Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni akiwashirikisha mabilioni ya malaika akiqashawishi waungane nae katika mpango wa kupambana na mpango wa Mungu kuwaleta binadamu kwenye sayari ya dunia bila kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha binadamu Hao wanaishi kwa furaha kwenye sayari ya dunia.

Google msome kiumbe anaitwa Demiurge au Yaldabaoth unaweza kupata picha kuhusu huyu Mungu alie iumba dunia na watu wake.. Huenda akawa ni Narcissistic being ambae lengo lake ni kuwatesa na kuwatisha watu..

Watu wengi duniani wanakubaliana kwamba Mungu hakuwa na sababu yoyote ya kuwaleta watu duniani na wengi hawaoni mantiki ya wao kuwepo duniani...

Hata Huyo Mungu mwenyewe anajuta kwanini alimuumba mtu : GENESIS 6:6

Mshana Jr

LIKUD

N. B: ungekuwa wewe ndio mshauri wa Mungu mbinguni je ungeshauri binadamu aje aishi kwenye dunia yenye uovu mkubwa kama huu?
🤔
 
Binadamu hawaumbwi.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.

Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hatuumbwi na wala hatukuumbwa.
 
Je? Majini yako?.

Kwa Iman yako hii Unaweza usiseme Jini. Nachotaka kujua Je kuna viumbe ambao hawaonekan?.
 
Mungu anampenda sana mwanadamu ndo sababu ya shetani kuasi wivu akawaza why mwanadamu aliyeubwa namuona apendelewe?
 
Binadamu hawaumbwi.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Mungu hayupo.

Shetani hayupo.

Binadamu tunazaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hatuumbwi na wala hatukuumbwa.
Ili wazo lako liwe na mantiki lazima li pass test inaitwa " A possibility of being possible " Uwezekano wa wazo lako kuwa sahihi ni mdogo sana kwa sababu huyu mtu kwa jinsi alivyo ni ngumu sana kuwepo bila kuwa na designer..

So Mungu yupo but very likely he doesn't like us that much
 
sababu ya MUNGU kutuweka duniani ilikuwa ni kuitawala duniani, na kumpa utukufu. hata hivyo siku ya hukumu utajihukumu mwenyewe kwa kusema HUKUMU ZAKO NIZA KWELI NA ZA HAKI
1. Je tunaitawala dunia?
2.je maisha yetu yanampa utukufu
 
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni akiwashirikisha mabilioni ya malaika akiqashawishi waungane nae katika mpango wa kupambana na mpango wa Mungu kuwaleta binadamu kwenye sayari ya dunia bila kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha binadamu Hao wanaishi kwa furaha kwenye sayari ya dunia.

Google msome kiumbe anaitwa Demiurge au Yaldabaoth unaweza kupata picha kuhusu huyu Mungu alie iumba dunia na watu wake.. Huenda akawa ni Narcissistic being ambae lengo lake ni kuwatesa na kuwatisha watu..

Watu wengi duniani wanakubaliana kwamba Mungu hakuwa na sababu yoyote ya kuwaleta watu duniani na wengi hawaoni mantiki ya wao kuwepo duniani...

Hata Huyo Mungu mwenyewe anajuta kwanini alimuumba mtu : GENESIS 6:6

Mshana Jr

LIKUD

N. B: ungekuwa wewe ndio mshauri wa Mungu mbinguni je ungeshauri binadamu aje aishi kwenye dunia yenye uovu mkubwa kama huu?
Hakuna uthibitisho kwamba Mungu yupo.
 
Ili wazo lako liwe na mantiki lazima li pass test inaitwa " A possibility of being possible " Uwezekano wa wazo lako kuwa sahihi ni mdogo sana kwa sababu huyu mtu kwa jinsi alivyo ni ngumu sana kuwepo bila kuwa na designer..

So Mungu yupo but very likely he doesn't like us that much
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na designer, Hata huyo designer wa kila kitu lazima awe na designer wake mwingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo designer.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu usio na mwisho wa designers wengi.

If complex systems require a creator then the creator requires more complex creators that get more and more complex.

Infinite regress.

An infinite regress is a sequence of propositions or causes that goes back forever, with no starting point. It typically occurs when you explain a condition or event by pointing to a predecessor, which in turn requires another predecessor, repeating endlessly without ever reaching a definitive foundation.
 
Suala la ulazima wa uwepo wa designer linahusu vitu vinavyo onekana pekee
 
Viumbe visivyo onekana ni vingi hata Bacteria na Virus hawaonekani ila wapo na wanathibitishika wapo.
exactly hii ndio hoja yangu,
Bacteria virus wamethibitishwa kimaabara, na ni karne hizi za 20-21.

What if bado hatujafikia level za kuthibitisha uwepo wa Mungu, but Mungu yuko?.kama ilivyochukua miaka kugundua hizo Virus?.

Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Mababu zetu wangeambiwa kwamba kwenye damu kuna Micro organism na ilihali mababu zetu wakiangalia Damu kwa macho yao ya nyama hawaon kitu .

Bila shaka Hawawez kuamini kuwa Virus wako. Ila kuna viashiria kadha wa kadha na wakaambiwa kuwa pamoja hamuoni Virus kwa macho ila wako na ndio wanaleta shida 123. Na kuviondoa hivi basi tufanye ABC. Na ukifanya vinaondoka.

Bila shaka wataanza Kuamini.

Ndio Suala la uwepo wa Mungu.
hauwez kudhibitisha Kisayansi ila kuna Mambo ukiomba kwa Iman yanatendeka . Na hilo linadhibitisha aliyeombwa yuko.
 
Back
Top Bottom