GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo kusema Wanaume tumekuwa Mapopoma siku hizi hadi Wanawake wanatupiku au kuna tatizo gani labda?Next US President atakuwa mwanamke, Nikki Haley
Tunzeni hii post
On my dead body. Akagombee India huenda akapata lakini siyo US.Next US President atakuwa mwanamke, Nikki Haley
Tunzeni hii post
Wanasema uwape 1700/=Wakuu kwani wanawake wenyewe wanasemaje?
Kuna Kitamu unachotaka Kunizawadia?Kumbe nawewe genta ni mwanaume!
Ila kwa sasa wameibuka kwa Kasi sana.Toka muda imekuwa hivyo labda hukufuatilia mapema! Wamekuwepo,
Theresa May, Dilma Rousseaf, Sheikh Hasina Wazed, Tsai Ing-wen, Jacinda Kate Laurell, Bidhya Devi Bhandari, Kolinda Grabar-Kitarović, Angela Merkel, Ana Brnabić, Saara Kuugongelwa, Hilda Heine, Zuzana Čaputová kwa uchache na wengi wao wamefeli vibaya mno.
Jiandae Kutukanwa na wasiolitaka hilo.samia atawale ata miaka 20,itakuwa poa sana
Kwa Marekani ukisikia mwanamke si lazima awe biological female yaani si lazima awe ni mwanamke wa kuzaliwa! Ni midume imeamua kuwa mijike na kufanyiwa upasuaji na kunyweshwa hormone za kike.Next US President atakuwa mwanamke, Nikki Haley
Tunzeni hii post
Ubashia nini?On my dead body. Akagombee India huenda akapata lakini siyo US
Acha uongo, alizaa vipi wale mabinti.Kwa marekani ukisikia mwanamke si lazima awe biological female yaani si lazima awe ni mwanamke Wa kuzaliwa!! Ni midume imeamua kuwa mijike na kufanyiwa upasuaji na kunyweshwa hormone za kike.
Kuna dume moja lilikuwa linaitwa Michael, likaamua kuwa jike na likaolewa na MTU aliyekuja kuwa MTU mkubwa sana!!