Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

Hata ningekuwa mimi siwezi kukubali kuchukuliwa poa kizembe.
Tunaivusha team kipindi kigumu.
Anakuja mtu kutoka huko anapewa kipumbele na masilahi makubwa kuliko mimi. Wakati tunadeliver kitu kimoja.
 
Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi.

Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga SC na atawaomba Radhi pia Wanachama kisha ataelekea Kambini Avic Town kuwaomba Radhi Wachezaji wenzake rasmi kurejea Kikosini.

Matajiri wa Yanga SC wamekubali Kumpa Feitoto Mshahara wa Tsh Milioni 15 na tayari wameshamnunulia Gari (japo siyo Range kama ambavyo Azam walimnunulia) na kaambiwa aseme anataka Nyumba wapi ili GSM wamalize Shughuli mapema.

Mama wa Kihistoria Kisiwani Zanzibar kwa Heshima aliyonayo Zanzibar na kwa wana Yanga SC nchini kamaliza rasmi huu Utata wote na sasa kuna 95% za Feitoto kurejea Yanga SC na Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita.
but my friend,fei hataweza kucheza vyema yanga,he is finished na hata wenzie hawatampa ushirikiano tena
 
Amejua kutujambisha huyu jumaa enwei every human being is selfish in nature, ameangalia zaidi maslahi yake
IMG-20221225-WA0022.jpg
 
Hata ningekuwa mimi siwezi kukubali kuchukuliwa poa kizembe.
Tunaivusha team kipindi kigumu.
Anakuja mtu kutoka huko anapewa kipumbele na masilahi makubwa kuliko mimi. Wakati tunadeliver kitu kimoja.
Sasa utafanyeje maana ndio wewe kwaiyo wewe endelea tu kuteseka
 
Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi.

Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga SC na atawaomba Radhi pia Wanachama kisha ataelekea Kambini Avic Town kuwaomba Radhi Wachezaji wenzake rasmi kurejea Kikosini.

Matajiri wa Yanga SC wamekubali Kumpa Feitoto Mshahara wa Tsh Milioni 15 na tayari wameshamnunulia Gari (japo siyo Range kama ambavyo Azam walimnunulia) na kaambiwa aseme anataka Nyumba wapi ili GSM wamalize Shughuli mapema.

Mama wa Kihistoria Kisiwani Zanzibar kwa Heshima aliyonayo Zanzibar na kwa wana Yanga SC nchini kamaliza rasmi huu Utata wote na sasa kuna 95% za Feitoto kurejea Yanga SC na Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita.
Japo sijafurahi ila hii ni habari njema Kwa yanga
 
Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita

Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi

na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
 
Aliwaweka watunisia kwa mkapa.
 
Aaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
Ngoja tuone
 
Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita

Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi

na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
Imekuaje tena !
 
Gentacymine wewe ni takataka fulani mbumbumbu usiye na akili. Yani kwa ufupi hujui kitu chochote.

Samahani sijakutukana mkuu.
 
Aaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
Unaweza ukawa na msimamo halafu hiyo timu unayoenda Haina msimamo
 
Mkuu sibwabwaji bali ninacho ongea ndo ukweli mwenyewe sema ww unalijadili hili jambo kishabiki zaidi.
Nirudie tena Fei amerudi yanga kwa shinikizo la watu fulani wenye nguvu ndani ya nchi hii na sio kisheria.

Sema mmekutana na Azam wanyonge ingekuwa simba fei toto alikuwa anaondoka na msinge fanya kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ingekua Simba ingekuaje?

Unadhani ingekua Simba wangethubutu kutokufuata utaratibu na hata tusingefika huku
 
Nimesha kwambia Fei haja kiuka utaratibu wowote bali amerudi yanga kwa sababu yanga imekubali kutekeleza matakwa yake na ushawishi wa baadhi ya watu wenye nguvu ndani ya nchi umechangia.

Narudia tena mshukuru tu mmekutana na Azamu wanyonge ingekuwa simba fei toto mngemsoma kwenye bomba na msinge weza kufanya chochote.

Waambie viongozi wa timu yako waajili mawakili yenye weledi tofauti na hapo mtaendelea kunyanganywa wachezaji kizembe.
 
Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita

Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi

na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
Lamba ndimu, maana uchungu uliokushika ni mimba ya mapacha hiyo.
 
Nimesha kwambia Fei haja kiuka utaratibu wowote bali amerudi yanga kwa sababu yanga imekubali kutekeleza matakwa yake na ushawishi wa baadhi ya watu wenye nguvu ndani ya nchi umechangia.

Narudia tena mshukuru tu mmekutana na Azamu wanyonge ingekuwa simba fei toto mngemsoma kwenye bomba na msinge weza kufanya chochote.

Waambie viongozi wa timu yako waajili mawakili yenye weledi tofauti na hapo mtaendelea kunyanganywa wachezaji kizembe.
Kama nyingi mngekuwa na mawakala wa maana msingesaini mikataba mibovu ya kupewa bus na kupokonywa
 
Punguani wewe.. CAS wanapitia kile kile ambacho tayari kilishapitiwa na vyombo vingine vya maamuzi na hampeleki documents mpya, TFF tayari walikuwa wameshachezea mkataba in favour Kwa Simba.Yanga walikua kwenye losing side

Ila hayo ni mambo ya past wakati Yanga ikitembeza bakuli.. Kwa sasa jeuri yenu kwisha tunawatesa ndani na nje ya uwanja...
Mtatufanya nini kwa sasa bakieni kulialia mbwa nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weka ushahidi mezani wewe uto, wacha kelele za kijiweni hapa.
 
Back
Top Bottom