Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

Daah!

Kwa kuwa serikali na viongozi wake huwa wanapitia humu, hii watainusa na kufanyia kazi kwa haraka!

Ki ukweli, hali ni mbaya sana kwa mgonjwa kupata huduma hasa kwenye hospital zetu hizi za halaiki

Nadhani pia, kuwa tunapaka paka rangi kwenye uhalisia, ni makosa makubwa, wale chawa wa kila pahala hata kwa mambo yanayowagusa hata ukoo wao, wanafanya kazi ya shetani kupaka rangi kwa mambo yasiyopakwa rangi
 
Mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya --- The late JPM
Unaota wewe
JPM alitoka chama ambacho ndiyo kimetufikisha hapa ccm! Hakuwa na Jipya zaidi ya kuiba huku anawafokea wezi wenzake akijiita mzalendo
 
Na machawa wao wamesambazwa humu, eti mama anajenga hospitali 172 hahahah kmmmk walai! Hospitali ambazo hazina dawa always
Shida yao hawajui kutofautisha kati ya jengo la hospital na hospital. Hata zijengwe kilq mtaa bilq vifaa tiba yatabaki kuwa magofu tu. Zile walizotwambia alijenga magufuli zipo wapo sasa???
 
Shida yao hawajui kutofautisha kati ya jengo la hospital na hospital. Hata zijengwe kilq mtaa bilq vifaa tiba yatabaki kuwa magofu tu. Zile walizotwambia alijenga magufuli zipo wapo sasa???
Nasikia mzalamo alipozaliwa ni hapohapo na atafia hapo, huwa hatembei kwenda sehemu nyingine, hata hivyo, kiwangwa inakituo cha JPM, Matimbwa pia, miono, mbweni n.k
 
Wanamuona kama mungu mdogo. Inasikitisha sana watu wa karne ya 21 kuwa na mawazo ya enzi za Farao.
Si tulisema zidumu fikra za mwenyekiti? Ndiyo hivyo tena fikra zake zimedumu kweli kama ametuloga. Hata wewe angalia ulivyopaniki baada ya kuambiwa ukweli juu ya Nyerere.
 
UONGO
 
Sio rahisi kufanya kazi shida za hospital kwa haraka kwa zima moto. Serikali inatakiwa iwe ina mpango wa Afya unaotekelezeka kwa miaka 5 na kuendelea
 
Yupo mwana jf mmoja alileta kilio chake humu kwa kifo cha binti yake mdogo akiwa amecheleweshewa huduma hospital.

Nchi imekuwa ngumu, no where to breath, sembe 1800 kipande cha sabuni 900, hospital huduma mbovu.

Tumlilie nani.
Tuikatae ccm mkuu
 
Hospitali za serikali zingeiga na kujifunza utaratibu wa taasisi ya mifupa MOI atleast malalamiko kuhusu huduma yangepungua
 
Magufuli alitutoa huko, naona tunarudi kwa kasi ya mwanga.
 
Wabongo mara nyingi tunapenda kuwa hasi kwa huduma za umma bila kuingia kwa undani..Ndugu umeandika vizuri ila hujasema ulichobaini kuhusu uwiano wa uwingi wa wagonjwa na wahudumu wa afya...Uwepo wa vitendea kazi na madawa.Tufikirie pia na sisi tunakotoa huduma jee hatuwakwazi wateja wetu???Anyway,naamini hilo ni jambo la uongozi kufanyia kazi mapungufu hayo na kuwasimamia watu wao wa chini kwa karibu kama manesi na madokta ili wasifanye uzembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…