Mwanza kuna hospitali binafsi inaitwa KAMANGA HOSPITAL. Inasemekana, hii ni hospitali ya madaktari bingwa kadhaa wa BUGANDO walioungana na kutumia fursa ya udhaifu wa huduma mbovu ktk hospitali za umma ili kupiga pesa...
Ni hospitali nzuri sana. Wanatoa huduma katika standard za kimataifa. Mgonjwa ukifika au ukipeleka mgonjwa wako pale namna anavyopokelewa tu inampa tumaini la kupona...
Hawa jamaa [wenye hospitali hizi] kwa kuwa wanahudumu Hospitali za serikali za Bugando na wengine toka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekotoure wakiku - attend na kuona namna gani vipi, wanakupa appointment ya kwenda kwenye hospitali yao...
Huko wanakuwa tofauti kabisa. Wanakuwa more hospital than wanapokuwa huko serikalini. Na nadhani, hospitali hizi za umma zina matatizo ya ukosefu au upungufu au kutokuwepo kabisa kwa;
✓ Dawa
✓ Vifaa tiba.
✓ Wataalamu mbalimbali mfano CT - SCAN, X - Ray, RMI machine nk nk..
✓ Mlundikano mkubwa au uwingi wa wagonjwa nk nk..
✓ Malipo duni
Kwa sababu hizi, basi efficiency yao inakuwa compromised
Changamoto kubwa ya hospitali za binafsi na za mashirika ya dini kama hii tunayoijadili hapa ni gharama kubwa ya matibabu na vipimo.
Hata hivyo, tukubali tu kuwa, ni kweli kabisa kuwa huduma ktk hospitali za umma au za serikali ni duni/mbovu sana hasa ukosefu au kutokuwepo kwa dawa kabisa...
Mtu anaweza kujiuliza, swali hili;
Kwamba, hivi utaitaje majengo fulani ni "hospitali ya serikali" iwapo wagonjwa wanapokwenda kupata huduma ya matababu ili kuokoa maisha yao wanaishia kutazamwa tu na madaktari huku kukiwa hakuna vipimo wala dawa ktk hospitali hizo?
Ngoja nikolezee Kwa wino hii pointi yako mkuu
Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!
First Prev3 of 3
Jump to newUnwatch
•••
[IMG alt="Faana"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/63/63341.jpg?1624764928[/IMG]
JF-Expert Member
Hili wazo ni zuri saana mkuu, sifahamu Kwa nini halikufanyiwa kazi
🙏
Thanks Quote Reply
Report
D
Member
Mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya --- The late JPM
Tahira wewe!
Thanks Quote Reply
Report
P
JF-Expert Member
Mbona uko na hasira mkuu! Unadhani mchango wako huu unaendana na bandiko la Uzi huu
Quote Reply
Report Edit Delete
Reactions:
dinongo
[IMG alt="Ndebile"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/54/54444.jpg?1567871304[/IMG]
JF-Expert Member
Tulishauri hospital za umma zifungwe cctv camera ili kubaini uzembe wa watoa huduma
Alafu hizo video za kwenye cctv camera atakuwa anaziangalia malaika Gabriel maana watendaji wote kuanzia kwa Hangaya ni wabovuuuuu! Eti "watumishi walimuogopa Simba wa Yuda na kuwa na nidhami ya woga..." hahaha endeleeni kufurahia nidhamu "natural" ya watanzania!
Thanks Quote Reply
Report
P
JF-Expert Member
Alafu hizo video za kwenye cctv camera atakuwa anaziangalia malaika Gabriel maana watendaji wote kuanzia kwa Hangaya ni wabovuuuuu! Eti "watumishi walimuogopa Simba wa Yuda na kuwa na nidhami ya woga..." hahaha endeleeni kufurahia nidhamu "natural" ya watanzania!
Click to expand...
Nidhamu natural ni ya mtu na kazi zake tuu!
Na kama kuna awaye yote aseme eti watumishi wanapaswa wawe na nidhamu bila kusimamiwa na kushushwa cheyo Kwa uzembe, hili halitatokea kwenye ofis zote!
Watu wanaukashifu mfumo wa kusimamiwa Kwa karibu, kushushwa cheyo na kutimliwa Kwa wazembe, ili tuu kuhalalisha uzembe wao ulio kwenye damu zao
Nidhamu ya uwogo ndio kila kitu, maana mtu akitii katika hali ya uwoga, na anafanya kazi, kunakuwa na tatizo lipi Kwa mwajiri?
Quote Reply
Report Edit Delete
S
JF-Expert Member
Umepata faida ipi Kwa kumwita Binadamu mwenzako mmbwa?
Mpumbavu huyo achana nae! Kazi yake kutetea ujinga wa bibi ushungi!
