Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Jibu Basi hoja zakeHuyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....
Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.
Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Wewe ni mpumbavuTutaona idadi ya maskofu wakipanda majukwaani inaongezeka, wakishaona hijab wanaumia, wakati wa Magufuli , Mkapa hatukuona haya, tulianza wakati wa mwinyi
Uongea Basi wewe unalolijuaHajui analoliongea huyu askofu.
Hakuna "uelewa mpana" wowote katika jambo hili bali kuhujumu taifa letu. Kuendesha Bandari kwa ufanisi hakuna jambo lolote la kipekee hapo. Ni watu wenye ufinyu wa akili kama wewe na mama yako, mkisukumwa na ufisadi na tamaduni zenu ndizo zinazotupeleka kwenye matatizo. Kuna siku mtalipa hujuma hizi.Tafuta uelewa mpana wa kinachoendelea kwenye sekta ya bandari duniani pote achana na ujuaji wako wa kipuuzi.
Ninapokwambia huna uwezo wa kusoma na kuelewa yaliyo andikwa, sina shaka tena na kutokuwa na uwezo huo kwa upande wako.Mwarabu anaendesha bandari za London na Southampton tafuta taarifa za teknolojia anazotumia huko.
Anaendesha bandari ya India Tafuta taarifa za Kina za nini anafanya huko kuliko kufura humu jukwaani na kujaza seva kwa kuandika ujinga mtupu.
Kuna wizi zaidi ya huu mnaotuingiza nyinyi huko bandarini?Tanzania sekta ya bandari hakuna kitu bado, Haya maneno mengi mnayoandika humu Hayafanani hata robo na uhalisia wa uendeshaji wa pale TPA.
Na tunapoendesha sekta tunaendekeza wizi na ufisadi hakuna tija yoyote ya maana tunayoipata.
Kufunguka macho kwa kuwa tegemezi kwa kila kitu, huko ni kufunguka macho kwa namna gani?Dunia haikusubiri wewe uamke ukiwa unaendekeza usingizi.
Bahati nzuri Samia na wasaidizi wake wamefunguka macho na kuachana na fikra za kizamani za kijamaa pale TPA.
Angalia kama hili ulilo andika hapa. Ni wazi kabisa hujui unacho andika ni nini hasa.Dunia haikusubiri wewe uamke ukiwa unaendekeza usingizi.
Tafuta elimu za shipping utafahamu serikali kwanini imechagua aina mojawapo kuendeshea bandari yetu.Hakuna "uelewa mpana" wowote katika jambo hili bali kuhujumu taifa letu. Kuendesha Bandari kwa ufanisi hakuna jambo lolote la kipekee hapo. Ni watu wenye ufinyu wa akili kama wewe na mama yako, mkisukumwa na ufisadi na tamaduni zenu ndizo zinazotupeleka kwenye matatizo. Kuna siku mtalipa hujuma hizi.
Kuhusu "ujuaji", sina shaka yoyote akilini mwangu kuhusu ujuaji nilio nao kuulinganisha na wako. Hili lipo wazi kabisa.
Hakuna anayeuza bandari ni mikataba ya kibiashara imeingiwa, unasumbuliwa na akili za kijamaa pole sana.Angalia kama hili ulilo andika hapa. Ni wazi kabisa hujui unacho andika ni nini hasa.
Kwa hiyo, kwa mawazo yako kuuza bandari yetu ndiko kunakotupatia uwezo wa kuendesha bandari?
Nani yupo kwenye usingizi, huyo anaye uza mali yake kwa watu wengine au huyo anayepigania haki yake ya kumudu kuendesha mali aliyo nayo kwa manufaa yake>
Wewe sina shaka kabisa kuwa uwezo wa kufikiri huna.
Tija kuongezeka ndio lengo la partnership ya DP na serikali yetu.Kufunguka macho kwa kuwa tegemezi kwa kila kitu, huko ni kufunguka macho kwa namna gani?
Sasa umebaki kuandika maneno tu bila hata ya kuelewa unaandika kitu gani?
Pole sana ndio mambo yashabadilika tena.Kuna wizi zaidi ya huu mnaotuingiza nyinyi huko bandarini?
