Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAS wanapelekewa documents na TFF tumia akiliPumba tupu, hizo forgery kama zilifanywa na TFF mlivyokwenda kushtaki CAS mlishinda?!
Mna vichwa empty sana.
but my friend,fei hataweza kucheza vyema yanga,he is finished na hata wenzie hawatampa ushirikiano tenaMama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi.
Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga SC na atawaomba Radhi pia Wanachama kisha ataelekea Kambini Avic Town kuwaomba Radhi Wachezaji wenzake rasmi kurejea Kikosini.
Matajiri wa Yanga SC wamekubali Kumpa Feitoto Mshahara wa Tsh Milioni 15 na tayari wameshamnunulia Gari (japo siyo Range kama ambavyo Azam walimnunulia) na kaambiwa aseme anataka Nyumba wapi ili GSM wamalize Shughuli mapema.
Mama wa Kihistoria Kisiwani Zanzibar kwa Heshima aliyonayo Zanzibar na kwa wana Yanga SC nchini kamaliza rasmi huu Utata wote na sasa kuna 95% za Feitoto kurejea Yanga SC na Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita.
Sasa utafanyeje maana ndio wewe kwaiyo wewe endelea tu kutesekaHata ningekuwa mimi siwezi kukubali kuchukuliwa poa kizembe.
Tunaivusha team kipindi kigumu.
Anakuja mtu kutoka huko anapewa kipumbele na masilahi makubwa kuliko mimi. Wakati tunadeliver kitu kimoja.
Japo sijafurahi ila hii ni habari njema Kwa yangaMama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi.
Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga SC na atawaomba Radhi pia Wanachama kisha ataelekea Kambini Avic Town kuwaomba Radhi Wachezaji wenzake rasmi kurejea Kikosini.
Matajiri wa Yanga SC wamekubali Kumpa Feitoto Mshahara wa Tsh Milioni 15 na tayari wameshamnunulia Gari (japo siyo Range kama ambavyo Azam walimnunulia) na kaambiwa aseme anataka Nyumba wapi ili GSM wamalize Shughuli mapema.
Mama wa Kihistoria Kisiwani Zanzibar kwa Heshima aliyonayo Zanzibar na kwa wana Yanga SC nchini kamaliza rasmi huu Utata wote na sasa kuna 95% za Feitoto kurejea Yanga SC na Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita.
Aliwaweka watunisia kwa mkapa.Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita
Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi
na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
Ngoja tuoneAaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
Imekuaje tena !Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita
Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi
na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
Unaweza ukawa na msimamo halafu hiyo timu unayoenda Haina msimamoAaah!labda Fei huyu sio mzanzibari maana kwa msimamo wanaongoza, maswali ya kujiuliza unaachaje ofa iliyonona kisa eti kuna kasimu kamepigwa? aaah hadithi za sungura kambeba tembo, imeisha hiyo
JidanganyeMzee Bharessa anapiga simu moja kwa Mwinyi Zanzibar, Mwinyi anapiga kwa sister Dom, then tamko moja tu toka ikulu linatua jangwani kwamba wacheni kumsumbua dogo ameshapata timu nyengine
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ingekua Simba ingekuaje?Mkuu sibwabwaji bali ninacho ongea ndo ukweli mwenyewe sema ww unalijadili hili jambo kishabiki zaidi.
Nirudie tena Fei amerudi yanga kwa shinikizo la watu fulani wenye nguvu ndani ya nchi hii na sio kisheria.
Sema mmekutana na Azam wanyonge ingekuwa simba fei toto alikuwa anaondoka na msinge fanya kitu.
Asante tu kwa Kashfa zako Ubarikiwe.Gentacymine wewe ni takataka fulani mbumbumbu usiye na akili. Yani kwa ufupi hujui kitu chochote.
Samahani sijakutukana mkuu.
Nimesha kwambia Fei haja kiuka utaratibu wowote bali amerudi yanga kwa sababu yanga imekubali kutekeleza matakwa yake na ushawishi wa baadhi ya watu wenye nguvu ndani ya nchi umechangia.[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ingekua Simba ingekuaje?
Unadhani ingekua Simba wangethubutu kutokufuata utaratibu na hata tusingefika huku
Lamba ndimu, maana uchungu uliokushika ni mimba ya mapacha hiyo.Kuendelea kufumua Mashuti yake ya Kutukuka ambalo moja wapo hata Kipa wangu Aishi Manula alipishana nalo likiwa la Moto na lenye Kasi ya Kombora Vita
Goli za toto huwa za kijinga sana huwa nawaona magolikipa wetu hamnazo,ni magoli mepesi sana,sijui huwa ni uchawi
na atawafunga hawa wajinga wa hapa tu na si kwingine
Kama nyingi mngekuwa na mawakala wa maana msingesaini mikataba mibovu ya kupewa bus na kupokonywaNimesha kwambia Fei haja kiuka utaratibu wowote bali amerudi yanga kwa sababu yanga imekubali kutekeleza matakwa yake na ushawishi wa baadhi ya watu wenye nguvu ndani ya nchi umechangia.
Narudia tena mshukuru tu mmekutana na Azamu wanyonge ingekuwa simba fei toto mngemsoma kwenye bomba na msinge weza kufanya chochote.
Waambie viongozi wa timu yako waajili mawakili yenye weledi tofauti na hapo mtaendelea kunyanganywa wachezaji kizembe.
Weka ushahidi mezani wewe uto, wacha kelele za kijiweni hapa.Punguani wewe.. CAS wanapitia kile kile ambacho tayari kilishapitiwa na vyombo vingine vya maamuzi na hampeleki documents mpya, TFF tayari walikuwa wameshachezea mkataba in favour Kwa Simba.Yanga walikua kwenye losing side
Ila hayo ni mambo ya past wakati Yanga ikitembeza bakuli.. Kwa sasa jeuri yenu kwisha tunawatesa ndani na nje ya uwanja...
Mtatufanya nini kwa sasa bakieni kulialia mbwa nyie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ushahidi wenu TFF wakichezea hizo documents mliuweka wapi?CAS wanapelekewa documents na TFF tumia akili