Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

Ndio maana tukaona wakina Golugwa, Brenda, na Mnyika hawakuwa na shida kwenye kujibu maswali yao, Katuga hakuwa na mlango wa kuwaingia.

Ila kwa Heche na yale yaliyomtokea, nadhani ilikuwa surprise hata kwa Lissu!
 
Kitu kimoja cha kuwashauri wafuasi wa siasa za upinzani hasa chadema ni kupunguza matarajio mengi ambayo mwisho wa siku ikiwa ndivyo sivyo mtabaki kusonya tu.

Kwa sababu hao ni mashahidi wa Lissu na sio mashahidi wa jamhuri lakini hao hao ndo wanaoshitaki hivyo shahidi si anaongea anachojua vipi kama wataenda kuongea mambo yanayo munyima haki Lissu kwakua hawana maslahi nae yoyote.

Vipi upande wa jamhuri kama wataamua kutowahoji maswali magumu kwa kua lao ni moja na Hilo ndilo linaloenda kutokea.Pia Lissu lazima atakutana na objections nyingi sana ili kuwadefend watu wao wasiingize ushahidi mpya mahakamani.

So kwa ujumla mi naona hii inaenda kumcost lissu mwenyewe kuliko ambavyo mnatarajia kwa sababu wale hawana maslahi yoyote na Lissu.Na pengine Wala hawako safari Bali wako na wanasheria wa serikali wanapikwa.
 
Mtego wa kwanza ni pale waliposema wapo nje ya nchi. Wameongeza uwanda mpana wa maswali. Nchi Gani? Waliondoka lini? Walirudi lini? Walienda kwa shughuli Gani?etc
Sasa hayo maswali yanatakiwa yaulizwe na jamhuri lakini kwakua lao ni Moja Wala jamhuri hawatokua na maswali mengi kama mnavotarajia na Wala hawatauliza hayo unayojiuliza wewe.
 
Lengo la mtoa mada limejificha hapa

Tumemuona Heche Alivyoburuzwa na Katuga.

Hili ndilo lengo lake, mengine ni kuchanganya Wasomaji wake
mkuu msome sana jamaa maandiko yake yako ki uv ccm sana

anajitahidi kujificha sana ila mbinu za mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga
 
Tumemuona Heche Alivyoburuzwa na Katuga. Mahakamani kama unamambo ya chini chini sio sehemu ya kwenda. Huko kuna kuumbuka hivihivi. Yanaweza kuzuka usiyoyatarajia. Mambo ambayo hukutaka watu wayajue unaweza kupewa surprise ukabaki mdomo wazi.
Waelezee watu yale Majibu ya sijui yalilenga kukataa maswali anayoulizwa dhidi ya aliyotakiwa kuulizwa.
 
Wale wanaenda kama mashahidi wake kwa hiyo cross examination atafanya KUTUGA sio LISSU
 
Lengo la mtoa mada limejificha hapa

Tumemuona Heche Alivyoburuzwa na Katuga.

Hili ndilo lengo lake, mengine ni kuchanganya Wasomaji wake
Mimi sijaona sehemu yoyote huyo katuga wao alipomburuza Heche, na hakuna mahali Heche ameharibu ushahidi
 
Yale mambo ya 29Oct2025 & after waliyokuwa wanayaingiza jopo la mawakili wa serikali ndipo yataenda kufunuliwa mambo, mpaka aliyewatuma atatajwa na hao hao walio upande wa gavoo.
 
Wanakimbia kwa muda nadhani wakijiandaa, si wamepewa siku tatu?

Kesi imeahirishwa kuwangojea Trh 18/9.
Hawataenda kamwe kwani maswali ya lisu yanaenda kuwalaza Hospital kwa pressure kubwa na pia ICC itapata ushahidi mkubwa kupitia hapo
 
Yale mambo ya 29Oct2025 & after waliyokuwa wanayaingiza jopo la mawakili wa serikali ndipo yataenda kufunuliwa mambo, mpaka aliyewatuma atatajwa na hao hao walio upande wa gavoo.
Pia Lisu atadai Account za katuga mawakili wenzake na IGP ziletwe mahakamani ndipo itaibuka sakata jipya ujinga wa katuga utaanikwa wote
 
Katuga alete Account zake uone kwani katuga anayo makandokando mengi kuliko wakali wote wa michongo
 
Kuna ng'ombe wa mayai humu walikuwa wanakomaa kutuaminisha kuwa TAL kajimaliza mwenyewe kwa kuwataka hao jamaa kuwa mashahidi wake.

Sasa tazama, dakika ya kwanza watu washautamani u-diaspora😁
Wakithubutu kwenda mahakamani itakuwa Aibu kubwa kwao kwani maswali ya Lisu yatawavua nguo na kuwachakaza vibaya hadi kuugua pressure na moyo
 
Lissu ameiambia mahakama anahitaji muda nao ili awaandae na kupanga namna ya kuliendea hili jambo! Sijui anawaandaaje CDF, IGP na DCI Teh! 🤣🤣🤣
Huyu Mwamba anaweka msingi ya uwajibikaji, kwamba kila mtu Yuko chini ya Sheria ya JMT bila kujali cheo chake

Iwe wamekuja au hawakuitika Muhimu Mahakama imewaandikia summons na imekiri hivyo

Historia itaandikwa hivyo Kwa miaka mingi sana ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…