Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

Inaonesha huzuni ya Mungu juu ya hali ya mwanadamu, si lazima kukiri kwamba kuumba mwanadamu kulikuwa kosa. Ni aya inayosisitiza uzito wa dhambi na jinsi Mungu anavyoichukulia kwa uzito.
Mungu anaweza kuwa na huzuni? How?
 
Pascal Wager was a mathematician tusimchukulie poa.

How it make sense? It make sense by way of common sense. Ina make sense ku established kwamba huyu aliezaliwa akiwa na miguu miwili yenye vidole vitano each, mikono miwili, meno 32 ambayo hayali ya nacho kitafuna etc amekuwa designed na entity yenye maarifa ya juu kuliko kusema kwamba mtu huyu ametokea mwenyewe tu from no where. Kutomjua designer kuna maanisha Sisi bado hatuja fikia hatua ya kuwa na teknolojia ya kuthibitisha kisayansi kuhusu uwepo wa huyo designer
1. Kuwa designed na entity yenye maarifa zaidi si kuwa designed na Mungu. Kuna logical non sequitur fallacy umeifanya hapa.

Yani ni hivi, ukweli kwamba wewe una mama hujatokea tu, haumaanishi kuwa mama yako mzazi ni lazima awe Samia Suluhu Hassan.

Ukisema mama yako mzazi ni Samia, itabidi uthibitishe mama yako mzazi ni Samia.

Ukijibu "lazima nina mama, kwani nimejizaa mwenyewe?" hata kama kweli hujajizaa mwenyewe, hata kama kweli una mama, hilo halithibitishi mama yako mzazi ni Samia Suluhu Hassan.

2. Kufikiri kitu kimekuwa designed hakumaanishi kitu kimekuwa designed. Kuna kitabu kizima kinachoelezea appearance of design inavyokuwa deceiving, kimeandikwa na Richard Dawkins. Kinaitwa "The Blind Watchmaker: Why the Evidence of Evolution Reveals a Universe without Design". Nafikiri hujakisoma. Richard Dawkins kaandika vizuri sana, kisomi sana, kuonesha kuwa evolution inaondoa hoja ya design. Kitafute ujielimishe kama unataka elimu.

3. Hoja ya kusema kila kilicho na order kimekuwa designed ni hoja ya kusema Mungu hayupo.

Kwa sababu, kama Mungu ana order, na yeye atakuwa designed pia, na akiwa designed maana yake yeye si Mungu.

You are really making an argument against the existence of God.
 
Mungu anaweza kuwa na huzuni? How?
Biblia mara nyingi humweleza Mungu kuwa mwenye upendo, hasira, furaha na huzuni. Kwa mfano, Mwanzo 6:6 inasema "akahuzunika moyo", na katika baadhi ya maandiko inaelezwa kwamba Roho wa Mungu anaweza kuhuzunishwa.
Kwa mtazamo huu, huzuni ya Mungu si udhaifu, bali ni sehemu ya upendo wake. Kama Mungu anapenda kwa ukamilifu, basi uasi na uovu humhuzunisha kwa namna iliyo kamilifu pia.
 
1. Kuwa designed na entity yenye maarifa zaidi si kuwa designed na Mungu. Kuna logical non sequitur fallacy umeifanya hapa.

Yani ni hivi, ukweli kwamba wewe una mama hujatokea tu, haumaanishi kuwa mama yako mzazi ni lazima awe Samia Suluhu Hassan.

Ukisema mama yako mzazi ni Samia, itabidi uthibitishe mama yako mzazi ni Samia.

Ukijibu "lazima nina mama, kwani nimejizaa mwenyewe?" hata kama kweli hujajizaa mwenyewe, hata kama kweli una mama, hilo halithibitishi mama yako mzazi ni Samia Suluhu Hassan.

