GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hii ya kutuhumu wenzio na kuwadhalilisha Kwa vitu ambavyo ni vya kujitungia si uungwana. Bàadhi ya waliosafiri wanajulikana na majirani zào, wewe unawasambazia sifa mbovu kujifurahisha? No braza, hili si Sawa.Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka maarufu Manzese, Mwananyamala na Tondale hivyo GENTAMYCINE nawaonea mno Huruma Waafrika kwani Wataibiwa na hakuna Rangi wataacha Kuiona.
Ukiwa period akili zinakuhamaHuenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )
Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka maarufu Manzese, Mwananyamala na Tondale hivyo GENTAMYCINE nawaonea mno Huruma Waafrika kwani Wataibiwa na hakuna Rangi wataacha Kuiona.
Mwambie huyu mjinga, anaharibu sifa ya mtu kwa manufaa yake yasiyo na kichwa wala miguuHii ya kutuhumu wenzio na kuwadhalilisha Kwa vitu ambavyo ni vya kujitungia si uungwana. Bàadhi ya waliosafiri wanajulikana na majirani zào, wewe unawasambazia sifa mbovu kujifurahisha? No braza, hili si Sawa.
Kwani huyo jamaa hauja mazoea?Hii ya kutuhumu wenzio na kuwadhalilisha Kwa vitu ambavyo ni vya kujitungia si uungwana. Bàadhi ya waliosafiri wanajulikana na majirani zào, wewe unawasambazia sifa mbovu kujifurahisha? No braza, hili si Sawa.
Amzoee kwani ni mkeweKwani huyo jamaa hauja mazoea?
Na zaidi huyu mwehu hua mada zake hizi za kuchafua timu za tanzania zinaachwa.Hii ya kutuhumu wenzio na kuwadhalilisha Kwa vitu ambavyo ni vya kujitungia si uungwana. Bàadhi ya waliosafiri wanajulikana na majirani zào, wewe unawasambazia sifa mbovu kujifurahisha? No braza, hili si Sawa.
Sasa picha ya huyu fadha inahusikaje hapa?
Rafiki yangu sikujua kama Utani wangu huu juu ya hao Wasafiri 48 Wewe kama mwana Yanga SC ungeupokea kwa Machungu na Hisia Kali hivi.Hii ya kutuhumu wenzio na kuwadhalilisha Kwa vitu ambavyo ni vya kujitungia si uungwana. Bàadhi ya waliosafiri wanajulikana na majirani zào, wewe unawasambazia sifa mbovu kujifurahisha? No braza, hili si Sawa.
GENTAMYCINE, Simba wazee wa Papatupapatu wameumaliza mwendo salamaHuenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao )