Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

MBWA nyie huyo jiwe mbona hakutengeneza mifumo ambayo ingedumu vizazi na vizazi by the way hata enzi zake hakuna kilichokua kimebadilika.
Kwanza hakuajiri watumishi wa kutosha kwenye sekta ya Afya na pia kwa miaka 5 alijenga vituo vya afya 304 na hospital 77 ambazo zilikuwa majengo tuu bila watumishi wala vitendea kazi.
 
Mbona uko na hasira mkuu! Unadhani mchango wako huu unaendana na bandiko la Uzi huu
Toa utaahira wako, kipindi cha Jiwe hadi chanjo za watoto ziliadimika achilia mbali condom..

Na watu hawakuthubutu kuongea wakihifia maisha zaidi ya pambio na taarabu za kitaahira.
 
daktari mmoja wagonjwa 200 unategemea huduna nzuri hapo?
Watu waongew tuu ukweli kwamba Jiwe aliharibu sekta ya Afya,hakuajiri kabisa kiasi kwamba sasa hivi ndio SSH anahangaika kupunguza uhaba kwa ajira za wataalamu zaidi ya 15,000 kwa mpigo..

Jiwe alikuwa anasema anajenga sgr at expense of life of poor people .
 
Tujitahid kutoa taarifa za kina, taja jina la hospitali ili wahusika waamini kuwa ni kweli na sio uzushi vinginevyo inaonekana ni uzushi
 
Hatua zimechukuliwa tayari wa wahusika πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220702-155334.png
    100.9 KB · Views: 2
Tujitahid kutoa taarifa za kina, taja jina la hospitali ili wahusika waamini kuwa ni kweli na sio uzushi vinginevyo inaonekana ni uzushi
Niliyoandika ni sahihi, naamini pia kila mmoja wetu ni shuhuda wa haya, na ndiyo maana kuna mmoja huko katoa sababu za kuwa, watumishi huwa hawapendi kufanya kazi chini ya kiwango, inafanyika hivyo ni kwa sababu wahudumu mahosipitalini ni wachache

Ila swali la kujiuliza, ni kivipi sector binafis zitoe huduma bora, je wao wanajitoshereza wahuhudumu?
 
Ni wapumbavu tuu ndio watamkumbuka kwa sababu hakuna nafuu iliwahi jitokeza ikiwa ni pamoja na Serikali kung'ang'ania maiti Kisa wafiwa kushindwa kulipia,haya yalifanyika awamu ya 5.
Wauza ngada, vyeti feki, wafanyakazi hewa, wazembe na wezi, ni watu wapumbavu sana, na ndiyo hao hawawezi kumkumbuka, ila maumivu ya ujinga wao hawatamsahau mwamba! Na ndio hao wachaache wanaoshinda mitandaoni kumkashifu kiboko yao
 
Naishauri serikali waitumie hospital ya Ikonda Makete kama sehemu ya kufundishia customer care wahudumu wake kwa vitendo

I dare to say Ikonda Consolata Fathers Hospital is the cleanest and best caring place
Usisahau DCMC - DODOMA
 
Uharibifu wa jiwe unafahamika mbona!

Waulize wezi wa majina ya watu, yaani vyeti feki, wauza ngada, wezi, wazembe makazini, na wanud
Naishauri serikali waitumie hospital ya Ikonda Makete kama sehemu ya kufundishia customer care wahudumu wake kwa vitendo

I dare to say Ikonda Consolata Fathers Hospital is the cleanest and best caring place
Ushauri mzuri sana huu
 
Ila mlchukia sana nyinyi vilaza vyeti feki!
Ndio,unategemea mwenye akili timamu anaweza fanya huu ujinga wa Jiwe hapa chini?

Kama unajua kusoma hii inakuhusu na yule taahira wenu πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 6
Mkuu tutafika salama na majeraha mengi
 
Mambo ni mazito, jana nilikwenda Sekou Toure-Mwanza, nilikuwa sijaenda pale takribani mwaka hivi, nilifika pale nikakuta wamehamia kwenye jengo jipya la ghorofa.

Cha kusikitisha ni kwamba nilipita kwenye chumba cha dharula kwa ajili ya kupata huduma za kiofisi, ghafla kaletwa mgonjwa wa dharula akiwa amebebwa juu, juu akiwa amepoteza fahamu, nikasikia nesi akiuliza walo mleta;

Nesi:Huyo wa kike au kiume

Walombeba mgonjwa:Wa kiume.

Nesi:Hii wodi ya kiume imejaa, mpelekeni kule wodi ya kike, litakalo kuwa na liwe hatuna vyumba vya kutosha hapa chumba cha dharula.

Mimi nilijua kwakuwa jengo ni jipya labda huduma zitakuwa zimetengamaa, sasa ndiyo uone tupo wapi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…