Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Muombe mumeo anavyoToa vielelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombe mumeo anavyoToa vielelezo
Hiyo haitasaidia maana navyoona raisi mwenyewe ndo mzigoWateuliwa amani iwe kwenu,
Huenda wakati Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini Mimi Wacha niwalaumu kidogo na endapo Wewe utasalia rekebisha hili,
Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu ghafla tu baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli , leo wala hakuna anayemtetea Rais Samia Suluhu Wala Serikali yetu,wote mmepiga kimya,Sijui ni kwa bahati mbaya au ni kwa kusudio!!??
Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya nyie ni Wana-Serikali zaidi ya kuwa wanachama hata sare za Chama wengi wenu hamna na hamvai eti nyie ni Serikali,
Viongozi wetu, Tunakumbuka wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri sana wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi hili nani kawaambia na lini?
Viongozi wetu, Sisi wanachama/Wananchi tunahitaji viongozi walio Watendaji na Wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana hata akaunti moja mtandaoni,
Viongozi wetu,Leo zaidi ya Watanzania 25m wanamiliki simu Janja,Wewe kiongozi wao huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri unatuchelewesha sana,
Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi kubwa kama Marekani why Wewe mwenye Wilaya uko busy kupiga dili tu siku ziende,
Sote tunafahamu Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official kule tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss hakika kwenye karne hii 21 Wewe haustahili tupishe,
Sasa, huenda mabadiliko makubwa yakafanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya Serikali muda mfupi ujao nyie Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM lazima muwajibike kwenye hili,
[Kidumu chama cha Mapinduzi ]
View attachment 2440539
Kujikinga na wasiojulikanaUnaongea kwa mafumbo sana
Mabadiliko ni Muhuni sana, watu wanajiona wamekuwa so superior kwelikweli, UNYENYEKEVU kwa wananchi sufuri,
Mabadiliko hayaepukiki kabisa
Hicho kitu hakiwezi tokea nchiniLooooooo na nyadhifa zote ulizoziorodhesha hapo juu zinateuliwa na our no 1?,ndio maana katiba mpya ni muhimu, President ateue cabinet yake tu,CEOs wengine wa serikali waombe, nchi ibakiwe na mikoa 15 tu,na wilaya 45 tu, wizara 15 tu
Ndio yanaenda kuhitimisha migao ya umeme? Yana maliza tatizo la ajira?Wateuliwa amani iwe kwenu,
Huenda wakati Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini Mimi Wacha niwalaumu kidogo na endapo Wewe utasalia rekebisha hili,
Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu ghafla tu baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli , leo wala hakuna anayemtetea Rais Samia Suluhu Wala Serikali yetu,wote mmepiga kimya,Sijui ni kwa bahati mbaya au ni kwa kusudio!!??
Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya nyie ni Wana-Serikali zaidi ya kuwa wanachama hata sare za Chama wengi wenu hamna na hamvai eti nyie ni Serikali,
Viongozi wetu, Tunakumbuka wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri sana wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi hili nani kawaambia na lini?
Viongozi wetu, Sisi wanachama/Wananchi tunahitaji viongozi walio Watendaji na Wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana hata akaunti moja mtandaoni,
Viongozi wetu,Leo zaidi ya Watanzania 25m wanamiliki simu Janja,Wewe kiongozi wao huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri unatuchelewesha sana,
Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi kubwa kama Marekani why Wewe mwenye Wilaya uko busy kupiga dili tu siku ziende,
Sote tunafahamu Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official kule tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss hakika kwenye karne hii 21 Wewe haustahili tupishe,
Sasa, huenda mabadiliko makubwa yakafanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya Serikali muda mfupi ujao nyie Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM lazima muwajibike kwenye hili,
[Kidumu chama cha Mapinduzi ]
View attachment 2440539
Hayo pia yanakuja
Watawekwa wamaopiga nao mguu sawaKwa maneno ya JK, Makamba sr, na mama siku ile wanafunga mkutano basi mabaliko serikalini maana yake ni majanga kwa wale "wakuja" na makada chawa wataingizwa kwenye cycle, kuna hatari mawaziri , Dc, Rc, DAS na wengineo ambao walibebwa na JPM wakapigwa chini bila huruma kupisha makada ili nao wakalambe asali kuelekea uchaguzi wa 2025
Watu ni wale wale wanafanya kubadilishana kama timu ya mpira mwingine namba hii mwingine labda ataimudu lakini niwale wale tuKubadilisha nani sijui Das sijui waziri, sio mwarobaini wa tatizo kama mkuu wao mwenyewe ajitambui na sio mfuatiliaji na kutoa masuluhisho instantly.