Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I really like biblical stories,na huwa naappreciate sana watu wanotumia muda wao kufanya uchambuzi. It's interesting. Keep it up mkuuUkisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika)
Utagundua kwamba Cain killed Abel over bullshit. Hakukuwa na sababu yoyote ile ya msingi ya ku mfanya Kaini amuue Habili.
Waulize wachungaji hivi ni sababu GANI hasa iliyo mfanya Kaini amuue nduguye Habili?
Utasikia ooh Kaini aliona wivu KWA Habili KWA sababu sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu. . Blah blah blah. Alijuaje kama sadaka ya Habili imekubalika mbele za Mungu?
Kama sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu na sadaka ya Kaini haijakubalika kwanini Habili ambae sadaka yake ndo imekubalika (mwenye haki) ndio afe na Kaini ambae sadaka yake haijakubalika (asie na haki) aishi..
Jibu ni moja tu kwamba adhabu ya kutoa sadaka inayo kubalika mbele za Mungu ni kuuwawa.
Now back to my topic
Kaini alikuwa TAAHIRA.
KWANINI KAINI ALIKUWA TAAHIRA?
Ni sababu za kisayansi.
KWA mujibu wa maandiko Kaini na Habili wali share the same father with their mother. Yani baba wa Kaini na Habili ndio huyo huyo alikuwa baba wa mama mzazi wa Kaini na Habili.
Yes KWA mujibu wa maandiko HAWA alikuwa mtoto wa Adam.
Adam alikuwa ndio baba wa HAWA.
Adamu alikuwa ndio mama wa HAWA.
Adamu hakusema " she is flesh of my flesh and bones of my bones" kimakosa.
Without a doubt !!! Eve was a biological daughter of Adam
Sayansi inasema baba na binti au dada na kaka endapo watazaa mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana wakazaa mtoto mwenye matatizo ya akili.
Ndivyo ilivyo kuwa kwa Kaini. Kaini alikuwa na matatizo ya akili. Ningekuwa wakili wa Kaini mbele za Mungu ninge raise defense ya Insanity.
Ningemwambia Mungu kwamba mteja wangu Kaini ana tatizo la akili..wakati anafanya tukio la kumuua ndugu yake his right part of his brain was left and his left part of his brain was not right.
Kama Kaini angekuwa SAWA SAWA kichwani asinge muua ndugu yake.
Ange enda na yeye kutoa sadaka kama aliyo toa Habili. Kaini alikuwa mgonjwa wa akili.period. Je sisi waafrika ni kizazi cha Adam?
The evidence says No.
Mungu hakuumba watu wawili tu duniani. Aliumba a hundred of thousand of couples.( This will be a topic for another day)
Ur still a learner
Kabisa anajichanganya mwenyewe maana habari ya Kaini na Habili imenyooka kabisaStory za kufikirika
Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika)

Huu ndio ukweli wenyewe. Stori za wazungu hiziKwanza hao Kaini na Habeli nao naona ni hadithi tu. Ukute hawakuwahi hata kuwepo.
Wewe taahira kweli. Unajifanya unajua mambo ya genetic science kuliko Mungu wakati hata mtihani wa kuingia form one ulikushinda? Unataka kusema Mungu katika uumbaji wake alikuwa anafanya makosa sivyo, kwa sababu hakujua genetics kama wewe? Unapaswa kulaaniwa kabisaKWA mujibu wa maandiko Kaini na Habili wali share the same father with their mother. Yani baba wa Kaini na Habili ndio huyo huyo alikuwa baba wa mama mzazi wa Kaini na Habili.
Without a doubt !!! Eve was a biological daughter of Adam
Sayansi inasema baba na binti au dada na kaka endapo watazaa mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana wakazaa mtoto mwenye matatizo ya akili.
Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika)
Utagundua kwamba Cain killed Abel over bullshit. Hakukuwa na sababu yoyote ile ya msingi ya ku mfanya Kaini amuue Habili.
Waulize wachungaji hivi ni sababu GANI hasa iliyo mfanya Kaini amuue nduguye Habili?
Utasikia ooh Kaini aliona wivu KWA Habili KWA sababu sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu. . Blah blah blah. Alijuaje kama sadaka ya Habili imekubalika mbele za Mungu?
Kama sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu na sadaka ya Kaini haijakubalika kwanini Habili ambae sadaka yake ndo imekubalika (mwenye haki) ndio afe na Kaini ambae sadaka yake haijakubalika (asie na haki) aishi..
Jibu ni moja tu kwamba adhabu ya kutoa sadaka inayo kubalika mbele za Mungu ni kuuwawa.
Now back to my topic
Kaini alikuwa TAAHIRA.
KWANINI KAINI ALIKUWA TAAHIRA?
Ni sababu za kisayansi.
KWA mujibu wa maandiko Kaini na Habili wali share the same father with their mother. Yani baba wa Kaini na Habili ndio huyo huyo alikuwa baba wa mama mzazi wa Kaini na Habili.
Yes KWA mujibu wa maandiko HAWA alikuwa mtoto wa Adam.
Adam alikuwa ndio baba wa HAWA.
Adamu alikuwa ndio mama wa HAWA.
Adamu hakusema " she is flesh of my flesh and bones of my bones" kimakosa.
Without a doubt !!! Eve was a biological daughter of Adam
Sayansi inasema baba na binti au dada na kaka endapo watazaa mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana wakazaa mtoto mwenye matatizo ya akili.
Ndivyo ilivyo kuwa kwa Kaini. Kaini alikuwa na matatizo ya akili. Ningekuwa wakili wa Kaini mbele za Mungu ninge raise defense ya Insanity.
