Huenda hii ndio sababu ya kisayansi kwanini Kaini alimuua Habili (Abeli)

I really like biblical stories,na huwa naappreciate sana watu wanotumia muda wao kufanya uchambuzi. It's interesting. Keep it up mkuu
 
Subirini jamani kwani hamuwezi kucommunicate na Mungu migogoro na migongano iishe
 

The title is attractive enough for me to open your thread

The content of it though shows how ill informed you are about the matters discussed

I would advise you better read before attempting to write such -self evidently - consipiracy
 
Wewe taahira kweli. Unajifanya unajua mambo ya genetic science kuliko Mungu wakati hata mtihani wa kuingia form one ulikushinda? Unataka kusema Mungu katika uumbaji wake alikuwa anafanya makosa sivyo, kwa sababu hakujua genetics kama wewe? Unapaswa kulaaniwa kabisa

Toka ukiwa seli mbili tumboni mwa mama yako Mungu alikuona kuwa taahira
 
Jifunze kusoma maandiko vzr

Ili kujua sadaka yako imepokelewa au haijapokelewa hiki ndo kilifanyika

Ulipoweka sadaka yako kwenye mawe(kondoo baada ya kuchinjwa moto ulikuwa unatoka mbinguni na kuiteketeka ile kitu mpk inaisha) so kain ya kwake moto haukuwa unashuka

Hii ni kitu iliendelea mpk zama za wana wa israeli
 
Huenda kaini alishajua kuwa nduguye ndio mwenyew haki (ie mrithi),hiyo inaweza kuwa motive ya mauaji. Kuhusu abeli kufa angalia ana haki, ni kwamba mauti tayari ilishaingia duanian kitokana na kosa la wazee wao. Japo damu ya mwenye haki ikimwagika itadai haki hiyo, kama umesoma maandiko vzr
 

Kasome vizuri sababu ya kwanini Kaini kamuua Habili Kwenye Biblia wameelezea vizuri, haikutokea ghafla. Kuna kipindi Hadi Mungu alienda kwa kaini na kuongea naye.
 

Adama ndio chimbuko la ubinadamu sema human knowledge inajaribu kulipinga Hilo.
 
Hii topic ingenoga kama mtoa mada angekua challenged na wakristo wenye ufahamu mkubwa wa mambo na wenye kuijua vyema Biblia.

Huyo kazi yake ni kukebehi Ukristo sio kwamba haelewi. Biblia imejitosheleza kuhusu kaini, na imeeleza wazi kila kitu. Hata ungeeleza vipi yupo kwaajili ya kebehi.
 
Upo sahih kwenye mtazamo wa mungu kuumba watu wawili walianzaje kuingiliana ndugu kwa ndugu maisha hayana mwanzo yalikuwepo
 

Circumstancial inasemaje?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…