Si ni kheri wezi wetu wenyewe hapa waibe mradi wawe na ujuzi wa kuendesha bandari yao kwa ufanisi?
Nyinyi mnaiba, halafu mnahakikisha kamwe hata siku moja hatutakuwa na uwezo wa kuendesha bandari zetu sisi wenyewe.
Kuna siku mtalipa tu hujuma hizi mnazolifanyia taifa hili.
Pale bandarini kuna waendeshaji watatu na faida ya gawio la pesa kwa hazina imeanza kuongezeka.Uongea Basi wewe unalolijua
Tuone ujinga wako
Mimi tokea nikusome humu, sijaona elimu yoyote uliyonayo wewe ya kuhimiza watu waitafute. Kinachokusumbua ni mambo mawili tu. Ufisadi, na uchawa, basi!Tafuta elimu za shipping utafahamu serikali kwanini imechagua aina mojawapo kuendeshea bandari yetu.
Na sio mwisho kwa hapa Dar tu mpaka hizo nyingine na zenyewe wataletwa waendeshaji mahiri ili Tija iongezeke.
Kama ni akili za 'kijamaa' kutaka waTanzania tuwe na uwezo wa kuendesha bandari zetu, huo ujamaa siuonei haya yoyote ile; na siishii kwenye bandari pekee, bali kila sehemu ya uchumi wetu nataka tuwe na uwezo nako.Hakuna anayeuza bandari ni mikataba ya kibiashara imeingiwa, unasumbuliwa na akili za kijamaa pole sana.
Wewe kwa hakika ni punguani hasa!Sisi wenyewe tunapoendesha ni uzembe na ufisadi unaopatikana badala ya bandari kusaidia uchumi inakuwa sekta mzigo kwa uchumi.
Utalia sana, tena hutasikika tena humu JF.Pole sana ndio mambo yashabadilika tena.
Huna hata aibu kusema uongo!Pale bandarini kuna waendeshaji watatu na faida ya gawio la pesa kwa hazina imeanza kuongezeka.
Pigeni makelele JF mheshimiwa Samia anasonga mbele.
Nitakuwa napoteza muda kuanza kukueleza Samia kwanini kaamua kufuata kanuni ya shipping aliyoamua kuitumia.Mimi tokea nikusome humu, sijaona elimu yoyote uliyonayo wewe ya kuhimiza watu waitafute. Kinachokusumbua ni mambo mawili tu. Ufisadi, na uchawa, basi!
Huko kwenye 'shipping' wenye uwezo huo ni hao waarabu tu basi, wengine wote hawawezi kuwa na elimu ya namna hiyo! Akili ya hovyo sana hii kuwa nayo binaadam.
Hakuna anayekufanya tegemezi kwa yoyote yule ni mahitaji ya bandari ya muda huu katika mazingira ya ushindani wa shoroba uliopo muda huu ndio unaoifanya biashara ya TPA na DP iwe na umuhimu kwa sasa.Kama ni akili za 'kijamaa' kutaka waTanzania tuwe na uwezo wa kuendesha bandari zetu, huo ujamaa siuonei haya yoyote ile; na siishii kwenye bandari pekee, bali kila sehemu ya uchumi wetu nataka tuwe na uwezo nako.
Na kwa kuwa elimu yako na upeo ni mdogo, utasahau kwamba sijatamka popote waTanzania kuwa na uwezo ni lazima serikali yenyewe ihusike huko; na wala sija andika popote kuwakataa wawekezaji toka nje. Ninachokataa ni huu upuuzi wenu wa kutufanya sisi kuwa wategemezi kwa hao wajomba zenu milele, bila ya mikakati yoyote ya kutusaidia sisi kushika hatamu za maendeleo ya nchi yetu.
Kwa kweli wewe utakuwa ni kiazi sana, au niseme ni pandikizi toka nchi hizo za nje, kama huwezi kuelewa ninachokueleza humu, toka siku ya kwanza ulipoingia JF.
Samia atakuwa ni pandikizi mwenzako, anaye hujumu nchi yetu.