Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba binadamu na kuja kumtesa hapa duniani.. Ndio maana akaamua kuanzisha uasi huko mbinguni akiwashirikisha mabilioni ya malaika akiqashawishi waungane nae katika mpango wa kupambana na mpango wa Mungu kuwaleta binadamu kwenye sayari ya dunia bila kuwa na mpango mzuri wa kuhakikisha binadamu Hao wanaishi kwa furaha kwenye sayari ya dunia.
Google msome kiumbe anaitwa Demiurge au Yaldabaoth unaweza kupata picha kuhusu huyu Mungu alie iumba dunia na watu wake.. Huenda akawa ni Narcissistic being ambae lengo lake ni kuwatesa na kuwatisha watu..
Watu wengi duniani wanakubaliana kwamba Mungu hakuwa na sababu yoyote ya kuwaleta watu duniani na wengi hawaoni mantiki ya wao kuwepo duniani...
Hata Huyo Mungu mwenyewe anajuta kwanini alimuumba mtu : GENESIS 6:6
Mshana Jr
LIKUD
N. B: ungekuwa wewe ndio mshauri wa Mungu mbinguni je ungeshauri binadamu aje aishi kwenye dunia yenye uovu mkubwa kama huu?