2. Kufikiri kitu kimekuwa designed hakumaanishi kitu kimekuwa designed. Kuna kitabu kizima kinachoelezea appearance of design inavyokuwa deceiving, kimeandikwa na Richard Dawkins. Kinaitwa "The Blind Watchmaker: Why the Evidence of Evolution Reveals a Universe without Design". Nafikiri hujakisoma. Richard Dawkins kaandika vizuri sana, kisomi sana, kuonesha kuwa evolution inaondoa hoja ya design. Kitafute ujielimishe kama unataka elimu.

3. Hoja ya kusema kila kilicho na order kimekuwa designed ni hoja ya kusema Mungu hayupo.

Kwa sababu, kama Mungu ana order, na yeye atakuwa designed pia, na akiwa designed maana yake yeye si Mungu.

You are really making an argument against the existence of God.
Ngoja nikisome kwanza hicho kitabu halafu nirudi na majibu. Asiwe tu ameibua hoja kama za Carl Jung kwenye Synchronicity
 
Ngoja nikisome kwanza hicho kitabu halafu nirudi na majibu. Asiwe tu ameibua hoja kama za Carl Jung kwenye Synchronicity
Kitabu hujasoma ushaanza kuweka opinion.
 
unamaanisha kabla mtu hajazaliwa MUNGU anakuwa ameshajua huyu ataenda mbinguni au motoni tunakuwa tumepagiwa maisha?
Kabisa maana yake kama wewe umepangiwa kuwa mlevi utakuwa mlevi hadi kufa kwako maana yake hata ukiombewa vipi huwezi acha je huyo mtu ana kosa gani akiwa mlevi
 
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni akiwashirikisha mabilioni ya malaika akiqashawishi waungane nae katika mpango wa kupambana na mpango wa Mungu kuwaleta binadamu kwenye sayari ya dunia bila kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha binadamu Hao wanaishi kwa furaha kwenye sayari ya dunia.

Google msome kiumbe anaitwa Demiurge au Yaldabaoth unaweza kupata picha kuhusu huyu Mungu alie iumba dunia na watu wake.. Huenda akawa ni Narcissistic being ambae lengo lake ni kuwatesa na kuwatisha watu..

Watu wengi duniani wanakubaliana kwamba Mungu hakuwa na sababu yoyote ya kuwaleta watu duniani na wengi hawaoni mantiki ya wao kuwepo duniani...

Hata Huyo Mungu mwenyewe anajuta kwanini alimuumba mtu : GENESIS 6:6

Mshana Jr

LIKUD

N. B: ungekuwa wewe ndio mshauri wa Mungu mbinguni je ungeshauri binadamu aje aishi kwenye dunia yenye uovu mkubwa kama huu?
Kuna uadui mkubwa sana kati ya binadamu na shetani na kwa sababu gani? Utashangaa! Ni kwasababu Mungu alimuumba binadamu na kuwafanya malaika ikiwa ni pamoja na shetani kabla hajaasi, wamtumikie huyo binadamu. Shetani kwa kiburi chake hakupenda jambo hili.
 
Wote tuna guess hata wewe unaesema Mungu hayupo una fanya guess work huna uhakika
Tutathibitisha vipi kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo, au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa kuthibitisha kipo?

Utathibitishaje kisichokuwepo?
 
Tutathibitisha vipi kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo, au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa kuthibitisha kipo?

Utathibitishaje kisichokuwepo?
Kuthibitisha kisicho kuwepo mbona kazi rahisi Sana mkuu...
 
Mkuu nipe logic....
kwanini baadhi ya wagonjwa wanaumwa ila hospital kwenye vipimo is nothing... kwanini science imeshindwa kutatua hii challenge?
Kwanza Sayansi si jibu la kila kitu.

Sayansi haina majibu ya kila kitu.

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tuna endelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

Sayansi ikishindwa jambo fulani au kitu fulani haimaanishi kwamba jibu la kitu hicho ni Mungu.

Ni kwamba bado haujafanyika utafiti wa kutosha kubaini jawabu la tatizo husika.

