Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Inasemekana chimbuko la yote hayo ni joto la uchaguzi wa ndani ya Chama Cha ha Demokrasia na Maendeleo Chadema, ilogawanyika, na kutokuwapo kabisa uwezekano wa wengine kushinda nafasi hiyo.
Bado haijajulikana ni zipi hasa sababu za hali hiyo ambayo inayodaiwa kuchochewa na influence na access ya hasimu mkuu wa kisiasa ndani ya chama hicho kuona uwezekano huo kupitia manasheria ambae pia bwenyenye wakili muhusika wa mahakama ya huko magharibi.
Kiongozi huyo aliejaa chuki, tamaa na uchu wa madaraka nae pia ni mgombea nafasi za juu ndani ya chama hicho Taifa, ambae hapewi nafasi ya kufurukuta kabisa kutokana na aina ya siasa zake za kibinafsi mno 🐒
Je,
hadaa hizi si ndio zitachochea zaidi kiongozi huyo wa kitaifa Taifa ndani ya chama hicho kupata nafasi na kura nyingi zaidi?
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Tanzania.