Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Samia kaleta mambo mengi sana aisee.
Mkuu hakuna iyo kitu hayo ni mawazo yako tu mwanaume bado ni kiongozi.
Wanawake nao hawajaanza kua viongozi leo ni toka kitambo tu nao wanashika nyadhfa mbali mbali. Hata hivyo bado nafasi nyingi zina wanaume wengi ni mapema sana kuleta hii post yako subiri walau hadi 2040.