Sasa ninyi watu dini, Mnataka sayansi iwe na majibu ya kila kitu. Na Sayansi ikishindwa basi mseme ni Mungu.

Kumbe sivyo, Sayansi haina majibu ys kila kitu.

Na Sayansi kukosa jibu la kitu fulani haimaanishi jibu la kitu hicho ni Mungu.

Ukisema kwa vile Sayansi haina jibu la kitu fulani basi jibu la kitu hicho ni Mungu, utakuwa unafanya logical fallacy inaitwa Divine fallacy.

The divine fallacy (or argument from incredulity) is a logical error. It happens when someone claims that an amazing or confusing event/thing must be caused by God or magic just because they cannot think of a normal scientific explanation.

The divine fallacy can take various forms, but it generally has a structure similar to the following:

Premise 1: if I don’t know how to explain a certain phenomenon using science, then it must occur as a result of divine intervention(God).

Premise 2: I don’t know how to explain this phenomenon using science.

Conclusion: this phenomenon must occur as a result of divine intervention.

This form of reasoning is fallacious, because it relies on a flawed premise that renders it logically unsound, and namely on the assumption that if someone doesn’t know how to explain a certain phenomenon using science, then that means that a divine force must be the right explanation for it.

The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation

Kuthibitisha kisicho kuwepo mbona kazi rahisi Sana mkuu...
Sasa utathibitishaje kwamba kitu hakipo kwa sababu ni kweli hakipo AU kipo ila tu, umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha kipo?

Maana kitu kinaweza kuwepo, ila tu umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha kipo.

Pia kitu kinaweza kisiwepo kabisa na uthibitisho usihitajike kuwepo, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Sasa unathibitishaje Mungu yupo, ila tu umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha yupo?

AU

Unakubali kwamba,

Mungu hayupo na hakuna uthibitisho wa kuthibitisha yupo, Kwa sababu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo?
 
Sasa huo udadisi ambao hauna majibu maana yake nini? It means genaration after genaration tunasubiri utafiti
 
Sasa huo udadisi ambao hauna majibu maana yake nini? It means genaration after genaration tunasubiri utafiti
Ndio maana kuna msemo unasema;

No research no right to speak.

Kitu kama hakijulikani ni mpaka utafiti ufanyike kubaini jawabu la kitu hicho.

Vinginevyo, Kama hakuna utafiti wowote then hakuna majibu yoyote.

Kusema kwamba jibu ni Mungu wakati hata hujui kama huyo Mungu yupo ni kufosi imani za kidini tu.
 
Sawa mkuu
 
Logical non sequitur fallacy.

Ukweli kwamba gari halijajitengeneza haumaanishi limetengenezwa na Mungu.

Kwa sababu inawezekana gari limetengenezwa na Mjapani, si na Mungu.

Na ukisema hakuna order inayoweza kutokea bila kuumbwa, kimsingi hapo umesema Mungu hayupo bila kujua.

Kwa sababu hata Mungu naye ni order, na kwa kanuni yako hiyo, atatakiwa kuwa hawezi kuwapo bila kuumbwa, na akishaumbwa anakuwa si Mungu tena.

Hoja yako ni ya kuthibitisha Mungu hayupo, ila hujajua

Naam Mungu ndio kamuumba shetan anaeleta maovu kama Mungu asingemuumba shetan maana yake kusingekuwa na maovu kwa maneno Rahisi Mungu ndio shetani mwenyewe
Mungu hakumuumba shetani muovu ila shetani kawa muovu kwa maauzi yake kama wewe unavyoamua kuzini kwa maamuzi yako Mwenyewe
 
Mungu hakumuumba shetani muovu ila shetani kawa muovu kwa maauzi yake kama wewe unavyoamua kuzini kwa maamuzi yako Mwenyewe
Kwa nini Mungu aliuumba ulimwengu ukiwa na uwezekano wa uovu kufanyika?
 
Back
Top Bottom