Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

Hata ningekuwa mimi siwezi kukubali kuchukuliwa poa kizembe.
Tunaivusha team kipindi kigumu.
Anakuja mtu kutoka huko anapewa kipumbele na masilahi makubwa kuliko mimi. Wakati tunadeliver kitu kimoja.
 
but my friend,fei hataweza kucheza vyema yanga,he is finished na hata wenzie hawatampa ushirikiano tena
 
Amejua kutujambisha huyu jumaa enwei every human being is selfish in nature, ameangalia zaidi maslahi yake
 
Hata ningekuwa mimi siwezi kukubali kuchukuliwa poa kizembe.
Tunaivusha team kipindi kigumu.
Anakuja mtu kutoka huko anapewa kipumbele na masilahi makubwa kuliko mimi. Wakati tunadeliver kitu kimoja.
Sasa utafanyeje maana ndio wewe kwaiyo wewe endelea tu kuteseka
 
Japo sijafurahi ila hii ni habari njema Kwa yanga
 
Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita

Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi

na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
 
Aliwaweka watunisia kwa mkapa.
 
Aaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
Ngoja tuone
 
Imekuaje tena !
 
Gentacymine wewe ni takataka fulani mbumbumbu usiye na akili. Yani kwa ufupi hujui kitu chochote.

Samahani sijakutukana mkuu.
 
Aaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
Unaweza ukawa na msimamo halafu hiyo timu unayoenda Haina msimamo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ingekua Simba ingekuaje?

Unadhani ingekua Simba wangethubutu kutokufuata utaratibu na hata tusingefika huku
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ingekua Simba ingekuaje?

Unadhani ingekua Simba wangethubutu kutokufuata utaratibu na hata tusingefika huku
Nimesha kwambia Fei haja kiuka utaratibu wowote bali amerudi yanga kwa sababu yanga imekubali kutekeleza matakwa yake na ushawishi wa baadhi ya watu wenye nguvu ndani ya nchi umechangia.

Narudia tena mshukuru tu mmekutana na Azamu wanyonge ingekuwa simba fei toto mngemsoma kwenye bomba na msinge weza kufanya chochote.

Waambie viongozi wa timu yako waajili mawakili yenye weledi tofauti na hapo mtaendelea kunyanganywa wachezaji kizembe.
 
Lamba ndimu, maana uchungu uliokushika ni mimba ya mapacha hiyo.
 
Kama nyingi mngekuwa na mawakala wa maana msingesaini mikataba mibovu ya kupewa bus na kupokonywa
 
Weka ushahidi mezani wewe uto, wacha kelele za kijiweni hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…