Pre GE2025 Huenda mmoja kati ya hawa akamrithi Rais Samia Suluhu 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono Na.1,5 (kidogo sana),6(kidogo), 9,11 na 12.
Wengine hao hapana.
 
January Makamba ni raisi 2030-2040. Ndio maana kapewa mambo ya nje aanze kujinoa kidiplomasia. Hapo pm wake Atakua Mwigulu Nchemba. Hizo Nakupa za ndaaaani kabisa 😂️😂️😂️😂️
 
January Makamba ni raisi 2030-2040. Ndio maana kapewa mambo ya nje aanze kujinoa kidiplomasia. Hapo pm wake Atakua Mwigulu Nchemba. Hizo Nakupa za ndaaaani kabisa 😂️😂️😂️😂️
Rais wa Tanzania anawekwa na Mungu tu
 
12 Mafisadi watakimbia nchi
 
Wamuweke Kassim Majaliwa Pia hapo
 
Nchimbi sawa
 
Ni mpaka wawe hai sasa, 2030 mbali mno
 
Namba 9 na 11 kdg naona wana 'viashiria vyema' tofauti na wengine hapo!
wawili wana harufu kali sana ya ufisadi na rushwa na maadili hawana.
Wengine hawana karama na sifa za uraisi
Mavunde bado mchanga sana!
 
January Makamba ni raisi 2030-2040. Ndio maana kapewa mambo ya nje aanze kujinoa kidiplomasia. Hapo pm wake Atakua Mwigulu Nchemba. Hizo Nakupa za ndaaaani kabisa 😂️😂️😂️😂️
January Makamba hawezi kuwa Raisi nchi hii.
 
Duuh,basi sawa...

SISI TUNAOMBA TUH HAO WA MBELE WAINAME ILI SISI WANYUMA TUPATE KUONA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…