Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini waajira wasipewe hayo mafunzo? Why JKT.Si wanapelekwa China na korea kupata mafunzo, yani unawachukua vijana walioko makambini wasomi waliopo Jkt kwa kujitolea unawaajili jeshini kisha unawapeleka kwenye mafunzo wakiludi wanapangiwa vituo vya kazi wakati huo Jkt unawapa usimazi, Waajiliwa wa sasa wa TRC unawapangia kazi nyingine au wanalipwa stahiki zao wanaacha nao.
Waswahili wengi ni WEZI halafu wana ushamba.
Ukimuweka mswahili mahali lazima AIBE au atafute namna ya kupiga dili, kula RUSHWA, KUHARIBU na kuleta MATATIZO.
Huwezi kukutana na mswahili aliye HONEST, wengi vibaka vibaka tu.
Sijui ni NJAA au hawakufunzwa malezi na baba zao? Au tumerogwa?
Cc: FaizaFoxy Nyani Ngabu Mshana Jr DR Mambo Jambo chiembe ChoiceVariable Lucas Mwashambwa Stuxnet Dkt. Gwajima D
UWAJIBIKAJI na UFISADI ndio tatizo kuu nchi hii, linaanzia juu kabisa kwa viongozi mpaka hatua ya chini kabisa.Mimi nashangaa sana watu wa serekali. Serekali haiwezi simamia mradi wwte lazima ufe ushahidi ni vifo vya mashirika ya uma
Kwa nchi kama Tanzania unakipia business class unataka kugundua nini? Business class na economy hazina utofauti kwa Tanzania zote ni class moja!Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:
1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.
Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.
2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,
3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi
4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.
Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu
5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,
6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka
7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.
Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.
Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo
Nawasilisha.
Ajira za serikali mkataba ni mpaka uzeeniKwa hoja yako ninashauri angalau kuwe na ajira ya mkataba mfupi, halafu utendaji ndio uwe kigezo cha kuongeza mkataba. Italeta tija. Hii zoa zoa hadi kustaafu unafanya watumishi wengi kutowajibika. Na kwa sekta nyingi za Umma watumishi wapo namna hii.
Mimi kinachoniboa ni li movie limoja kila sikuHabari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo:
1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi kuingia ndani ya treni akiwa na maji au chakula.
Ni sawa lkn kumbe katazo hili ni kwa abiria tu, kwa wafanyakazi wa railway ruksa kubeba hivyo vitu eti kikubwa awe na kitambulisho.
2. Ndani ya mabehewa katika maeneo ya kuwekea maji tayali yamekwishakatika na sikuona mtu yoyote anajali,
3. Katika safari mbili za SGR nilikua napewa beer kama sehemu ya huduma zitolewazo na shirika hilo bure, safari ya mwisho niliuziwa beer shiling elfu tano eti kwa maelekezo ya supervisor, TRC watuambie msimamo ni upi
4. Psychologia ya wafanyakazi wa shirika hilo hawatambui kwamba mradi huo ni wa garama kubwa na hivyo wanaendelea kufanya kazi kwa mazoea na sio kutokana na thamani ya mradi huo.
Jengo la Magufuli eneo la kusuburia ni kama Aircondition haipo kabisa kwani kuna joto la kufa mtu
5. Kutokana na mwitikio wa wananchi katika kutumia huduma hiyo, majengo yote sasa ni wazi kwamba yanatakiwa kuongezwa ukubwa,
6. Huduma hii ya SGR tutaiharibu kwa mikono yetu wenyewe.
ka
7. katika mifumo ya utokaji wa abiria katika vituo vyote, sijaona kama kuna mifumo ya kuzuia abiria wa Ngerengere asishuke Morogo au Dodoma.
Tumesikia shirika likijimwambafai kwamba wameingiza takribani 18 b inawezekana ni kweli, Je TRC haina madeni au katika fedha hizo ni kiasi gani cha mkopo kimekwisharudishwa kwa wadaai wetu.
Na mwisho, shirika lina mpango gani wa kuongeza maeneo ya kusubiria abiria kwa kuwa pesa zipo
Nawasilisha.
Mitano ni mingi sanaaHaitoboi miaka 5
Best statement everDead on arrival
😂😂😂😂Haitoboi miaka 5
Changamoto alizotaja zipo au hazipo?Kwa maelezo yako inaonekana ulipanda hiyo treini kwenda kuchunguza kasoro wala haukuwa na haja ya safari.
Na ndio moja ya sababu ya tatizo ktk mashirika, LGAs, MDAs n.kAjira za serikali mkataba ni mpaka uzeeni
mtu mweusi ana matatizo mengi sana hasa linapokuja swala la ustaarabu tu wa kawaida kama binaadamHabari zenu wana bodi ya Jamii Forum,