Ndio maana tukaona wakina Golugwa, Brenda, na Mnyika hawakuwa na shida kwenye kujibu maswali yao, Katuga hakuwa na mlango wa kuwaingia."Ukiwa na makandokando usiende mahakamani kutoa ushahidi"
Hiyo pointi yako hapo juu nakubaliana nayo moja kwa moja.
Ndio maana tukaona wakina Golugwa, Brenda, na Mnyika hawakuwa na shida kwenye kujibu maswali yao, Katuga hakuwa na mlango wa kuwaingia.
Ila kwa Heche na yale yaliyomtokea, nadhani ilikuwa surprise hata kwa Lissu!.
Ila kwa Heche na yale yaliyomtokea, nadhani ilikuwa surprise hata kwa Lissu!