KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hadi Sasa project in asilimia kubwa za ku fail kuliko kusonga mbele
 
Kwanini waajira wasipewe hayo mafunzo? Why JKT.
 
 
Serikali ya CCM hakuna kitu cha maana imewahi kukisimamia kikafanikiwa labda vitu vya hovyo kama mwenge

Na wale wafanyakazi wa sgr waliokuwa wanauza tiketi kwa bei ya juu wameacha au bado wanaendelea kulangua watu.
 
Mimi nashangaa sana watu wa serekali. Serekali haiwezi simamia mradi wwte lazima ufe ushahidi ni vifo vya mashirika ya uma
UWAJIBIKAJI na UFISADI ndio tatizo kuu nchi hii, linaanzia juu kabisa kwa viongozi mpaka hatua ya chini kabisa.

Ikitokea kati ya pesa kuingia serikalini ama apewe asilimia 30,20 hadi 10 ya hiyo pesa iingie mfukoni mwake, kwake ni bora apate cha mfukoni mwake kuliko serikali kupata.
 
Wabongo usimamizi na utunzaji ni sifuri.
 
Kuna huduma nyingi apa bongo ili ziwe bora zinahitaji ushindani
kwenye SGR wananchi hawana machaguo wanatumia kilichopo nimbaya
 
Kwa nchi kama Tanzania unakipia business class unataka kugundua nini? Business class na economy hazina utofauti kwa Tanzania zote ni class moja!
 
Ajira za serikali mkataba ni mpaka uzeeni
 
Mimi kinachoniboa ni li movie limoja kila siku
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
 
Wakubwa nipeni ratiba ya hii chuma, soon natoka mwanza kwenda dsm nataka niishie Dodoma afu niunganishe na hii SGR. Na nauli zake pia kulingana na madaraja
 
mtu mweusi ana matatizo mengi sana hasa linapokuja swala la ustaarabu tu wa kawaida kama binaadam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…