Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Is God a Narcissist or not?
“Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu.
”
— Isaya 42:8 (Biblia Takatifu)

“Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
”
— Isaya 48:11 (Biblia Takatifu)

Jibu lako linaweza patikana hapa, Mungu anapenda amiliki kila kitu, kila kitu kwake ni amri.

Ndiko serikali ya kifalme ilikotokea
Yeye ndiye muamzilishi wa vyote ulimwenguni, hivyo yeyote anayetaka kutengeneza kitu kipya ameasi ANASTAHILI REHEMA AKITUBU AKISHUPAZA SHINGO HUKUMU.
 
Serpent was cursed by Demiurge after revealing human about secret when they will eat that tree, they will know their true origin is not from Demiurge but it’s from higher realm, From Monad
/Barbero / Ultimate God.
Demiurge trapped us into material world.
 
Umejikita kujibu hoja upande wa kidini au? 😊😊😊

Maana Hoja yako umeiweka Kidini lakin naona unajaribu kutumia Sayansi kuikinza.

swala kuliwa na Simba tena? .
Ulitakaje sasa? 😎😎😎😎 Simba ale nyasi? Au Swala amle Simba?.
Iwe kidini au kisayansi, ninachotaka ni wewe ufikiri kwa usahihi.... Kama hutaweza kufikiri kwa usahihi maana yake huu mjadala huuwezi
 
“Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu.
”
— Isaya 42:8 (Biblia Takatifu)

“Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
”
— Isaya 48:11 (Biblia Takatifu)

Jibu lako linaweza patikana hapa, Mungu anapenda amiliki kila kitu, kila kitu kwake ni amri.

Ndiko serikali ya kifalme ilikotokea
Yeye ndiye muamzilishi wa vyote ulimwenguni, hivyo yeyote anayetaka kutengeneza kitu kipya ameasi ANASTAHILI REHEMA AKITUBU AKISHUPAZA SHINGO HUKUMU.

So Mungu anaruhusu uovu utokee duniani?
 
Lazima kulikuwa na watu wa kwanza kuwa designed then ndo tukafuata sisi
Watu hao wa kwanza walikuwa weupe au weusi?

Maana kuna wazungu weupe, waafrika weusi, wachina, wafilipino, waarabu, wahindi weupe, wahindi weusi, wakorea, wajapani n.k

Sasa kama kweli kulikuwa na watu wa kwanza huu utofauti wa rangi na vinasaba ulitoka wapi?

Maana kama kungekuwa na watu wa kwanza kwa binadamu wote, Basi dunia nzima tungefanana rangi na vinasaba.

Lakini tuna tofautiana. Kwa hiyo haiwezekani watu wote duniani tuwe tumetokana na Binadamu mmoja tu, wa kwanza.
 
Kwanza Mungu alipomuumba binadamu ilikuwa sio lengo lake tuishi hivi tulitakiwq tuishi kama Malaika.Maisha ya tabu yalianza baada ya binadamu kukubali udanganyifu wa Malaika waovu.kuhusu hao Malaika waovu viongozi wao walitaka kuwa kama Mungu lakini hakuna kiumbe yoyote ambacho kinaweza kuwa Mungu.So blem your parents Adam and eve for this bad life.usianguke kwenye udanyanyifu wa shetani.
Mungu hakujua kabla kwamba viumbe wake watamuasi ili azuie?
 
Watu hao wa kwanza walikuwa weupe au weusi?

Maana kuna wazungu weupe, waafrika weusi, wachina, wafilipino, waarabu, wahindi weupe, wahindi weusi, wakorea, wajapani n.k

Sasa kama kweli kulikuwa na watu wa kwanza huu utofauti wa rangi na vinasaba ulitoka wapi?

Maana kama kungekuwa na watu wa kwanza kwa binadamu wote, Basi dunia nzima tungefanana rangi na vinasaba.

Lakini tuna tofautiana. Kwa hiyo haiwezekani watu wote duniani tuwe tumetokana na Binadamu mmoja tu wa kwanza.
Sayansi inasema watu wa kwanza duniani walikuwa weusi
 
Sayansi inasema watu wa kwanza duniani walikuwa weusi
Watu weupe wakaanzaje kuwepo?

Wachina wakaanzaje kuwepo?

Waarabu wakaanzaje kuwepo?

Wahindi wakaanzaje kuwepo?

Red Indians wakaanzaje kuwepo?
 
Hilo linaweza kuwa kweli kama Mungu yupo.

Lakini hujathibitisha Mungu yupo.

Unaandika kama Mungu yupo.

Wakati hujathibitisha kuwa Mungu yupo.

Unajuaje Mungu yupo?
Mimi najua Mungu yupo under what they call " The possibility of being possible ". The possibility of God being is existing is higher than it's opposite.. Uwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa sana kuliko uwezekano wa yeye Kuto kuwepo..

Back to you. Wewe unajuaje kwamba Mungu hayupo?
 
Uumbaji unathibitisha kuwa Mungu yupo.mfano gari au simu haiwezi kujitengeneza.mfano jicho la binadamu linafanya kazi baada ya seli zaidi ya milioni kupangiliwa vizuri na kufanya kazi.mfano seli hata moja ikipangiliwa vibaya kila kitu kinaharibika kwa hiyo kuna Supreme being yupo sehemu fulani anasimamia kila kitu.
Logical non sequitur fallacy.

Ukweli kwamba gari halijajitengeneza haumaanishi limetengenezwa na Mungu.

Kwa sababu inawezekana gari limetengenezwa na Mjapani, si na Mungu.

Na ukisema hakuna order inayoweza kutokea bila kuumbwa, kimsingi hapo umesema Mungu hayupo bila kujua.

Kwa sababu hata Mungu naye ni order, na kwa kanuni yako hiyo, atatakiwa kuwa hawezi kuwapo bila kuumbwa, na akishaumbwa anakuwa si Mungu tena.

Hoja yako ni ya kuthibitisha Mungu hayupo, ila hujajua tu hilo.
 
Watu weupe wakaanzaje kuwepo?

Wachina wakaanzaje kuwepo?

Waarabu wakaanzaje kuwepo?

Wahindi wakaanzaje kuwepo?

Red Indians wakaanzaje kuwepo?


Walitoka kwenye genes za mtu mweusi. Kwenye DNA ya mtu mweusi kuna genes zote.
 

Attachments

  • 1784117172160.jpg
    1784117172160.jpg
    212.6 KB · Views: 9
  • images (26).jpeg
    images (26).jpeg
    6.6 KB · Views: 11
Mimi najua Mungu yupo under what they call " The possibility of being possible ". The possibility of God being is existing is higher than it's opposite.. Uwezekano wa Mungu kuwepo ni mkubwa sana kuliko uwezekano wa yeye Kuto kuwepo..

Back to you. Wewe unajuaje kwamba Mungu hayupo?
Huku ni kubeti, si kujua.

Tambua tofauti.
 
Back
Top Bottom