Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
 
Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

100💯 hili hata mimi nimeliwaza na nikataka kulianzishia uzi!!

Hisia zangu zinaniambia ndani ya wiki 2 hadi mwezi MAJALIWA ATAJIUZURU!!!....

Unabii Huwa haudanganyi wala si wa kupuuzwa...!...

Voice from within tangu jana inanimbia hilo lazima litokee...!

Kwa sasa anasubiri upepo wa huu uteuzi mpya upite, naibu waziri mkuu aapishwe... Then ataachia ngazi iwe kwa shinikizo! Ama kwa utashi wake mwenyewe!!!

Time wii tell.... stay here....
 
Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Premier Majaliwa alikuwa akiiva sana na Mwendazake na siyo Mama na mpaka sasa Mama kuwa nae Kamheshimu na Kumvumilia mno.

Haihitaji Akili Kubwa kujua kuwa Kitendo cha Kumtea / Kumteulia Naibu Waziri Mkuu ni Kumtumia ujumbe kuwa humtaki ila huna jinsi na kutaka tu Kumtesa Kisaikolojia.

Kitakachotokea sasa ni Premier Majaliwa kufanya Kazi kwa Wasiwasi, kuhisi hakubaliki na Kuharibu kabisa Utendaji kwakuwa muda mwingi atautumia katika Kuwaza na Kuyashangaa yaliyotokea hasa la Kuteuliwa Naibu Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu Majaliwa omba Kujiuzuru mapema kwani ukiona Anayetroti ( Anayepasha ) Nje ni Kipa jua haingii Beki.
 
Usijiuzulu hata kidogo. komaa tu jifanye hamnazo. Labda akufukuze kitu ambacho hawezi maana italeta picha mbaya. Mama ana wasiwasi mkubwa na team JPM (Ndugai, Majaliwa, Bashiru, Polepole na Sukuma Gang). Ukijiuzulu mwenyewe yatakukuta kama yale ya Ndugai.
 
Umemsikia Ali Bongo anavyokuambia ukapige kelele?
Sasa huyo baba yake mzee Omar alikuwa Rais kwa miaka 42 na yeye kashika mihula miwili na familia imeshika usukani zaidi ya miaka 50 na bado analilia utawala

Binadamu kwa madaraka usiwaguse
 
Kadiri ya joto la kisiasa linavyo panda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao.

Nia, Dhamira, Malengo, Lugha ktk masuala kadha wa kadha , mathalani, dipi weldi, 2025 elections n.k. body language, facial expressions, and tones haisikilizani kabisa, from the party to the gov
Unapiga ramli chonganishi
 
Sina tumaini hilo kabisa
 
Back
Top Bottom