Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

Hiyo haitasaidia maana navyoona raisi mwenyewe ndo mzigo
 
Kubadilisha sura za watu tu sio mabadiliko makubwa.
 
Mabadiliko ni ya katiba, mifumo na taasisi.
Sio kubadili tu sura za watu
Mabadiliko ni Muhuni sana, watu wanajiona wamekuwa so superior kwelikweli, UNYENYEKEVU kwa wananchi sufuri,
 
Looooooo na nyadhifa zote ulizoziorodhesha hapo juu zinateuliwa na our no 1?,ndio maana katiba mpya ni muhimu, President ateue cabinet yake tu,CEOs wengine wa serikali waombe, nchi ibakiwe na mikoa 15 tu,na wilaya 45 tu, wizara 15 tu
Hicho kitu hakiwezi tokea nchini
 
Kubadilisha nani sijui Das sijui waziri, sio mwarobaini wa tatizo kama mkuu wao mwenyewe ajitambui na sio mfuatiliaji na kutoa masuluhisho instantly.
 
Ndio yanaenda kuhitimisha migao ya umeme? Yana maliza tatizo la ajira?
 
Watawekwa wamaopiga nao mguu sawa
 
Kubadilisha nani sijui Das sijui waziri, sio mwarobaini wa tatizo kama mkuu wao mwenyewe ajitambui na sio mfuatiliaji na kutoa masuluhisho instantly.
Watu ni wale wale wanafanya kubadilishana kama timu ya mpira mwingine namba hii mwingine labda ataimudu lakini niwale wale tu
 
Tatizo ni kuwa ukishakuwa DED hata ukitolewa bado mshahara waingia vile vile hadi utapostaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…