Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Kweli kabisa ! Cjui tumeshindwa wapi, TBC jana walikuwa wakirusha matangazo ya 1-1 kutoka geita uzinduzi mradi wa umeme mara picha mara sauti yaani ni ovyo! Hii nchi pamoja na mh rais kujitahidi lkn wapi, afike pahara akubari wasomi hawawezi awape std7 nao tuone .Tangu lini shirika la umma au taasisi za umma zikatoa huduma bora?
TBC
TANESCO
NIDA
SHULE ZA SERIKALI
HOSPITALI ZA SERIKALI
NK
we bado unashangaa tu?
Daah hapa kweli ..ttcl 1gb unadunda siku2 ila Voda 1gb unatumia masaa2Tatizo la voda 1gb inapeperuka Kama upepo
Kama sekta zote za umma, wajuwa bado wanafanya kazi kwa mazoea, wanajivuta vuta, akili mgando, bora muda uwende warudi majumbani na uvivu kupita kiasi, magufuli bado kazi anayo...Hovyo kabisa. Namaanisha hovyo. Nashangaa wao ndo wauzaji wa internet kwa makampuni mengine ya simu vipi wenyewe wanashindwa kutoa huduma inayoeleweka ata katikati ya miji ukiachana na vijijini. Ningekuwa nauwezo ningewatumbua wote waliipo maofisini.
Mkuu mbona unatuvunjia heshima?tuite kwa jina letu la heshima,sema vijijini ndiyo kuna WANYONGE wengi,hapo utakuwa umetutendea haki.Vijijini ndio kuna wapiga kura wa CCM.
Nawatumiaga hawa kupotezea muda usiku, Kifurushi chao cha buku unapewa GB 4 kuanzia saa mbili usiku mpaka kukuche, wana speed safi
Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma
Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nilikua napata vizuri tu, lakini Sasa hivi, internet inapanda na kushuka nipo maeneo ya wilaya ya temeke, temeke yote usajili wa fingerprints hamna ukitaka nilazima uende Posta na kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Me nimesajili Chuo kwa Wakala.Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma
Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza sina budi kutoa pongezi zangu kwa shirika hili la simu jinsi lilivyoingia kwenye soko la mawasiliano na huduma zake za maongezi T-PESA na INTERNET YA KASI KUBWA Kwa Bei nafuu, huku wakiwa na kaulimbiu yao ya RUDI NYUMBANI KUMENOGA, kwa sasa mlipoharibikiwa ni hapa:
1. Kusajili laini zenu kwa fingerprints Dar es salaam mzima, huduma inapatikana Kariakoo na Posta tu.
2. Huduma ya vocha na T-PESA, mawakala hamna, ili update ni lazima upitie AIRTEL MONEY.
3. Ile internet ya 4G mlikuwa mnatupatia, kwa sasa hata ZERO-G haifiki
Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL kibaha haupati internet yoyote ile...Sina uhakika na taarifa zako kuhusu usajili kwa alama, mimi nimesajili line yangu kwenye office zao za Mbezi beach, na nna uhakika kila kwenye office yao kuna hiyo huduma
Niko mkoani tena Bush na nnapata 4G vizuri tuu japo kuna maeneo yana changamoto, ila si kwa TTCL pekee
Sent using Jamii Forums mobile app