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="muafi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/329/329726.jpg?1609073888[/IMG]
JF-Expert Member
kuna hospitali mfan mtwara referal hospitali inaoaswa kuwa na watumishi 200 ila wapo chini ya 50 unategemea huduna gani?
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="muafi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/329/329726.jpg?1609073888[/IMG]
JF-Expert Member
Nidhamu natural ni ya mtu na kazi zake tuu!
Na kama kuna awaye yote aseme eti watumishi wanapaswa wawe na nidhamu bila kusimamiwa na kushushwa cheyo Kwa uzembe, hili halitatokea kwenye ofis zote!
Watu wanaukashifu mfumo wa kusimamiwa Kwa karibu, kushushwa cheyo na kutimliwa Kwa wazembe, ili tuu kuhalalisha uzembe wao ulio kwenye damu zao
Nidhamu ya uwogo ndio kila kitu, maana mtu akitii katika hali ya uwoga, na anafanya kazi, kunakuwa na tatizo lipi Kwa mwajiri?
Click to expand...
Ufinyu wa wahudumu, Fikiria mfano hospitari ya rufaa ya mtwara inapaswa kuwa na wahudumu 200+ lakini inao 48 tu, unategemea nini hapo?
jamaa anasema wahudumu wanakaa ofisini kupiga stori sio kweli hakuna mtu anayeweza kukaa tu huku watu wamemsubiri labda yeye kaona wanaopiga story ni watu wa OPD wakati mgonjwa yupo wodini hvyi ni vitengo viwili tofauti
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
You
N
JF-Expert Member
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,
Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!
Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!
Na Kwa macho yangu nikiwa hapa hapa, kaletwa mgonjwa, Kwa huduma kucheleweshewa, amefariki akiwa mapokezi! Maana yake inaonyesha hali hii imekita mizizi! Hili halikubaliki jamani,
Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa afie mapokezi au akisubiri kipimo Kwa muda mrefu, na hii hali, ni ya rushwa!!
Wahudumu kupiga story wakiwa ofsini na wasijali kama kuna watu wanapaswa kuwahudumia imekuwa ni kawaida
Lakini unajiuliza, Je wao hali kama hiyo ikiwakuta na wao kutokuhudumiwa watajisikiaje..?
Lakini, Kwa nini tunarudi nyuma kwenye kero ambazo tulikuwa tumeanza kuzisahau??
Je, Ni kweli sisi ni watu wa kusukumwa ili tufanye kazi na ndiyo maana ajira za nje zinatutema.?
Click to expand...
Jamaa popoma sana Wafanyakazi wanafanya kazi 24 hours.Lakini bado wanapiga kazi kama Kawa.Yeye ajaribi kukesha hata siku moja aone moto wake.Watanzania ni watu wakulalamika sana.Alitaka akifika ahudumiwe yeye kwanza wengine 100 waachwe.

Mkuu, unafikiri hali zilizopo hizo! Wananchi wakae kimya tuu Kwa kuogopa nini yani!
Suala sio mtu kupiga kazi masaa 24, suala ni huduma kuwa mbovu!
Unafikiri anayejibu hoja za huduma kuwa mbovu na upungufu wa wafanya kazi ni Nani!?
Nadhani, wewe ndo ungekuja na majibu ya Kwa nini huduma ni mbovu na Nani wa kulaumiwa, sisi wananchi, huwa hatufahamu hicho kiwango cha upungufu wa wafanya kazi, sisi huwa tunaelewa, serikali ikifungua hospital, ikaleta wafanya kazi, basi wananchi kazi yao ni kwenda kupata huduma wakiamini, kila kitu kiko sawa!
Na Kwa nini mnakubali kuwa wachache kuliko inavyotakiwa? Tumlaumu Nani hapa?
Chapeni kazi, acheni kulalamika, na malalamiko mnayeleta nyinyi na Waziri wa hii
Quote Reply
Report Edit Delete
[IMG alt="Toyota escudo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/392/392165.jpg?1500451956[/IMG]
JF-Expert Member
Mgonjwa wa hali mbaya sana, anatakiwa aende kitengo cha dharula moja kwa moja.
Ni kipi kimesababisha wewe usimpeleke mgonjwa wako huko?
Thanks Quote Reply
Report
C
JF-Expert Member
Mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya --- The late JPM
Hata alivyokuwepo yeye huyo mungu wako hali ilikuwa hivyo hivyo, acheni kumtukuza sana huyo mungu wenu.
