Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

Kwa maneno mengine kama ukitimiza vipengele vyote vya demokrasia lakini ukakataa kuruhusu uchafu wa ushoga, utahesabika kuwa taifa lisiloheshimu demokrasia na haki za watu!
Sio kweli hata kutumikisha watoto viwandani US inasema wanaminya haki za binadamu, kutozingatia haki za wanyama, haki za wanawake n.k. Kanye west amebagua wayahudi ona vikwazo alivyowekewa!! So sio kweli kwamba ushoga ni priority.

Kingine hiyo interview unayopost hapa hakusema Kama statement ila ni swali la mwandishi.
 
Dawa ya kulikwepa hili ni kwenda na back door democracy, wanakupa misaada na kisha unarusu jamii kuwashughulikia mashoga na rhetorically unakuwa kimya au unapinga kisiasa ukitumia kofia ya desturi,mila,utamaduni,na imani za kiafrika au vinginevyo unakimbilia China na Urusi kujazia pengo la usitishaji wao wa misaada.
 
Hata huko Kenya na Uganda hakuna kitu watafanya.Ushoga upo na utauabalika tu.Maskini hanuni.
 
Huyo spika ni mjinga tu,han uwezo wa kuzuia chochote.
 
Kwani msimamo ni wa Rais au sheria? hapa Tanzania sheria zimekataza Sasa kivipi Tena msimamo haufahamiki?
Hata kama msimamo ni sheria, lakini ukiwa unazungumza na mtu asiye na msimamo unaofanana na wako huwezi kuwa na amani, utajua kabisa huu mtihani uko mbele yangu, kazi kwako!.

Hizo sheria hata kama zipo mbona bado tunatongozwa na misaada yao na tumekaa kimya, kwanini tusiwaambie sheria zetu zinakataza? jana Samia kagoma maswali ya waandishi, unajua alikimbia nini pale?
 
Hapo utakuwa kama msichana anayekubali kupokea zawadi lukuki za mwanamume huku akijifanya hajui malengo ya mwanamume huyu wakati anayajua kabisa! siku ya siku mwanamke atalazimika kulipa tu vinginevyo maisha yake yanakuwa hatarini! jibu zuri ni kukataa misaada ambayo unajua lengo lake ni baya! waulize malawi ujue kilichowatokea!
 
Ukweli tunaogopa msimamo wa wazi ndio maana tuna sheria lakini mashoga wanatamba na wanajulikana hadi wasanii wakubwa wanawaendekeza dhahiri lakini serikali ipo kimya.

Sasa hawa watakuja kupata nguvu tutaisha. Tutapata mawaziri na wabunge ni hao, sheria si itatungwa? Ni vizuri iwe inakemewa hasa hawa wanaofanya wazi bila kificho, wapo hadi kwenye media na wanaonyesha mwenendo wa kutia shaka usio mfano bora kwa jamii.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
jana wamesifia demokrasia na haki za binadamu watu wanapiga makofi hahhhahhahhahah bila kujua mshaingizwa kingi
 
Kwani msimamo ni wa Rais au sheria? hapa Tanzania sheria zimekataza Sasa kivipi Tena msimamo haufahamiki?

Wewe huwajui watu wanafiki..
Walichotaka wao ni Samia awashambulie USA kwenye media ikiwezekana akatae ziara ya Kamala ..
Ili halafu tukipigwa vikwazo wake tena kumshambulia Samia Kwa kuharibu diplomasia......

We hushangai watu ambao Viongozi wao WA kisiasa kina Lema na Tundu Lissu wanaunga mkono haki za Mashoga waziwazi ..lakini wanataka Samia apinge ...Hulu wako kimya Kwa Lema na Lissu??...we huoni ajabu hii??
 
Lini lissu na lema waliuunga mkono ushoga kama sio uongo, ulivyokua na akili fupi sasa umlaumu lissu na lema wao ndo chama tawala au wasimamiz wa sheria

Lawama lazima ziende kwa samia na serekali ya ccm wao ndo wako wengi bungeni na wanaweza pitisha sheria alafu unakuja kulaumu lisu na lema si uwendawazimu

Ccm walichofanikiwa ni kuaminisha watanzania wao sio responsible kwa matatizo ya Tanzania bali ni chadema
 
Sipendi kuwepo haki za mashoga, napenda ulewe kuwa mashoga nao ni watu kama wewe na mimi. Kuna watu wezi wakubwa, wamewahi kutengwa, wanafilisi nchi kwa faida binafsi. Kuna wengine wnatumia madaraka vibaya hata kuua, je wamewahi kutengwa. Sio kama napenda mashoga wawe na haki kama haki za wajane. Tambua kuwa hsoga ni mtu.
 
Uganda wana kiongozi anayejielewa
 
Shida sio demokrasia imeanzia wapi. Hayo mambo ya history yatupilie mbali, tuzungumzie dunia hii ya leo, tunayoishi sasa.
Kwa sasa U.S.A ndio father of democracy
 
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukiheshimu haki za binadamu automatically lazima uheshimu haki za mashoga. Maana nao ni binadamu.
Haki za binadamu tunazungumzia "natural justice" na "values za ubinadamu" je ushoga ni ubinadamu kwenye mazingira yote ya jamii zote duniani kweli? Sodoma na Gomola tunaikaribia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…