Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Kuwa unapost vitu kama music system za kisasa na electronics ambazo hazipatikani Tanzania
Naongezea nyama hapa kidogo. Nafikiri Kuna vitu huko vinauzwa Bei ya chini na vinapendwa au kuhitajika na WA TANZANIA wengi. Zile bidhaa unazo ziona huko ziko cheap kuwa unatupostia hapa mkuu.

Bidhaa kama
[emoji736]Tv
[emoji736]Majiko ya kisasa
[emoji736] Redio/ music system/ home theaters
[emoji736]Laptops
[emoji736]Vifaa vya gyms
[emoji736]Sofa
[emoji736]Viatu
[emoji736]Nguo
Etc

Unapost hapa Bei zake na makadirio ya Kila kitu mpaka Tz hapo itakuwa safi sana
 
Asante sana,vyote nitavifanyia kazi
 
Ebu tuongee kiume nataka kuwa dereva wa IT nini vigezo vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…