Huenda hii ndio sababu ya kisayansi kwanini Kaini alimuua Habili (Abeli)

Kuna maeneo katika hii dunia mpaka leo hawajawahi kusikia hizi ngano za kale....
Wanaishi kivyavyao...na maisha yanakwenda mbele kama kawaida...
Nyinyi weusi mmerogwa na nani.....
 
Nyoka_mzee njoo huku ndugu yangu ..Hiki kisakimeelezwa vema kabisa ,,njoo utuwekee facts
Adam na Eva
- Wakaedit ikawa Adam na Hawa
Yesu
- Alizaliwa kwenye holi la ng'ombe, alikufa msalabani, akazikwa na kufufuka. Wakaedit Issa bin nani sijui alizaliwa chini ya mtende mwisho akapaa
Habili na kaini
- wameedit nani vile?
 
KWA mujibu wa maandiko Kaini na Habili wali share the same father with their mother. Yani baba wa Kaini na Habili ndio huyo huyo alikuwa baba wa mama mzazi wa Kaini na Habili.
Kwahio at least they existed, maana Kuna wengine wanakana hata huo uwepo wao
 
Sijaona point ya Maana hapo.
 
Kuna watu Huwa wananena Kwa lugha, ukiwauliza wanasema wanaongea na Mungu, haya maswali wamuulize basi tuondoe mkanganyiko
 
Huyo kazi yake ni kukebehi Ukristo sio kwamba haelewi. Biblia imejitosheleza kuhusu kaini, na imeeleza wazi kila kitu. Hata ungeeleza vipi yupo kwaajili ya kebehi.
Sikebehi dini wala imani ya mtu mkuu nitake radhi please
 
Dah yani umuue mtu KWA sababu umejua ndo ana haki ILI u achieve kitu GANI?
 
Una amini hayo mazingaombwe mkuu ? Mbona siku hizi haitokei hivyo.


Okay SASA tu assume unacho sema ni kweli.


Mtu mwenye akili timamu ange paswa kuogopa kumdhuru mtu ambae sadaka yake ime weza ku command moto kutoka mbinguni kushuka duniani kui consume.

Bado unatetea point yangu kwamba Kaini dishi lilikuwa limeyumba
 
Hii topic ingenoga kama mtoa mada angekua challenged na wakristo wenye ufahamu mkubwa wa mambo na wenye kuijua vyema Biblia.
Sio lazima ufahamu mkubwa, amesema hapo zipo evidence, aweke hizo evidence badala ya kusema eti hiyo ni topic ya siku nyingine 😃
 
Ukitaka MAJUHA wakuamini anza stori yako na kauli kuwa "Sayansi inasema. ...................
 
Mkubwa, hebu nisaidie hapa, maana unaonekana wewe ni mtaalamu,,, kwanini yesu aliitwa , "mwana wa DAUDI"?
 
Inabidi tukutane unishauri kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…