HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

Hili swali ulilomuuliza akijibu nijulishe...
 
CHIP TECHNOLOGY IS VERY COMPLICATED TECH. Hakuna nchi inaweza jitambia.
Nilifanya analytical research kutumia AI, hio technolojia ni kama jini.
Wanaobeza china kuwa Haina GPU hawajahafanya research za kutosha na ni watu waliokariri na kulewa umagharabi.
Aliedai TSMC ni kama kiwanda cha mahindi anafananisha vitu viwili visivyoendana kabisa.
Ktk Chip techolohgy zile lithograph nachine yaani ndio roho yrnyewe na hixo zipo Nedherland na Taiwani.
Kufizaini chip inaweza kuwa rahisi zaidi kuliko kuichapa( Hata wewe ukikomaa unaweza kuidizaini, its just a physics) kuiunda ndio uchawi wenyewe ambao upi TSMC.
Fanyeni research Chip Technology is not a western monopy anymore. China wameisha unda GPU ambayo gharama yake ni ndogo mara 7ya nvidia.
Wazungu walisha chelewa kuizuia China ku miliki "state of the art" labda wajaribu kuzuia wahindi, warabu na sisi waaafrika Mongolia race are in onother level.
Pitieni nyuzi za awamu ya kwanza ya ya Trump ya trade war watu walihemka humu kuwa Huawei kushne! check sasa vitu alivyozindua huawei kuanzia simu computer, gari, robot nk.
Nadhani Huawei computer ni dream ya watu wengi humu ila tu watavunga, ile mashine inamaajabu mengi.
All in all muda ndio utakao amua.
But don't forgert Africa slso need to catch up, don't celebrate otherbprople achievements, you are also a human being, msijiweke kwenye group la ngo'mbe kukatiwa nyasi na mfugaji halafu baadae kuuzwa.
 
Hili swali ulilomuuliza akijibu nijulishe...
We jamaa mchina hajui kuunda OS ?
Halafu OS ni kama gari au nyumba unapoiunda midingi ni ile ile.
Ukiunda leo gari uanadhani hutatumia piston, shaft, gear nk. Kwa hio Mchina kuunda OS kutumia misingi ya Wamarekani sio ishu bsli kuweza kuunda.
Hata hao wamarekani kuna vitu vingi hawakujengea misingi wao mfano space technology, nuclear tech. Mfano monster wa screen technology hata hio unayo scrow hapo ni wajapan.
Wazungu wametumia teknolojia kama fimbo ya kunyonya mataifa mengine kwa miaka mingi leo unatokeza mbadala mnaponda na kubeza. Kwa hoo mnataka muendelee kuburuzwa na kupangiwa maisha na wazungu?
Hivi sisi waaafrika tuna akili kweli ?
Ilitakiwa tuipongeze China nasi tujipe moyo kuwa mbona mwenzetu kaweza hata sisi tunaweza kuanza na kufaulu. AFRICAN MAN AMKA!!!
Achaneni na kuabudu wazungu, sio mu gu hao ni watu kama nyie.
 
Umeambiwa hiyo Harmony Os ni copy ya Android km angekuwa na uwezo angekuja na ubunifu km Window Os,Bada Os, Symbian Os ama Blackberry Os na atambe km hizo Operation system zilivyowahi kutamba.....
 
Jama hizi mashine nyie watoto wa Trump shit hole country hamzipendi ?
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Bado japo wanajitahidi kuja juu siku wakifanikisha mashine yao ya euv lithography machine wata compete na kuweza kuwapita kabisa hao kina Nvidia
Huawei wana project ya EUV machine stay tuned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…