 30GBps wakati HBM inaenda hadi 400GB/s zaidi ya Mara 10, same kwenye bus width HBM bus width inafika hadi 1024bit wakati width ya Ddr5 kawaida ni 64 ama 128bit na Gpu kali kama Rtx 5090 bus lake ni 512Bit tu.
 
Alternative ya CUDA ni MUSA SDK na ya H20 na H100 ni Ascend 910C

Sasa hivi China hawana habari tena na NVIDIA
​
mzee hakuna alternative ya CUDA, deepseek wangekua washaanza kuitumia mda mrefu na wala wasingekua wanahangaika kupokea izo NVIDIA kutoka marekan, ni sawa sawa useme tanzania tunalima maindi mengi yenye ubora na kutosheleza mahitaji alafu bado uagize nje, ivo vitu havipo
 
Hata kwenye MASUALA YA SILAHA NA VYOMBO VYA ANGANI?
haya mambo sijui tutawakumbusha hadi lini mchina ana space station ya kwake binafsi ameijienga bila ushirikiano na nchi yoyote. alifanya hivi baada ya kuwekewa vikwazo na marekani kwenye international space station (ISS). kama unaona space station ni makalio sawa tu hakuna shida.
 
Back
Top Bottom