mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kushikana mikono na utopolo nikujitafutia kipindupindu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushikana mikono na utopolo nikujitafutia kipindupindu
Huko misri lazima mpakuliwe pumbavu zenu na kuposti ujinga kama huuKushikana mikono na utopolo nikujitafutia kipindupinduView attachment 2952762
mzee ramadhan ni mtaalam wa nyota biashara mali bira kafara mausiano cheo nk 0678663769Rafiki yangu sikujua kama Utani wangu huu juu ya hao Wasafiri 48 Wewe kama mwana Yanga SC ungeupokea kwa Machungu na Hisia Kali hivi.
Nichukue nafasi hii Kukuomba Radhi na pia kuwaomba Radhi na wana Yanga SC Wengine hapa kama nao Wamekwazika ila kiukweli huwa napenda mno Utani na Kuchangamshana hapa.
GENTAMYCINE leo kuwatania hivi Yanga SC mmeonyesha Kuchukia hadi kusema kuwa Nadhalilisha Watu ila wana Yanga SC hapa JamiiForums Kutwa wakiwa Wanatudhalilisha wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) huwa hamuoni na haliwaumi tena huenda pia huwa Mnafurahi sana.
Kunya anye Kuku ila akinya Bata basi jua Kaharisha. Hakuna Kitu nakichukia kama UNAFIKI, UBINAFSI na UPUMBAVU uliotukuka.
Hapo ndo umewaza Hadi mwisho?Wazee wa mwiko nyuma kwa ulozi hawajambo ulozi mwingine umeenda kwa njia ya bus