100💯 hili hata mimi nimeliwaza na nikataka kulianzishia uzi!!Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.
Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Premier Majaliwa alikuwa akiiva sana na Mwendazake na siyo Mama na mpaka sasa Mama kuwa nae Kamheshimu na Kumvumilia mno.Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.
Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Pumbaaaaaavu!Usijiuzulu hata kidogo. komaa tu jifanye hamnazo. Labda akufukuze kitu ambacho hawezi maana italeta picha mbaya. Mama ana wasiwasi mkubwa na team JPM (Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole na Sukuma Gang). Ukijiuzulu mwenyewe yatakukuta kama yale ya Ndugai.
Unapiga ramli chonganishiKadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.
Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Wala sio ramli,ni uhalisia ...hiyo natasi haihitaji Naibu..lazima kuwe na sabubu mahsusi!Unapiga ramli chonganishi
Sina tumaini hilo kabisaKadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.
Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Anafurahia mema ya nji!Kwani kishoa anasemaje?