Ni vyema mkamuombea kwa muumba wake ampunguzie adhabu kwa ukatili mkubwa alioufanya hapa duniani.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Marco Polo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/200/200244.jpg?1395645880[/IMG]
JF-Expert Member
Asilimia kubwa ya wafanyakaz wa serikali wanakula mshahara wa bure tu
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Bepari2020"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/614/614957.jpg?1656658606[/IMG]
JF-Expert Member
Mfumo mbovu huu wa kutegemea Rais awajibishe manesi na madaktari wa hospitalini. Wa kulaumiwa ni Nyerere aliyeuleta huu mfomu mbovu ili atawale kidikteta. Kila tatizo tumtegemee alitatue yeye.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="MANG'ONYI"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/150/150352.jpg?1605610716[/IMG]
JF-Expert Member
Mfumo mbovu huu wa kutegemea Rais awajibishe manesi na madaktari wa hospitalini. Wa kulaumiwa ni Nyerere aliyeuleta huu mfomu mbovu ili atawale kidikteta. Kila tatizo tumtegemee alitatue yeye.
Tutakuwa watu wa ajabu sana kumlaumu mtu ambaye ameshaondoka zake kitambo kirefu. Ina maana vichwa vyetu ni mafuu ya naszi yaliyojaa maji hatuwezi kufikiri kuboresha kisa tu watangulizi walifanya vile. Kama ni hivyo Nyerere alikuwa na akili sana manake sisi tumeshindwa bado tunamlilia yeye.
Thanks Quote Reply
Report
J
JF-Expert Member
Hali ni mbaya katika hospital za serikali,
Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka!
Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri vipimo ni hali ya kawaida! Na ninpoongea hili Niko hospitali moja ya (W) na ninayoandika haya, ndiyo nayaona na yananitokea nikiwa na mgonjwa akiwa na hali mbaya sana, nimefika SAA 1:30 mpaka muda huu wa SAA 4:53 bado sjahudumiwa chochote! Inauma sana!
Na Kwa macho yangu nikiwa hapa hapa, kaletwa mgonjwa, Kwa huduma kucheleweshewa, amefariki akiwa mapokezi! Maana yake inaonyesha hali hii imekita mizizi! Hili halikubaliki jamani,
Hali hii inaweza kumfanya mgonjwa afie mapokezi au akisubiri kipimo Kwa muda mrefu, na hii hali, ni ya rushwa!!
Wahudumu kupiga story wakiwa ofsini na wasijali kama kuna watu wanapaswa kuwahudumia imekuwa ni kawaida
Lakini unajiuliza, Je wao hali kama hiyo ikiwakuta na wao kutokuhudumiwa watajisikiaje..?
Lakini, Kwa nini tunarudi nyuma kwenye kero ambazo tulikuwa tumeanza kuzisahau??
Je, Ni kweli sisi ni watu wa kusukumwa ili tufanye kazi na ndiyo maana ajira za nje zinatutema.?
Click to expand...
Tutajie hiyo hospitali ili waanze nayo! Huko kuficha inatiashaka kuwa nawe ni mdau ila mishe zimepita chaka!! Sasa tuma jinale
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="The Palm Beach"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/346/346459.jpg?1652379053[/IMG]
JF-Expert Member
Mwanza kuna hospitali binafsi inaitwa KAMANGA HOSPITAL. Inasemekana, hii ni hospitali ya madaktari bingwa kadhaa wa BUGANDO walioungana na kutumia fursa ya udhaifu wa huduma mbovu ktk hospitali za umma ili kupiga pesa...
Ni hospitali nzuri sana. Wanatoa huduma katika standard za kimataifa. Mgonjwa ukifika au ukipeleka mgonjwa wako pale namna anavyopokelewa tu inampa tumaini la kupona...
Hawa jamaa [wenye hospitali hizi] kwa kuwa wanahudumu Hospitali za serikali za Bugando na wengine toka hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekotoure wakiku - attend na kuona namna gani vipi, wanakupa appointment ya kwenda kwenye hospitali yao...
Huko wanakuwa tofauti kabisa. Wanakuwa more hospital than wanapokuwa huko serikalini. Na nadhani, hospitali hizi za umma zina matatizo ya ukosefu au upungufu au kutokuwepo kabisa kwa;
✓ Dawa
✓ Vifaa tiba.
✓ Wataalamu mbalimbali mfano CT - SCAN, X - Ray, RMI machine nk nk..
✓ Mlundikano mkubwa au uwingi wa wagonjwa nk nk..
✓ Malipo duni
Kwa sababu hizi, basi efficiency yao inakuwa compromised
Changamoto kubwa ya hospitali za binafsi na za mashirika ya dini kama hii tunayoijadili hapa ni gharama kubwa ya matibabu na vipimo.
Hata hivyo, tukubali tu kuwa, ni kweli kabisa kuwa huduma ktk hospitali za umma au za serikali ni duni/mbovu sana hasa ukosefu au kutokuwepo kwa dawa kabisa...
Mtu anaweza kujiuliza, swali hili;
Kwamba, hivi utaitaje majengo fulani ni "hospitali ya serikali" iwapo wagonjwa wanapokwenda kupata huduma ya matababu ili kuokoa maisha yao wanaishia kutazamwa tu na madaktari huku kukiwa hakuna vipimo wala dawa ktk hosiptali hizo?