Wanapata support kutoka nje kupitia NGOs ambazo zilianzishwa makusudi ili kumuinua mwanamke. Kupitia NGOs hizo wamenolewa vilivyo, lengo ni kuchukua nafasi ambazo traditionally wanaume ndio walikuwa wakihodhi. Baada ya hapo kila mwanamke aliweza kuvuta mwanamke mwenzie kujaza nafasi. Ma HR wengi chunguza ni wanawake, hivyo kuna upendeleo katika nafasi za ajira.
Lingine ni maboss wengi ni malaya,rushwa ya ngono ndio imetufikisha hapa.