Ningemwambia Mungu kwamba mteja wangu Kaini ana tatizo la akili..wakati anafanya tukio la kumuua ndugu yake his right part of his brain was left and his left part of his brain was not right.
Kama Kaini angekuwa SAWA SAWA kichwani asinge muua ndugu yake.
Ange enda na yeye kutoa sadaka kama aliyo toa Habili. Kaini alikuwa mgonjwa wa akili.period. Je sisi waafrika ni kizazi cha Adam?
The evidence says No.
Mungu hakuumba watu wawili tu duniani. Aliumba a hundred of thousand of couples.( This will be a topic for another day)
Shida inaanzia pale history ya hawa na adamu, imekuta tayari kuna jamii huko mesopotamia, mfano, huriane, akadian, sumerians,, so ukitaka upate asili ya hawa na adamu,
Rudi kwanza upitie civilization, tangu stone age, bronze age, iron age na kuendelea,
Inakaa kama hii story ni ya kipindi cha iron age, ambapo tayari jamii zimeanza kulima na kufuga,,
Automatically hii habari ilitokea tayari kukiwa na civilization kwingine,,
Mfano habari ya moses inakaa kama imetokea kabla watu hawajagundua kuandika kwenye magome ya miti,, watu walikua wakiandika kwenye mawe ama udongo,,
Hivyo kuna timelines conflicts ya hizi habari za akina Adam🤷♂️,
Mi nijuavyo Adam alikua ni mmoja wa watawala wa Asyria,, kuna uwezekano kuna watu , waandishi wa kale walikua inspired na huyo mtawala kiasi cha kubuni hii habari ya Adam kiumbe wa kwanza😂🙆♀️
Wahaya hawajawahi kuwa smartMuhaya unatakiwa kuwa smart Chonka. Wewe badala ya kudeal na hoja unadeal na mtoa hoja. Una wa aibisha wahaya.
Yes mkuu wengi mno
Hii topic ingenoga kama mtoa mada angekua challenged na wakristo wenye ufahamu mkubwa wa mambo na wenye kuijua vyema Biblia.
Upo sahih kwenye mtazamo wa mungu kuumba watu wawili walianzaje kuingiliana ndugu kwa ndugu maisha hayana mwanzo yalikuwepoUkisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika)
Utagundua kwamba Cain killed Abel over bullshit. Hakukuwa na sababu yoyote ile ya msingi ya ku mfanya Kaini amuue Habili.
Waulize wachungaji hivi ni sababu GANI hasa iliyo mfanya Kaini amuue nduguye Habili?
Utasikia ooh Kaini aliona wivu KWA Habili KWA sababu sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu. . Blah blah blah. Alijuaje kama sadaka ya Habili imekubalika mbele za Mungu?
Kama sadaka ya Habili ilikubalika mbele za Mungu na sadaka ya Kaini haijakubalika kwanini Habili ambae sadaka yake ndo imekubalika (mwenye haki) ndio afe na Kaini ambae sadaka yake haijakubalika (asie na haki) aishi..
Jibu ni moja tu kwamba adhabu ya kutoa sadaka inayo kubalika mbele za Mungu ni kuuwawa.
Now back to my topic
Kaini alikuwa TAAHIRA.
KWANINI KAINI ALIKUWA TAAHIRA?
Ni sababu za kisayansi.
KWA mujibu wa maandiko Kaini na Habili wali share the same father with their mother. Yani baba wa Kaini na Habili ndio huyo huyo alikuwa baba wa mama mzazi wa Kaini na Habili.
Yes KWA mujibu wa maandiko HAWA alikuwa mtoto wa Adam.
Adam alikuwa ndio baba wa HAWA.
Adamu alikuwa ndio mama wa HAWA.
Adamu hakusema " she is flesh of my flesh and bones of my bones" kimakosa.
Without a doubt !!! Eve was a biological daughter of Adam
Sayansi inasema baba na binti au dada na kaka endapo watazaa mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana wakazaa mtoto mwenye matatizo ya akili.
Ndivyo ilivyo kuwa kwa Kaini. Kaini alikuwa na matatizo ya akili. Ningekuwa wakili wa Kaini mbele za Mungu ninge raise defense ya Insanity.
Ningemwambia Mungu kwamba mteja wangu Kaini ana tatizo la akili..wakati anafanya tukio la kumuua ndugu yake his right part of his brain was left and his left part of his brain was not right.
Kama Kaini angekuwa SAWA SAWA kichwani asinge muua ndugu yake.
Ange enda na yeye kutoa sadaka kama aliyo toa Habili. Kaini alikuwa mgonjwa wa akili.period. Je sisi waafrika ni kizazi cha Adam?
The evidence says No.
Mungu hakuumba watu wawili tu duniani. Aliumba a hundred of thousand of couples.( This will be a topic for another day)
Dogo wa llb first year bana. Unataka ni establish mens rea na actus reus.
Vyote vipo wazi
Mens rea = kamuua KWA sababu ya wivu kwamba eti sadaka yake imekubaliwa na Mungu.
Actus reus = tendo la kumuua Habili lime fanyika.
Motive ndio inayo FANYA mimi niseme Cain alikuwa insane.
Wewe unaweza kwenda kumuua kaka ako kwa sababu ametoa sadaka kubwa KWA Mwamposa kuliko uliyo itoa wewe?
Ukifanya hivyo tutakosea tukikuita insane?
Yusuph hakuuawa na mtu yeyote, iwe ndugu zake ama watu baki. Kuwa makini unapotoa hoja.