Huenda hii ndio sababu ya kisayansi kwanini Kaini alimuua Habili (Abeli)

Kwa mantiki hii kwenye biblia Kuna matahira wengi.

This topic is beyond your capability
 
Hii topic ingenoga kama mtoa mada angekua challenged na wakristo wenye ufahamu mkubwa wa mambo na wenye kuijua vyema Biblia.
 
Utopian Thinking plus ujinga iz iko to rubbish. This is what you have written here - RUBBISH
 
Ushahidi utacorroborate vipi ikiwa hakuna hata tendo au Tabia za kabla na after the fact zinazoonesha kwamba Cain was insane? Je,mens Rea ya Actus reus ya Cain inathibitika ama haithibitiki? Cain akijua alichokuwa anafanya ,kidogo ungeniambia provocation ingawa nayo inagoma Kwa kuwa Mungu alikuwa wa wote na wote walipewa haki sawa ya kutoa sadaka.
 
Smart Gin ni sumu zimenifanya kila mara nahisi harufu yake.Mwenye suluhisho anisaidie.
 
Smart Gin ni sumu zimenifanya kila mara nahisi harufu yake.Mwenye suluhisho anisaidie.
KWA MUNGU YAAWEZEKANA BR...NTUMIE JINA LA UKWELI PM TUOMBEANE...M NMEPIGA SANA KONYI KUBWA NAIOGOPA KAMA.....UKI.....AMINI MUNGU INAWEZEKANA UKAACHA
 
KWA MUNGU YAAWEZEKANA BR...NTUMIE JINA LA UKWELI PM TUOMBEANE...M NMEPIGA SANA KONYI KUBWA NAIOGOPA KAMA.....UKI.....AMINI MUNGU INAWEZEKANA UKAACHA
Nataka kwanza niondoe hiyo harufu kwanza kabla sijaacha.
 
Kuacha moja kwa moja ngumu ila ukiendelea na maombi unaaunaacha

kingine kilichonitesa .mm marafiki yaan nilikuwana marafk wazinzi wenyehela wakiwa na mzgo sinza hata nikisema sikopoa unambiwa chukua pk ukifika unakuta wako restaurant yenye lodge mizgo inakunywa kbaya sikuwa na huruma nikijua nakutananayo nanunua ugoro kwa masai nawadumbukixia..so ilikuwa ngumu llakn nilimwamini Mungu
mpwa mizigoo ya maofisn kabisa nikiona inakunywa safari haitoshi naingia toilet nakinga. ...nasubiri wakakojoe tu wanalo.nawamininia..yaan nilitubu balaa wwamekunywa sana mko...wangu walewe mapema....
 
Sourc? : Trust me bro
 
"The evidence says no"..... Where are those evidence....???
It shows that you have a problem with singularity and prurality in your english my friend. Re read the post especially on the part of "THE EVIDENCE SAYS NO"
 
Dogo wa llb first year bana. Unataka ni establish mens rea na actus reus.

Vyote vipo wazi

Mens rea = kamuua KWA sababu ya wivu kwamba eti sadaka yake imekubaliwa na Mungu.


Actus reus = tendo la kumuua Habili lime fanyika.


Motive ndio inayo FANYA mimi niseme Cain alikuwa insane.

Wewe unaweza kwenda kumuua kaka ako kwa sababu ametoa sadaka kubwa KWA Mwamposa kuliko uliyo itoa wewe?

Ukifanya hivyo tutakosea tukikuita insane?
 
Wewe na mwenzako Kaini basi mna shida kichwani,
Sijasema ni mataahira
 
Kasome habari za Yusuph na ndugu zake uje useme tena ndugu zake walikuwa hawana akili yaani walikiwa mataahira kumuua mdogo wao kisa ndoto
Yusuph hakuuawa na mtu yeyote, iwe ndugu zake ama watu baki. Kuwa makini unapotoa hoja.
 
Yeah! Stori ya kutunga ni lazima iwe na loose ends nyingi tu.
 
Hamjui maanddiko, kuna jamii iliishi kabla ya adam so tusidhan adam ndo mtu wa kwanza kuishi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…