Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni akiwashirikisha mabilioni ya malaika akiqashawishi waungane nae katika mpango wa kupambana na mpango wa Mungu kuwaleta binadamu kwenye sayari ya dunia bila kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha binadamu Hao wanaishi kwa furaha kwenye sayari ya dunia.

Google msome kiumbe anaitwa Demiurge au Yaldabaoth unaweza kupata picha kuhusu huyu Mungu alie iumba dunia na watu wake.. Huenda akawa ni Narcissistic being ambae lengo lake ni kuwatesa na kuwatisha watu..

Watu wengi duniani wanakubaliana kwamba Mungu hakuwa na sababu yoyote ya kuwaleta watu duniani na wengi hawaoni mantiki ya wao kuwepo duniani...

Hata Huyo Mungu mwenyewe anajuta kwanini alimuumba mtu : GENESIS 6:6

Mshana Jr

LIKUD

N. B: ungekuwa wewe ndio mshauri wa Mungu mbinguni je ungeshauri binadamu aje aishi kwenye dunia yenye uovu mkubwa kama huu?
 
Si kweli... sababu iliyomfanya amuasi MUNGU ni kumuonea wivu YESU kwanini anapewa heshima zaidi kuliko yeye, akataka wawe sawa. jamaa akaanza kuforce ndio akatupwa huku duniani.
Hiyo Ina make sense with u?
 
Genesis 6:6 Mungu alijuta kumuumba binadamu. Nini maoni yako
MUNGU ni mwenye rehema na upendo, tunapo mkosea hareact bali huonyesha rehema so, ndio maana alimwambia
Nuhu atengeneze safina ili watakao mwamini waokoke. Kama asingetaka asinge mwambia hata nuhu na wala YESU Asingekufa msalabani.
 
Hakukua na sababu ya sisi kuumbwa.

Akili ndogo zinatumia sababu tofautitofauti kuuhalalisha uwepo wetu lakini hisabati zote zinarudi kwa muumbaji kudai uhalali wa sisi kuumbwa katika mazingira haya.

Shetshet alikua na hoja nzito sema Mungu nae alikua dictator kama CCM akaona dawa ni kutangaza vita na wale waliomshauri
 
Hakukua na sababu ya sisi kuumbwa.

Akili ndogo zinatumia sababu tofautitofauti kuuhalalisha uwepo wetu lakini hisabati zote zinarudi kwa muumbaji kudai uhalali wa sisi kuumbwa katika mazingira haya
100 percent facts. Naamini siku moja watu wote duniani wataamka na wataandamana kwenye makao makuu ya dini zao kuwalazimisha viongozi wa dini zao wamwambie Mungu aje alitolee maelezo hili suala..
 
Psalm 103
 
Kwasababu Ni Dini. Tujikite huko kwa Dini.

Sababu ya Binadamu ni ili aje atawale vyote vilivyotamkwa Na Mungu na Vikawa.

Kabla ya Vyote kutamkwa na vikawa , Roho ya Mungu ilitulia juu ya maji. Kukawa na Kiza bila nuru. Akaanza kutamka vitu na mwishon akasema tumfanye Mtu kwa Mfano wetu ili akatawale vile alivyotamka.

(Hapa alikuwa anaongea na Malaika, including Shetani).
 
sababu ya MUNGU kutuweka duniani ilikuwa ni kuitawala duniani, na kumpa utukufu. hata hivyo siku ya hukumu utajihukumu mwenyewe kwa kusema HUKUMU ZAKO NIZA KWELI NA ZA HAKI
 
Kwasababu Ni Dini. Tujikite huko kwa Dini.

Sababu ya Binadamu ni ili aje atawale vyote vilivyotamkwa Na Mungu na Vikawa.

Kabla ya Vyote kutamkwa na vikawa , Roho ya Mungu ilitulia juu ya maji. Kukawa na Kiza bila nuru. Akaanza kutamka vitu na mwishon akasema tumfanye Mtu kwa Mfano wetu ili akatawale vile alivyotamka.

(Hapa alikuwa anaongea na Malaika, including Shetani).
Baada ya Kuumbwa binadamu, Shetan au Lucifer hakupenda.
aliona Mungu hajafanya sahihi.

Na kwakuwa alikuwa ana heshimika na Malaika wengi. Akaamuru wale Malaika wasimsujudu Mungu ila wamsujudu yeye.

Na Mungu alivyojua akakasirika. Kukawa na vita na Shetan

akakimbilia Dunian pamoja na malaika waliokuwa wanamtii.
Duniani aliko Binadamu.

Na lengo lake bado ni lile lile. Kumuhadaa pia Binadamu asimsujudu Muumba wake.
 
Kwasababu Ni Dini. Tujikite huko kwa Dini.

Sababu ya Binadamu ni ili aje atawale vyote vilivyotamkwa Na Mungu na Vikawa.

Kabla ya Vyote kutamkwa na vikawa , Roho ya Mungu ilitulia juu ya maji. Kukawa na Kiza bila nuru. Akaanza kutamka vitu na mwishon akasema tumfanye Mtu kwa Mfano wetu ili akatawale vile alivyotamka.

(Hapa alikuwa anaongea na Malaika, including Shetani).
sio kweli... Labda kama bado alikuwa lucifer ila sio shetani
 
Kwasababu Ni Dini. Tujikite huko kwa Dini.

Sababu ya Binadamu ni ili aje atawale vyote vilivyotamkwa Na Mungu na Vikawa.

Kabla ya Vyote kutamkwa na vikawa , Roho ya Mungu ilitulia juu ya maji. Kukawa na Kiza bila nuru. Akaanza kutamka vitu na mwishon akasema tumfanye Mtu kwa Mfano wetu ili akatawale vile alivyotamka.

(Hapa alikuwa anaongea na Malaika, including Shetani).
Bado hamna hoja zaidi ya vioja... Unajua hata tungekua kama Mungu alivyotaka ningeendelea kumhoji Mungu katika suala la swala kuliwa na Simba.
 
Umejikita kujibu hoja upande wa kidini au? 😊😊😊

Maana Hoja yako umeiweka Kidini lakin naona unajaribu kutumia Sayansi kuikinza.

swala kuliwa na Simba tena? .
Ulitakaje sasa? 😎😎😎😎 Simba ale nyasi? Au Swala amle Simba?.
 
Bado hamna hoja zaidi ya vioja... Unajua hata tungekua kama Mungu alivyotaka ningeendelea kumhoji Mungu katika suala la swala kuliwa na Simba.
Muanzisha Uzi ame acknowledge Dini.
Ameonyesha nafas ya Shetan na kuhoji pengne Shetan hakupendezwa na Binadam kuja duniani.

Na amehoji pia pengine ni mpango wa Mungu kumtesa Binadamu.

Na amehoji Kuwa watu weng hawaon mantik ya wao kuwepo Dunian.

na mm ndio nikaonyesha kuwa Kusudi la binadamu kuwepo Duniani ni lipi.
Simple as that.
 
Back
Top Bottom